Hatuchekei bafuni, tunachekea njia panda tena mchana kweupeBimdashi atakuwa alipewa umbea flani kuhusu huyu Betina. Sema huyo Redio wa zamani alilewa sana sifa. š
Sugu atakuwa anacheka sana bafuni.
Kubinua midomo hakusaidiiHawa jamaa wajifunze vyeo, majivuno vyote vinapita.. tuishi na watu vizuri.
Mingu sii mjomba mchumari wala Njomba Achumani!Ila ni wa wote.Binafsi niliona mbali dana tangu akiwa naibu hatari aliyokuwa akiitengene,za kwa kasi kubwa ndani ya yaifa hili.Tulia Akson aliyekuwa anaona sifa kutunga sheria mbaya, na kutumika kulinda uovu wa serekali bungeni, alipigwa chini.
Na kabla hajapoa vizuri mumewe naye kapigwa chini Sasa wakae wapitie uovu waliofanikisha kwenye nchi hii, kisha watuletee mrejesho wa wao kugeuka kuwa madekio.
Mungu awabariki wazungu.Shetani hana Rafiki
Sure ni mabilionea hao..Wameshavuna za kutosha hao hawana cha kupoteza
Tulia alitolewa kwa kushindwa kuishauri sirikali vizuri, hivyo kusababisha serikali kuonekana ya hivyo na kupitia hasara hasara kubwa. Mambo ya MO29 ni Bunge la Tulia sio tatizo la serikali kuu.mambo ya uteuzi mvivu ni Kufeli Kwa Bunge kusimamia vizuri serikali.Tulia Akson aliyekuwa anaona sifa kutunga sheria mbaya, na kutumika kulinda uovu wa serekali bungeni, alipigwa chini.
Na kabla hajapoa vizuri mumewe naye kapigwa chini Sasa wakae wapitie uovu waliofanikisha kwenye nchi hii, kisha watuletee mrejesho wa wao kugeuka kuwa madekio.
Tena pale mataa mafiatiš¤£š¤£Hatuchekei bafuni, tunachekea njia panda tena mchana kweupe