Ni dhahiri kuwa chadema baada tu ya uchaguzi watashikwa na butwaa wasijue wafanye nini maana kwa sasa wanachokihubir ni kitu ambacho hakiwezekani waytu wanajiandaa kwa uchaguzi wanabaki na kakikundi kado sana na chadema hawajui watanzania walivyo yaaani wasione watu wanavyojaa kwenye mikutano yao wakajuwa hao waote watu wao wengine wanakuja kusikiliza tu hawahusiki katika kura wamuulize mrema alijihakikishia ushindi kwa nyomi za watu lakini akaambuilia hola sasa bado wao bora wamsikilize ACT wangefanikiwa viti vya ubunge kwenda kuona wanafanyaje bungeni lakini kukaa nje miaka mitano ni ujinga wakujitakia, kuzuia uchaguzi ni ndoto ya mchana wanaota hawawezi na hakuna nguvu ya umma wanayoitegemea kuwasaidia kama kenya never, mwakani watakuwa wanajadiri kama walivyokuwa wanajadiri ukawa na vingine vilivyoita bila mafanikio, uongozi wa lissu umewaingiza chaka hawatakaa wasahau milele
akiwemo anayeona anaweza kuzuia uchaguzi we tuambie watauzuiaje ndiyo ujijue je uko katika kundi ganiWapuuzi ni wengi sana kwenye hii dunia
ulitaka tujadiri nini labdaKuijadili CHADEMA inaonesha Kuna impact ndani yake.
Malasti boni wa Taifa😂😂😂. Wanasema watapiga kelele kwa marafiki zao wa Belgium watawasaidia🤦♀️🤦. Rejea mahojiano baada ya fungate yaoAloo, ama nasubir mwezi October ufike.
NTACHEKA SANA.
(japo kwa huzuni)
Mana assue wanayoipqmbqnia ni muhim ila shida yao wana aproaches za ki last born kila siku.
During bunge la katibq they did the same.
mwakani ndiyo wataanza kulaumiana kwanini walisikiliza ujinga huoKususia ama kutaka kuhamamsisha kuharibu uchaguzi ni kosa kubwa sana aliloanza nalo Lissu. Effect Yako wataanza kuiona mwakani.
mwajidanganya sanaaaa
Kususia ama kutaka kuhamamsisha kuharibu uchaguzi ni kosa kubwa sana aliloanza nalo Lissu. Effect Yako wataanza kuiona mwakani.
Uchaguzi bila chadema si Uchaguzi ni maigizo ni Uchaguzi bandia, Hakuna Uchaguzi mwaka huu bali kuna wizi wa kura na kupoteza pesa za walipa kodi bure, bora hizo pesa zielekezwe kwenye maendeleo zijenge barabara, hospital, vyuo mashule kisha com wajitangazie ufalumeNi dhahiri kuwa chadema baada tu ya uchaguzi watashikwa na butwaa wasijue wafanye nini maana kwa sasa wanachokihubir ni kitu ambacho hakiwezekani waytu wanajiandaa kwa uchaguzi wanabaki na kakikundi kado sana na chadema hawajui watanzania walivyo yaaani wasione watu wanavyojaa kwenye mikutano yao wakajuwa hao waote watu wao wengine wanakuja kusikiliza tu hawahusiki katika kura wamuulize mrema alijihakikishia ushindi kwa nyomi za watu lakini akaambuilia hola sasa bado wao bora wamsikilize ACT wangefanikiwa viti vya ubunge kwenda kuona wanafanyaje bungeni lakini kukaa nje miaka mitano ni ujinga wakujitakia, kuzuia uchaguzi ni ndoto ya mchana wanaota hawawezi na hakuna nguvu ya umma wanayoitegemea kuwasaidia kama kenya never, mwakani watakuwa wanajadiri kama walivyokuwa wanajadiri ukawa na vingine vilivyoita bila mafanikio, uongozi wa lissu umewaingiza chaka hawatakaa wasahau milele
Utekaji mauaji kubambikia kesi za uongo huwa unawafanyia ccm?Kwani chadema kwa sasa ina Wabunge bungeni au Rais na miaka mingapi toka enzi ya Magu imekufa au bado ipo jiulize hapo kwanza mtoa mada.
kila mkitu cha mama hata nchi ya mama hamieni burundi ambao mnaona shida kukaa nchini
kwani chadema siyo chama cha siasa, na kama ni chama cha siasa kina utofauti gani na vyama vingine vinavyoshiriki asuse wengine wanashiriki who is chadema by the way vingine 11 vinashiriki hakuna shidaUchaguzi bila chadema si Uchaguzi ni maigizo ni Uchaguzi bandia, Hakuna Uchaguzi mwaka huu bali kuna wizi wa kura na kupoteza pesa za walipa kodi bure, bora hizo pesa zielekezwe kwenye maendeleo zijenge barabara, hospital, vyuo mashule kisha com wajitangazie ufalume