Baada ya tukio la mwenzetu kuchomwa moto, nini kifanyike matukio ya wivu wa mapenzi yasijirudie?

Baada ya tukio la mwenzetu kuchomwa moto, nini kifanyike matukio ya wivu wa mapenzi yasijirudie?

Hakikisha unakuwa na fire extinguisher kitandani kila unapotaka kuchakatana.

Screenshot_20210718-232119.png
 
Ni kwamba wanawake kuwa na ujasiri hadi kufikia kumchoma mwanaume moto ni failure kubwa sana kwa upande wa wanaume hata mapoti wenzangu kutoka kule Mara na mzee Gentamycin hawajaamini ni namna gani hasa hili linawezekana. Sasa nyinyi endeleeni na kebehi za kutusimanga kwamba tumezidi kutembeza vipigo kwa hawa wanawake........maana mwanamke hata kumsogelea poti au kumuuliza jambo lazima ajifikirie mara mbili maana anaweza kukorofisha chaneli na akajikuta kalazwa ICU......
 
Hali iliyomkuta mwenzetu imetokana na usiri na udanganyifu wetu kwa kuwadanganya michepuko kuwa hatujaoa wala hatuna watoto. Sasa siku wakija gundua ukweli ndio moto wake ndio kama huu.

Cha kufanya ni tunapopata michepuko tuwe wawazi tu, kuwa tumeoa na tunataka mbunye mpya. Tutapewa ofa bila kuumiza mioyo yao.
 
Ahsante Mwenyekiti kwa kunipa nafasi.

Nashauri kwanza, kwa walio na wake wanunue vizima moto (fire extinguisher) kwa haraka. Kampuni zinazohusika na uagizaji zipewe tenda haraka iwezekanavyo.

Wale waliooa wachaga, haraka wakodishe magari ya maji (bowser) kwa sababu wapo kwenye hatari zaidi.

Lakini pia, tujenge ushirikiano. Ukiona tu moto kimbia na extinguisher yako. Ni mwenzako anaungua. Usisubiri kuombwa msaada.

Michepuko yetu wawe walinzi wetu. Wajue kila kinachopangwa na wale waliokusudia kutuchoma.

Pia, natoa rai serikali ipitishe sheria ya mwanamke yeyote asiruhusiwe kununua Petrol kwenye vidumu. Wanaume pekee wapewe kibali cha kununua mafuta ya petroli.

Ahsante Mwenyekiti, Nawasilisha.
 
Suluhisho wote tukae na "faya tingisha" akiwasha, unauzima...sio kukaa kama wale faya waliochemka kariakoo
 
Mjumbe kutoka kitengo Cha makato,,
Nashauri ukiwa na akina neema uwe nao makini sanaa
 
kikao kimefunguliwa rasmi, tunajadili nini kifanyike, ili adhabu za wivu wa mapenzi zipungue katika jamii zetu. wakati tukijadili hilo usisahau kunipa vote yako kwenye hili chapisho bofya ifunguke kisha click kwenye vote Story of Change - Unavyoweza kujiajiri kwa kufundisha mtandaoni
Serikali ya mama Samia Suluhu Hassan itoe fungu la kununua gari la zimamoto kwenye kila Halmashauri la sivyo watumishi wake wa kiume wapo hatarini kupelekewa moto
 
Ahsante Mwenyekiti kwa kunipa nafasi.

Nashauri kwanza, kwa walio na wake wanunue vizima moto (fire extinguisher) kwa haraka. Kampuni zinazohusika na uagizaji zipewe tenda haraka iwezekanavyo.

Wale waliooa wachaga, haraka wakodishe magari ya maji (bowser) kwa sababu wapo kwenye hatari zaidi.

Lakini pia, tujenge ushirikiano. Ukiona tu moto kimbia na extinguisher yako. Ni mwenzako anaungua. Usisubiri kuombwa msaada.

Michepuko yetu wawe walinzi wetu. Wajue kila kinachopangwa na wale waliokusudia kutuchoma.

Pia, natoa rai serikali ipitishe sheria ya mwanamke yeyote asiruhusiwe kununua Petrol kwenye vidumu. Wanaume pekee wapewe kibali cha kununua mafuta ya petroli.

Ahsante Mwenyekiti, Nawasilisha.
Mkuu umetisha sana! Lakini hapo mwishoni naona kama kunawalakini kidogo.Sheria inaweza kubadirika lakini kupata petrol mbona rahisi tu, unamchukua dogo mmoja mtaani unamtuma petrol na kazi inaendelea.
 
Haya mambo hayawezi kuisha
Hii dunia haiwezi kutulia!

Kumbuka lile tukio la geza ulole mwanamke/mke kubanikwa
Kumbuka lile tukio la kimara mme alimtandika
Mke na chuma
Kanda ya ziwa kna mwanaume alibyofolewa dude na mke...
Matukio ni mengi na siajabu sahv tunapoandika
Kna mtu anafanyiwa umafia

Ova
 
Back
Top Bottom