nusuhela
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 6,607
- 8,381
Nashangaa watu eti wanashangilia. 😂Sure ni mabilionea hao..
Mahela waliyo pata tangu enzi za jiwe.. hata wakiamua kutofanya kazi wakae chini wazitafune tu wata piga nyingi
Nashangaa watu eti wanashangilia. 😂Sure ni mabilionea hao..
Mahela waliyo pata tangu enzi za jiwe.. hata wakiamua kutofanya kazi wakae chini wazitafune tu wata piga nyingi
Kwa kuwa na wewe ni mtanzania, huhitaji kuuliza wengine. Jiulize mwenyewe kama una akili.Wratanzania mna matatizo ya akili?
Wengine watajifunzia KUZIMU. Sio lazima wajifunze hili wakiwa haiHawa jamaa wajifunze vyeo, majivuno vyote vinapita.. tuishi na watu vizuri.
Mkuu siasa haiko hivyo. Ukishaingia kwenye uongozi wa siasa ni kama kuna nguvu ya uvutano. Hutaki tena kutoka hata kama una ukwasi mkubwa kabisa. Marehemu Lowassa alikuwa amekosa nini mpaka kuhamia CHADEMA kutimiza lengo lake? Mbowe naye aliondoka kwa kudhalilika wakati ana fedha za kutosha. Rig G wa Kenya naye ni tajiri mkubwa lakini hataki kutulia ale fedha yake. Trump..... kuna mifano mingi sana.Sure ni mabilionea hao..
Mahela waliyo pata tangu enzi za jiwe.. hata wakiamua kutofanya kazi wakae chini wazitafune tu wata piga nyingi
Japokuwa sijaelewa vizuri unachokusudia kusema lakini kwa baadhi ya wanasiasa fedha bila cheo ni mateso makubwa. Na pia life style aliyozoea kuishi akiwa kiongozi ni ngumu sana ku-mantain kwa gharama zake.Unafikiri kiasi walichojichumia kitaisha wakiwa hai!! Kaapo ukisubiri kuwaona kwenye mstari wa TASAF 😂😂
Hivi lile Jimbo lilichukuliwa na yupi kati yao Tulia au Sugu?Bimdashi atakuwa alipewa umbea flani kuhusu huyu Betina. Sema huyo Redio wa zamani alilewa sana sifa. 😁
Sugu atakuwa anacheka sana bafuni.
Lakini marupurupu nk ya uspika si anapewaShe is now learning the hard way.
Wanyakyusa wanasema "Ikuswiga" yaani anajuta sana.
But power and fame also! Matters!Tulia hajapoteza sana! Bado ni mbunge,anakula za ubunge,anapata 80% ya mshahara wa Supika,(kama sikosei)!
Niseme tu wamepoteza heshima kwa Jamii lakini kiuchumi wako vizuri.
Kuisimamia serikali vizuri kivipi?Tulia alitolewa kwa kushindwa kuishauri sirikali vizuri, hivyo kusababisha serikali kuonekana ya hivyo na kupitia hasara hasara kubwa. Mambo ya MO29 ni Bunge la Tulia sio tatizo la serikali kuu.mambo ya uteuzi mvivu ni Kufeli Kwa Bunge kusimamia vizuri serikali.
Lakini marupurupu nk ya uspika si anapewa
Ova
Hivi lile Jimbo lilichukuliwa na yupi kati yao Tulia au Sugu?
Una maana gani kuuliza?Wratanzania mna matatizo ya akili?