Baada ya Uhuru, Tanzania imewahi kuwa na uchaguzi mkuu HURU na HAKI?

Kipi kipimo sahizi cha Uchaguzi Huru na Haki.

Kwa kutokea mifano kwa nchi ambazo unaamini kua zinademokrasia ya Uchaguzi au zinatume ambazo mnaita Huru.

Kenya na Marekani.
 
Wa 2025
 
Ndugu yangu hivi unajua nini babu zako walitendwa na hao Wakoloni? Emdapo wanakusikia huko walipo basi unaweza pata laana.
 
Uchaguzi wa 2025 umefanyika lini?[emoji15][emoji15]
Au mimi ndio nimeachwa sehemu, maana bado niko 2023 tena mwanzoooni kabisa.
Mwandishi usiwe serious sana, punguza mihemko unapoandika[emoji2][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…