GE2025 Baada ya uchaguzi CHADEMA watashikwa na butwaa kusubiri miaka mitano ijayo nje ya siasa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

uchaguzi


  • Total voters
    4
  • Poll closed .
hiyo ni sentensi

kuna kususia uchaguzi na kuna kuzuia uchaguzi..

la kwanza hapo ni uamuzi mbovu na la pili haliwezekani

shida mna akili ndogo sana.....mnaua chama kwa kukosa akili...we knew this
Kamq chama kinakufa mbona mnakishambulia? Kiacheni mtaani kieneze elimu
 
hiyo ni sentensi

kuna kususia uchaguzi na kuna kuzuia uchaguzi..

la kwanza hapo ni uamuzi mbovu na la pili haliwezekani

shida mna akili ndogo sana.....mnaua chama kwa kukosa akili...we knew this
Bora cdm kife, kuliko kwenda kushiriki uchaguzi kiinimacho. Uchaguzi wa SM za mitaa walishiriki, na uchaguzi ukabakwa. Walipata kipi cha maana zaidi ya kuhalalisha majizi kukaa madarakani?
 
Kama ujinga wa cdm ni kutosaini kushiriki chaguzi za kihuni acha waonekane wajinga. Hao wanaonekana werevu kwa kushiriki chaguzi za kihuni wazidi kuonekana werevu. Hakuna uwezekano wa watu kufanywa wajinga muda wote. NRNE.
 
Aloo, ama nasubir mwezi October ufike.
NTACHEKA SANA.

(japo kwa huzuni)
Mana issue wanayoipambania ni muhim ila shida yao wana aproaches za ki last born kila siku.

During bunge la katibq they did the same.
Kama alivyoshangaa mzazi wako alipopoteza Bikra kwa chips yai na soda baridi coca kutoka kwa muhuni πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ€£
 
Si bora upigwe na butwaa kuliko uwe umeshirika kuhalarisha haramu
 
Kwani hii miaka mitano iliyopita walikuwemo bungeni?? mbona bado ni tishio sasa
 
Swali gani sasa hilo so mtazuia uchaguzi huku mmekaa nyumbani au kwenye simu ya kawaida yako..... au utakuwa busy kupost jinsi ya kutengeneza kijiko kwa mianzi
Kwahiyo kwa akili zenu uchaguzi utazuiwa kwa maandamano? πŸ˜† AKILI ZA KIWAKI NAMNA HII MNAZITOA WAPI!?
 
Ila ujue sisi ndio tunahangaika, haya majamaa yanajua yanachokifanya, yanasema tuendelee tu na uchaguzi, yenyewe yamemaliza swala lao kwamba NrNe
Wewe mleta mada na mimi, pamoja na wote tunaoendelea na uchaguzi October, kiukweli tunahaha sanaπŸ˜€.
Inavoonesha haya majamaa hayataingia kwenye uchaguzi na ujumbe wao utafika nchi nzima.
Japo muda hautoshi, lakini viongozi wetu wakuu wakiamua tunaweza kuziangalia hizo baadhi ya Sheria. Ili yaingie kwenye uchaguzi.
We fikiria kati ya vyama vingine 17 yenyewe ndio yanatuyumbisha kichwaπŸ˜€
 
Kama alivyoshangaa mzazi wako alipopoteza Bikra kwa chips yai na soda baridi coca kutoka kwa muhuni πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ€£
NAPATA SHIDA aKUITAMBUA JINSIA YAKO

Au nikuulize ukishamtusi mzazi unajiskiaje sasa ???
Whats the big deal so far ???


**jifunze kujenga hoja, achana na kujifunza mambo ya kutusi watu,
ningeweza kusema hiyo ni tabia ya kike ila hapana, hata wanawake Akina leo dada BICHWA KOMWE hawana hizo mishe.
Ningeweza kushawishika kukubali nikiambiwa wewe ni shoga sabab unakiuka uafrika ambao haturuhusu kuwatusi wazazi wetu.
Nandagala One kama wewe sio shoga basi acha kuwatusi wazazi Leo sabab ndo Dalila za ushoga mdogo angu.
 
You deserve such kind of reply, for arrogant thread you posted πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 

 
Kama ujinga wa cdm ni kutosaini kushiriki chaguzi za kihuni acha waonekane wajinga. Hao wanaonekana werevu kwa kushiriki chaguzi za kihuni wazidi kuonekana werevu. Hakuna uwezekano wa watu kufanywa wajinga muda wote. NRNE.
unajichagulia uamuzi na kujipa matokeo hapo hapo kana kwamba in a long run ni amuzi sahihi

si kweli ndugu

vyama ni very fragile,vikikosa popularity hata kidogo tu kuna chama kinachofanya replacement

kama ACT wanavyofanya

tuliwaambia,kugomea uchaguzi ni lazima ushirikishe vyama vyote 17,na ACT ni lazima ushirikiane nacho ili huo mgomo uwe na maana

Lissu wenu alichojibu,"tushirikiane na ACT ili iweje".....sasa imekua

Tulitegemea Lissu afanye strategic partnerships na vyama vingine vidogo ili kua na united front against ccm,unfortunately Lissu did this wrong!

hamkusaini,wamesaini wengine sababu mlikataa ushirikiano,now nyie ndio mnalipa the price

on top of that ZItto na chaumma wanabeba members wenu na potentially wanawa replace kama chama kikuu cha upinzani

nyie mnabaki na "tunapendwa"...."tupo mioyoni"....."chadema imani"....na blah blah zingine as if wananchi cares when umaarufu ukipungua,they are not loya,wanafata penye issue

yall are NCCR Version 2.0!
 
Bora cdm kife, kuliko kwenda kushiriki uchaguzi kiinimacho. Uchaguzi wa SM za mitaa walishiriki, na uchaguzi ukabakwa. Walipata kipi cha maana zaidi ya kuhalalisha majizi kukaa madarakani?
bora chadema kife?

are you fucking kidding me?

kikifa utahamia chaumma?

kumbe nyie sio walinda taasisi ili mpate platform ya kupigania mnachoamini?

upo baharini,unataka chombo kife halafu utapambanaje bila chombo?

akili ndogo

nyie ndio kuhama chadema ni dakika sifuri,mlikua hamkipendi chadema mnapenda watu na wala sio taasisi

lissu akihama mnahama nae...mtahamia cck....
 
Nyie ndio mpo kwenye zile kamati za kuiba kura CCM haijawahi kumshinda maalim seif katika uchaguzi hata mmoja kule zanzibar kwa hyo hoja yako ni dhaifu weka free election uone mtakavyonyooka manaibia watu halafu mnajisifia.
 
You deserve such kind of reply, for arrogant thread you posted πŸ€”πŸ€”πŸ€”
bila kukukosea heshima naomba nikukumbushe, ...
. Unaowajib wa kuwaheshim na kuwaumsaidia wazee hata kama si wazazi wako.

huo ndo utanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…