GE2025 Baada ya uchaguzi CHADEMA watashikwa na butwaa kusubiri miaka mitano ijayo nje ya siasa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

uchaguzi

  • Total voters
    4
  • Poll closed .
Watanzania ni wavivu sana, hivyo ukimwambia asiende kupiga kura KWELI HAENDI.

Wala hakuna haja ya kumuhonga, ndio maana wale wengine wanatumia nguvu kubwa sana kuzuia watu wasiambiwe mf; kuzuia mikutano ya nrne, kupeleka watu kortini, watu kuhama hama.

Ila kama hawa wangeachwa wazunguke jamhuri nzima, asee!!! Mbona mapema tu.
 
kwani chadema siyo chama cha siasa, na kama ni chama cha siasa kina utofauti gani na vyama vingine vinavyoshiriki asuse wengine wanashiriki who is chadema by the way vingine 11 vinashiriki hakuna shida
Kama ndivyo kwanini mnakitajataja?,Kwanini msitaje vyama vingine!
 
Baada ya uchaguzi mkuu hakutakuwa tena na chadema. Yaani haitakuwepo ie there will be no chadema & no reforms after election.
 
endeleeni kujidanganya chama cha siasa nia yake ni kushika dola sasa chadema hawataki uchaguzi wanataka kufanya nini wacha wakae miaka mitano uchaguzi mwingine tena wasuse wakae tena miaka mitano hivyohivyo wafanye kila muhula wa uchaguzi milele
 
Kwa miaka zaidi ya 60 CCM wamekuwa peke yao kwenye uongozi wa nchi hii, sheria, sera, na katiba ya nchi, vyote vinawebeba wao kuendelea miaka mingine 60, vyama vingine vya siasa vimekuwa sehemu ya kubariki mfumo huo hadi leo, ndio maana wakina Zitto hawaoni shida kushiriki kuhalalisha haya.

Chadema kwa upande wao wameamua wakae pembeni wafanye jambo muhimu zaidi, kutaka mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi na katiba mpya ili siasa ziwe za wote na si chama tawala pekee.
 
endeleeni kujidanganya chama cha siasa nia yake ni kushika dola sasa chadema hawataki uchaguzi wanataka kufanya nini wacha wakae miaka mitano uchaguzi mwingine tena wasuse wakae tena miaka mitano hivyohivyo wafanye kila muhula wa uchaguzi milele

Dola ipi ambayo vyama vya upinzani vitashika pasipo mabadiliko?
 
wanajibiwa kwasababu wanajifanya kihelehele
Wao wamesema hawashiriki uchaguzi,wewe kinakuuma Nini?,kwanini wewe na CCM yako msifurahi kwasababu mnaenda kushinda Kwa kishindo bila bugudha?

Kuendelea kuwataja taja CHADEMA ni dhahiri mnaamini Bila CHADEMA hakuna uchaguzi Bali ni Ulaghai
 
hakuna kitu kama hicho chadema ni nani
 
Mnaowananga Cdm ili ishiriki uchaguzi ktk mazingira yaliopo. Ili iweJe ?!. Ili wamfurahishe nani ikiwa kura za wananchi hazizingatiwi !!
 
Kwani wasiposhiriki wewe inakupungukia nini,ni faida ipi inapatikana kwa kumwaga damu za watuu wakishirikii ,Wasipo shiriki maana itakuwa imewalinda wanachama wao ,kitu ambacho katk nchi hii hakuna chama chochote kinachoweza kufanya hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…