Autodidacts
JF-Expert Member
- Jun 9, 2021
- 1,165
- 1,804
Huyo jamaa nae alikuwa boya tu,unachomwaje moto na mwanamke?kikao kimefunguliwa rasmi, tunajadili nini kifanyike, ili adhabu za wivu wa mapenzi zipungue katika jamii zetu. wakati tukijadili hilo usisahau kunipa vote yako kwenye hili chapisho bofya ifunguke kisha click kwenye vote Story of Change - Unavyoweza kujiajiri kwa kufundisha mtandaoni
Tukisema ukwel tutawakosa mchepuko na yeye ukute amechoka kudanga ana taka ndoaHali iliyomkuta mwenzetu imetokana na usiri na udanganyifu wetu kwa kuwadanganya michepuko kuwa hatujaoa wala hatuna watoto. Sasa siku wakija gundua ukweli ndio moto wake ndio kama huu.
Cha kufanya ni tunapopata michepuko tuwe wawazi tu, kuwa tumeoa na tunataka mbunye mpya. Tutapewa ofa bila kuumiza mioyo yao.
Hahah hii ndo the best maana siyo kimada tu hata mkeo ndani anaweza akawa na mawazo ya kukutia kiberiti.Hakikisha unakuwa na fire extinguisher kitandani kila unapotaka kuchakatana.
Kuna wengine wanakata au kung'ata dudu, tunawazuiaje, wanasubiri umelala , unaamka unakuta damu tu kwenye duduHakikisha unakuwa na fire extinguisher kitandani kila unapotaka kuchakatana.
View attachment 1859058
😂😂😂😂😂😂😂nimecheka sanaAhsante Mwenyekiti kwa kunipa nafasi.
Nashauri kwanza, kwa walio na wake wanunue vizima moto (fire extinguisher) kwa haraka. Kampuni zinazohusika na uagizaji zipewe tenda haraka iwezekanavyo.
Wale waliooa wachaga, haraka wakodishe magari ya maji (bowser) kwa sababu wapo kwenye hatari zaidi.
Lakini pia, tujenge ushirikiano. Ukiona tu moto kimbia na extinguisher yako. Ni mwenzako anaungua. Usisubiri kuombwa msaada.
Michepuko yetu wawe walinzi wetu. Wajue kila kinachopangwa na wale waliokusudia kutuchoma.
Pia, natoa rai serikali ipitishe sheria ya mwanamke yeyote asiruhusiwe kununua Petrol kwenye vidumu. Wanaume pekee wapewe kibali cha kununua mafuta ya petroli.
Ahsante Mwenyekiti, Nawasilisha.
Kuna haja ya kuvaa helmet kiunoni.Kuna wengine wanakata au kung'ata dudu, tunawazuiaje, wanasubiri umelala , unaamka unakuta damu tu kwenye dudu
Kupiga mwanamke ni ushamba uliotukuka wala so ujanja badilikeni aisee !!! Ebo!?? Eti. Dume zima linapigana na mwanamke halafu linsjioona jaaaanjaNi kwamba wanawake kuwa na ujasiri hadi kufikia kumchoma mwanaume moto ni failure kubwa sana kwa upande wa wanaume hata mapoti wenzangu kutoka kule Mara na mzee Gentamycin hawajaamini ni namna gani hasa hili linawezekana. Sasa nyinyi endeleeni na kebehi za kutusimanga kwamba tumezidi kutembeza vipigo kwa hawa wanawake........maana mwanamke hata kumsogelea poti au kumuuliza jambo lazima ajifikirie mara mbili maana anaweza kukorofisha chaneli na akajikuta kalazwa ICU......
Kwa hiyo ujanja ni wanaume kuchomwa petroli, siyo? kipigo ndo size ili kuwekeana mipaka......ili hata kushika kiberiti mikono itetemeke, mbwa akikuzoea sana hukufuata hadi mskitini...Kupiga mwanamke ni ushamba uliotukuka wala so ujanja badilikeni aisee !!! Ebo!?? Eti. Dume zima linapigana na mwanamke halafu linsjioona jaaaanja
Unajifanya una mapenzi ya kifilipino eti, nadhani hata marehemu aliambiwa kabla baby ntakupiga kiberiti akawa anajibu no baby you can't let me sleep a bit akajikuta mshikaki.Kupiga mwanamke ni ushamba uliotukuka wala so ujanja badilikeni aisee !!! Ebo!?? Eti. Dume zima linapigana na mwanamke halafu linsjioona jaaaanja
Nunueni fire proof muwe mnazivaa muda wote hata mkilalaKikao kimefunguliwa rasmi, tunajadili nini kifanyike, ili adhabu za wivu wa mapenzi zipungue katika jamii zetu.
Wakati tukijadili hilo usisahau kunipa vote yako kwenye hili chapisho.
Bofya ifunguke kisha click kwenye vote: Story of Change - Unavyoweza kujiajiri kwa kufundisha mtandaoni
Nunueni fire proof muwe mnazivaa muda wote hata mkilalaKikao kimefunguliwa rasmi, tunajadili nini kifanyike, ili adhabu za wivu wa mapenzi zipungue katika jamii zetu.
Wakati tukijadili hilo usisahau kunipa vote yako kwenye hili chapisho.
Bofya ifunguke kisha click kwenye vote: Story of Change - Unavyoweza kujiajiri kwa kufundisha mtandaoni
Wanawake wajifunze kukubaliana na ukweli kwamba hakuna mwanaume wa mwanamke mmoja.Kikao kimefunguliwa rasmi, tunajadili nini kifanyike, ili adhabu za wivu wa mapenzi zipungue katika jamii zetu.
Wakati tukijadili hilo usisahau kunipa vote yako kwenye hili chapisho.
Bofya ifunguke kisha click kwenye vote: Story of Change - Unavyoweza kujiajiri kwa kufundisha mtandaoni
hahahNunueni fire proof muwe mnazivaa muda wote hata mkilala
Mtu kichaa akiamua atakutafuta tu1-marufuku kulala kwa mawanamke hata kama umeshamtolea barua.
2-hata ukiwa ndani usiruhusu atoke peke yake nje, hata kama anakwenda chooni toka ndani bro.
3-uongo wa kuficha ficha mahusiano mengine umeshapitwa na wakati. hata wake zetu ndani wanajua tuatoka, kikubaa heshima. mchepuko ndio nani!!!
4-chunguza akili za mpenzi/mke wako, mara nyingi wauaji huwa wana tabia ya kuropoka ropoka mara kwa mara, usijedhani anatania bro. hiyo ni pepo iliyoko kwake ndio inaongea.
5-milango yetu iwe ni ile ya kufunga ndani na si nje, kama vitasa ni hivi vya kisasa hakikisha funguo haziachwi mlangoni mara kwa mara.