Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa 2025Tuanzie kwa Baba wa Taifa Mwl. J. K. Nyerere hadi uchaguzi wa 2025.
Ni uchaguzi upi ambao ulikuwa huru na haki?
Ikumbukwe enzi za Mwalimu, uchaguzi wa Rais ilikuwa ni Nyerere against kivuli.
Hata baada ya vyama vingi hakujawahi kuwa na TUME HURU YA UCHAGUZI ambapo kikundi cha waratibu wa wizi wa kura kimekuwa kikipitisha ushindi usio haki dhidi ya kura za wananchi.
Labda mimi ni junior mno sielewi historia. Je lini Tanzania ilikuwa na uchaguzi huru na haki?
Kwa nini Serikali inatumia mabavu kupitiliza kuiba kura kwa niaba ya CCM?
Akina Polepole, Bashiru na wenzao ushiriki wao katika WIZI MKUU wa kura 2015. Wana guts gani kujiona wasafi na wanaweza kuivusha nchi wakati ni CCM walewale majizi na majambazi ya Demokrasia?
Tutafakari
Ndugu yangu hivi unajua nini babu zako walitendwa na hao Wakoloni? Emdapo wanakusikia huko walipo basi unaweza pata laana.Mkuu bora kutawaliwa na mkoloni Mweupe kuliko mkoloni mweusi ukirejelea historia ya Uhuru wakolonj weupe waliandaa uchaguzi huru na haki ulio usisha vyama vyote vya wakati huo na Nyerere (TANU) aliibuka mshindi Cha kushangazaa alipo kuwa rais akafuta mfumo wa vyama vingi na kuacha chama kimoja tu CCM (tamaa ya madaraka) yaani uchaguzi unaitishwa mgombea ni mmoja tu sasa huu ulikuwa uchaguzi au ujinga wa mwafrika kwenye sanduku la kura.
Licha kwamba nchi ilikuwa kwenye mfumo wa chama kimoja bado wizi wa Kura ulikuwepo kipindi Cha kura za ndio mkoa wa Kigoma Mzee Mwinyi alipata Kura nyingi kuzidi idadi ya wapiga Kura[emoji23][emoji23]
Ina shangazaa tunatumia billions of money kuandaa uchaguzi hewa maana anaye panga matokeo ya uchaguzi yupo Ikulu na team ya wizi na wakati huo huo nae ni mgombea.kuna matendo huwa yanafanywa na waafrika mpaka una shangaa kwamba hawa ni binadam au wanyama
"Uafrika ni ufinyu wa akili na fikra "Botha
Ndio, mwaka 2020 chini ya Rais kipenzi cha watanzania kulikuwa na uchaguzi huru na haki.