GE2025 Baada ya uchaguzi CHADEMA watashikwa na butwaa kusubiri miaka mitano ijayo nje ya siasa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

uchaguzi


  • Total voters
    4
  • Poll closed .
😁😁😁 Eti tunauwa chama ktk kipndi Chadema kipo imara basi ni sasa
No Reforms No Elections ni mwiba Lumumba hakukaliki
mkuu

unajua chama cha siasa kinapimwa uhai wake kwa parameters zipi?

hujui

lets leave it at that!

No reforms no election ni sentensi nzuri sana...ila kususa ni uamuzi mbovu,kuzuia uchaguzi haiwezekani,whats the 3rd option?

Hakuna

hapo ndio mnapoonekana wajinga
 
Nani kakudanganya kuzuia uchaguzi haiwezekani?? Subirini muone
 
Sasa kwani CHADEMA ni kampuni hadi iogope hasara?. Kama tukipoteza ni nchi imepoteza na wananchi wamepoteza na wala siyo CHADEMA. CHADEMA is as relevant as the people care about their own fate, if they don't then CHADEMA can't help.
 
Nani kakudanganya kuzuia uchaguzi haiwezekani?? Subirini muone
utazuia uchaguzi kwa kulala nyumbani?

kama unaweza kuzuia uchaguzi kwanini usizuie lissu kushikwa na kufungwa?

kama unaweza kuzuia uchaguzi kwanini usizuie vyama vingine kujiandikisha?

kwanini usizuie wananchi kujiandikisha?

mkuu unadhani unaongea na mtoto mdogo hapa?
 
Unaelewa maana ya no reforms no elections??
 
Mbona tangu 2020 wako nje ya siasa? Kuwa na Mbunge mmoja is a disgust!
 
mwakani ndiyo wataanza kulaumiana kwanini walisikiliza ujinga huo
Kwa tume hii waache wakae hivyohivyo maana hata wakishiriki uchaguzi pia watalaumiana mwakani. Maana watatoka bila mbunge wala diwani.
 
Aloo, ama nasubir mwezi October ufike.
NTACHEKA SANA.

(japo kwa huzuni)
Mana issue wanayoipambania ni muhim ila shida yao wana aproaches za ki last born kila siku.

During bunge la katibq they did the same.
Katiba mpya ilifanikiwq kwa waliobaki ndani ya Bunge?
 
endeleeni kujidanganya chama cha siasa nia yake ni kushika dola sasa chadema hawataki uchaguzi wanataka kufanya nini wacha wakae miaka mitano uchaguzi mwingine tena wasuse wakae tena miaka mitano hivyohivyo wafanye kila muhula wa uchaguzi milele
Yaani watu wamesubiri miaka 60 wewe unawasimanga kwa miaka 5 tu. Sisi wananchi tusiogombania ubunge haituumizi chochote itawaumiza wanaosaka ulaji wa bungeni. Chadema haifi wananchi wasio na shida na hela za ubunge wapo, wanaweza kusubiri hata miaka 60 mingine kwahiyo isikusumbue kichwa chadema kutoingia kwenye uchaguzi wa upande mmoja.
 
Katiba mpya ilifanikiwq kwa waliobaki ndani ya Bunge?

Vipi unadhan Njia ya kutoka nje ilileta faida gani , na kwa uzoefu huo kutoka kwenye swala la kuzira during katiba mpya unadhan issue ya kuzira uchaguzi itatupa matokeo gan ?
 
kwani chadema siyo chama cha siasa, na kama ni chama cha siasa kina utofauti gani na vyama vingine vinavyoshiriki asuse wengine wanashiriki who is chadema by the way vingine 11 vinashiriki hakuna shida
Chadema hajasusa bali kaenguliwa na Tumeccm kwa kisingizio kuwa hawakujaza form na hivyo vyama vingine ni vyama chawaccm si vyama vya upinzani
 
Cdm hawatamani kushiriki uchaguzi wa kishenzi. Naona mnadhani cdm watamiss kushiriki huo uchaguzi wa kihuni. Wangekuwa wanatamani wangesaini kanuni za chaguzi za kihuni. Hakuna wajinga wa kudumu, wanaotamani kushiriki chaguzi kiinimacho shirikini nao, lakini cdm kwakuwa inajitambua haiko tayari. Tuko tayari kulipa gharama za kutoshiriki uhuni, lakini kamwe si kushiriki upuuzi.
 
endeleeni kujidanganya chama cha siasa nia yake ni kushika dola sasa chadema hawataki uchaguzi wanataka kufanya nini wacha wakae miaka mitano uchaguzi mwingine tena wasuse wakae tena miaka mitano hivyohivyo wafanye kila muhula wa uchaguzi milele
Wafanye chaguzi za watu wao kuuawa hii unaona ni sahihi?
 
kwani chadema siyo chama cha siasa, na kama ni chama cha siasa kina utofauti gani na vyama vingine vinavyoshiriki asuse wengine wanashiriki who is chadema by the way vingine 11 vinashiriki hakuna shida
Hatujali wingi tunajali haki na tuna hoja za msingi, msimamo wetu ni uchaguzi wa haki. Huo wingi bakini nao nyinyi maaana una maana kwenu. Sisi msimamo wetu uko wazi. Uchaguzi wa kishenzi hatushiriki fullstop.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…