wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
😄😄 Warussi wenyewe wanakwambia kwny Ile kamati ya kudumu ya usalama ya kitaifa angalau Putin ndio mwenye roho nzuri/sio radical.Siku wakikutana na kina Dmitry Medvedev akiwa Ni mwenye full power bila uwepo kabisa wa Putin ndipo watamkumbuka Putin kiroho Safi.Urusi kuitenga ni kuikomoa dunia. Wangekuwa na akili wangemwacha Putin na Ukraine kwa miaka michache.
Putin ana miaka 70, baada ya miaka mitano, kumi wangeweza kupata kiongozi dhaifu kama Gorbachov. Wakamtumia kuipata Ukraine bila vita kam walivyoisambaritisha USSR kutumia mbinu za kiuchumi.
🤣🤣🤣 Sasa hivi wamejaa makasiriko tu.Eeh hawa waimba tarabu wa Zelensky modern taarab walisumbua sana na photoshop zao za javelin😅!
Sahizi ni mkong’oto jazz band tu mpaka wanakimbia malindo.
Mmarekani hua Ni choko,atahakikisha Ukraine imegeuzwa Majivu na atasepa kimya kimya Kama vile hakuna kilichotokea Kama alivyofanya Afghanistan.Kituo kinachofuata cha US ni Taiwan.Hii plan ilipangwa muda mrefu, hapa kuna wachumi, mashushu wa Kirusi na Kichina walipanga jinsi ya kugeuza meza.
Putin ana akiba ya silaha nyingi na jeshi lake ni kubwa.Mmarekani hua Ni choko,atahakikisha Ukraine imegeuzwa Majivu na atasepa kimya kimya Kama vile hakuna kilichotokea Kama alivyofanya Afghanistan.Kituo kinachofuata cha US ni Taiwan.
Wahuni wanakwambia Hizo Javelin acha Russia azikusanye nyingi kadri iwezekanavyo then atazi supply huko Europe then pale jirani na ya US pia, yaani kwny nchi ya mexico.Watashangaa tu Javelin ziko mkononi mwa Yale makundi ya kimafia ya kuuza madawa ya kulevya yakizitumia kupigania.Hapo US akili itamkaa kichwani.Eeh hawa waimba tarabu wa Zelensky modern taarab walisumbua sana na photoshop zao za javelin😅!
Sahizi ni mkong’oto jazz band tu mpaka wanakimbia malindo.
Hata kuupigania ushoga ni kosa kubwa sana walifanya. Wameharibu akili,fikra,mitazamo na hata misimamo.Katika kipindi ambacho wamagharibi wame piga hesabu zao vibaya ni hichi.
LGBQBefore I go answer and enlight you more about this go and change your HEADING first.
Again, stop misleading people.
Hahahahahah kudadadeq na zitaingia zaidi maana kaamua iwe hela yake moja kwa moja! Kwanza jamaa wanakutana na kipengele cha exchange rate halafu ndio wananunua mzigoMjomba anaingiza $900mil/day kutoka kwa mabeberu kutokana na gas yake.
Kweli kabisa.Hatuna ubavu huo, Putin anaijua thamani yake.
Washabiki wa ushoga watakuja hapa kukupingaHii plan ilipangwa muda mrefu, hapa kuna wachumi, mashushu wa Kirusi na Kichina walipanga jinsi ya kugeuza meza.
Watu wanatoa hoja za maana, wewe unakuja na ujinga. Hii inaonesha hukupata malezi bora.
Una matatizo sio bure after converting the dollar into rubble does it still remain a dollar?You shortened the article to favor your ego and fantasy you should have brought the whole article here.
Son of evil doer you are here to mislead people.
The EU is not paying gas in rubbles, is paying in Euros and Dollars while the Gazprombank, the Russian bank converts the payment into rubbles.
Na huu ndio ukweli Medvedev asingewalea yukraini kabisa[emoji1][emoji1] Warussi wenyewe wanakwambia kwny Ile kamati ya kudumu ya usalama ya kitaifa angalau Putin ndio mwenye roho nzuri/sio radical.Siku wakikutana na kina Dmitry Medvedev akiwa Ni mwenye full power bila uwepo kabisa wa Putin ndipo watamkumbuka Putin kiroho Safi.
Mammmmae ume mpiga kwenye mshono😂Duhh.. lugha uliyotumia inaoneshafika wewe ni LGBQ
malizia basi mageuzi makubwa Duniani .pengine Afrika tuki zichanga vizuri kuna kitu tuna weza pata! niweke wazi huu ndio ulikuwa muda wa ile win win situation ange kuwepo yule jamaa wange koma madalali wa ulaya sasa hivi macho yote Africa!Hii vita Putin aliipanga na aliyajua yote haya, kwa kifupi hii vita italeta mageuzi makubwa ya kiuchumi.
kuna mwana siasa mmoja niliona akimpiga bush mkwara kwenye vita ya Iraq eti wana sayansi wa Urusi wana weza geuza gravity America ika pinduka pinduka Alikua amepiga vodka😂 kweli jamaa wana roho ya maamuzi sio roho mbayaNa huu ndio ukweli Medvedev asingewalea yukraini kabisa
na meza imegeuzwa kibabe aisee ndio maana urusi ka test kombora na China naye ka test yaan muda huu uyala wame vimba kama vyura 😂Hii plan ilipangwa muda mrefu, hapa kuna wachumi, mashushu wa Kirusi na Kichina walipanga jinsi ya kugeuza meza.
mwenzio anawazia ukraine mashariki mji mkuu kaushindwaEeh hawa waimba tarabu wa Zelensky modern taarab walisumbua sana na photoshop zao za javelin[emoji28]!
Sahizi ni mkong’oto jazz band tu mpaka wanakimbia malindo.
Dump people?Jf is full of dump people who can't read, including who brought this article.
EU WILL PAY IN DOLLARS AND EUROS not rubles.
mkuu unawazia LGBQ , wamewai kukubandua nn