GE2025 Baada ya uchaguzi CHADEMA watashikwa na butwaa kusubiri miaka mitano ijayo nje ya siasa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

uchaguzi


  • Total voters
    4
  • Poll closed .
Kwani hii miaka mitano 2020 hadi 2025 waliyoishi nje ya siasa walipungukiwa nini?
 
Lissu alitakiwa klifahamu hili tangu mapema

Alitakiwa kua na akili ya kujua uamuzi wanaofanya ni useless na haukisaidii chama

watajijua bwana....watavuna matokeo ya uamuzi wao mbovu
 
kwani chadema siyo chama cha siasa, na kama ni chama cha siasa kina utofauti gani na vyama vingine vinavyoshiriki asuse wengine wanashiriki who is chadema by the way vingine 11 vinashiriki hakuna shida
No reforms no election
 
No Reforms No Elections huu msimamo hautabadilika kamwe
hiyo ni sentensi

kuna kususia uchaguzi na kuna kuzuia uchaguzi..

la kwanza hapo ni uamuzi mbovu na la pili haliwezekani

shida mna akili ndogo sana.....mnaua chama kwa kukosa akili...we knew this
 
kwani chadema siyo chama cha siasa, na kama ni chama cha siasa kina utofauti gani na vyama vingine vinavyoshiriki asuse wengine wanashiriki who is chadema by the way vingine 11 vinashiriki hakuna shida
Waafrika hamnaga akili uko hapa unajadili chadema alafu unauliza chadema nini au ni nani? Kwanini usijadili vyama vingine?
 
hiyo ni sentensi

kuna kususia uchaguzi na kuna kuzuia uchaguzi..

la kwanza hapo ni uamuzi mbovu na la pili haliwezekani

shida mna akili ndogo sana.....mnaua chama kwa kukosa akili...we knew thi
😁😁😁 Eti tunauwa chama ktk kipndi Chadema kipo imara basi ni sasa
No Reforms No Elections ni mwiba Lumumba hakukaliki
 
Hivi wabongo mnavichwa vigumu au akili hakuna, bongo hakuna uchaguzi, ni uchaguzi mtupu, hv mmesahau futuhi alizofsnya shetani jiwe?kuengua wapinzani wote! Walipita, wakategwa, unarudisha form, unakamatwa unafungwa, muda wa Kurdish form ukiisha, unaachiliwa, harafu kenge wakasema, aaaa wapinzani walishindwa kurudisha form kwa wakati!
Hapo hakuna uchaguzi, maamuzi, yanafsnywa kutokea ikulu, nani ashinde wapi, kuanzia diwani mpaka mbunge, harsfu unataka akili kubwa chadema washiriki huu uchafu,?!
 

Kwani wapo ndaniπŸ€¦πŸΎβ€β™‚οΈπŸ˜‚πŸ˜‚
 
OLE WAKE MWANANCHI ATAKAYE ENDA KUPIGA KURA
NO REFORMS NO ELECTIONS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…