mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,490
- 138,365
Kweli kabisaMarupurupu sio uspika mkuu!
Cheo ni cheo tuu, kikiisha tena kimafia lazima kikuume tuu.
Ova
Kweli kabisaMarupurupu sio uspika mkuu!
Cheo ni cheo tuu, kikiisha tena kimafia lazima kikuume tuu.
brother, kujuta nadhani unaweza ukawa wewe ndiyo wa kujuta. wameshavuna za kutosha na hawana cha kupoteza. hilo lifikirie mara 2.She is now learning the hard way.
Wanyakyusa wanasema "Ikuswiga" yaani anajuta sana.
Fedha zao ni za nguvu ya madaraka, lakini wakianza kupoteza muda kwenye jam bila ving'orq wanakuwa wa kawaida sana.brother, kujuta nadhani unaweza ukawa wewe ndiyo wa kujuta. wameshavuna za kutosha na hawana cha kupoteza. hilo lifikirie mara 2.
Ukiwa na pesa mara nyingi watu wanafikiria power, Ni ukweli utajiri unakwenda na power.Japokuwa sijaelewa vizuri unachokusudia kusema lakini kwa baadhi ya wanasiasa fedha bila cheo ni mateso makubwa. Na pia life style aliyozoea kuishi akiwa kiongozi ni ngumu sana ku-mantain kwa gharama zake.
Kwa kumueleza ukweli na sio kufanya kazi kichawaKuisimamia serikali vizuri kivipi?
Sio kweli na huko ni kujifariji. Hawawezi kuguswa na system hao hata iwejeUtajiri wao una nguvu wakiwa na jeuri ya madaraka, nje ya madaraka ni matajiri uchwara.
Unajuaje, labda ni maandalizi ya Tulia kupewa post ya nje huko ili aende na mumewe asimwache nyumbani. Msiwe na haraka. Serikali haivunji ndoa za watu. Kama Tulia anapewa post ya New York mumewe inabidi aondolewe EWURA ili akawe mwambata kwenye ubalozi wa Tanzania huko USA, ili wapendanao hawa wazidi kuwa pamojaTulia Ackson aliyekuwa anaona sifa kutunga sheria mbaya, na kutumika kulinda uovu wa serekali bungeni, alipigwa chini.
Na kabla hajapoa vizuri mumewe naye kapigwa chini Sasa wakae wapitie uovu waliofanikisha kwenye nchi hii, kisha watuletee mrejesho wa wao kugeuka kuwa madekio.
Familia imeingia kwenye 18 za jini Samuya.Tulia Ackson aliyekuwa anaona sifa kutunga sheria mbaya, na kutumika kulinda uovu wa serekali bungeni, alipigwa chini.
Na kabla hajapoa vizuri mumewe naye kapigwa chini Sasa wakae wapitie uovu waliofanikisha kwenye nchi hii, kisha watuletee mrejesho wa wao kugeuka kuwa madekio.
View attachment 3566609