Baada ya Tulia kutumika, mumewe boss wa Ewura naye apigwa chini

Tindo

Platinum Member
Joined
Sep 28, 2011
Posts
72,020
Reaction score
129,293
Tulia Ackson aliyekuwa anaona sifa kutunga sheria mbaya, na kutumika kulinda uovu wa serekali bungeni, alipigwa chini.

Na kabla hajapoa vizuri mumewe naye kapigwa chini Sasa wakae wapitie uovu waliofanikisha kwenye nchi hii, kisha watuletee mrejesho wa wao kugeuka kuwa madekio.

sddefault.jpg
 
Tulia Akson aliyekuwa anaona sifa kutunga sheria mbaya, na kutumika kulinda uovu wa serekali bungeni, alipigwa chini.

Mingu sii mjomba mchumari wala Njomba Achumani!Ila ni wa wote.Binafsi niliona mbali dana tangu akiwa naibu hatari aliyokuwa akiitengene,za kwa kasi kubwa ndani ya yaifa hili.
 
Tulia Akson aliyekuwa anaona sifa kutunga sheria mbaya, na kutumika kulinda uovu wa serekali bungeni, alipigwa chini.

Na kabla hajapoa vizuri mumewe naye kapigwa chini Sasa wakae wapitie uovu waliofanikisha kwenye nchi hii, kisha watuletee mrejesho wa wao kugeuka kuwa madekio.
Tulia alitolewa kwa kushindwa kuishauri sirikali vizuri, hivyo kusababisha serikali kuonekana ya hivyo na kupitia hasara hasara kubwa. Mambo ya MO29 ni Bunge la Tulia sio tatizo la serikali kuu.mambo ya uteuzi mvivu ni Kufeli Kwa Bunge kusimamia vizuri serikali.
 
Back
Top Bottom