Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Hiyo story of change inahusika na hiki kikao?hiki nikikao cha dharura mkuu tutafute suluhisho kwanza.
Acha uchawi wwkikao kimefunguliwa rasmi, tunajadili nini kifanyike, ili adhabu za wivu wa mapenzi zipungue katika jamii zetu. wakati tukijadili hilo usisahau kunipa vote yako kwenye hili chapisho bofya ifunguke kisha click kwenye vote Story of Change - Unavyoweza kujiajiri kwa kufundisha mtandaoni
Serikali ya mama Samia Suluhu Hassan itoe fungu la kununua gari la zimamoto kwenye kila Halmashauri la sivyo watumishi wake wa kiume wapo hatarini kupelekewa motokikao kimefunguliwa rasmi, tunajadili nini kifanyike, ili adhabu za wivu wa mapenzi zipungue katika jamii zetu. wakati tukijadili hilo usisahau kunipa vote yako kwenye hili chapisho bofya ifunguke kisha click kwenye vote Story of Change - Unavyoweza kujiajiri kwa kufundisha mtandaoni
Mkuu umetisha sana! Lakini hapo mwishoni naona kama kunawalakini kidogo.Sheria inaweza kubadirika lakini kupata petrol mbona rahisi tu, unamchukua dogo mmoja mtaani unamtuma petrol na kazi inaendelea.Ahsante Mwenyekiti kwa kunipa nafasi.
Nashauri kwanza, kwa walio na wake wanunue vizima moto (fire extinguisher) kwa haraka. Kampuni zinazohusika na uagizaji zipewe tenda haraka iwezekanavyo.
Wale waliooa wachaga, haraka wakodishe magari ya maji (bowser) kwa sababu wapo kwenye hatari zaidi.
Lakini pia, tujenge ushirikiano. Ukiona tu moto kimbia na extinguisher yako. Ni mwenzako anaungua. Usisubiri kuombwa msaada.
Michepuko yetu wawe walinzi wetu. Wajue kila kinachopangwa na wale waliokusudia kutuchoma.
Pia, natoa rai serikali ipitishe sheria ya mwanamke yeyote asiruhusiwe kununua Petrol kwenye vidumu. Wanaume pekee wapewe kibali cha kununua mafuta ya petroli.
Ahsante Mwenyekiti, Nawasilisha.