Baada ya Urusi kukaza kamba, nchi za Ulaya zimenyoosha mikono na kukubali kununua gesi kwa utaratibu uliowekwa na Putin

Baada ya Urusi kukaza kamba, nchi za Ulaya zimenyoosha mikono na kukubali kununua gesi kwa utaratibu uliowekwa na Putin

Urusi kuitenga ni kuikomoa dunia. Wangekuwa na akili wangemwacha Putin na Ukraine kwa miaka michache.

Putin ana miaka 70, baada ya miaka mitano, kumi wangeweza kupata kiongozi dhaifu kama Gorbachov. Wakamtumia kuipata Ukraine bila vita kam walivyoisambaritisha USSR kutumia mbinu za kiuchumi.
😄😄 Warussi wenyewe wanakwambia kwny Ile kamati ya kudumu ya usalama ya kitaifa angalau Putin ndio mwenye roho nzuri/sio radical.Siku wakikutana na kina Dmitry Medvedev akiwa Ni mwenye full power bila uwepo kabisa wa Putin ndipo watamkumbuka Putin kiroho Safi.
 
Eeh hawa waimba tarabu wa Zelensky modern taarab walisumbua sana na photoshop zao za javelin😅!

Sahizi ni mkong’oto jazz band tu mpaka wanakimbia malindo.
Wahuni wanakwambia Hizo Javelin acha Russia azikusanye nyingi kadri iwezekanavyo then atazi supply huko Europe then pale jirani na ya US pia, yaani kwny nchi ya mexico.Watashangaa tu Javelin ziko mkononi mwa Yale makundi ya kimafia ya kuuza madawa ya kulevya yakizitumia kupigania.Hapo US akili itamkaa kichwani.
 
You shortened the article to favor your ego and fantasy you should have brought the whole article here.
Son of evil doer you are here to mislead people.
The EU is not paying gas in rubbles, is paying in Euros and Dollars while the Gazprombank, the Russian bank converts the payment into rubbles.
Una matatizo sio bure after converting the dollar into rubble does it still remain a dollar?
 
[emoji1][emoji1] Warussi wenyewe wanakwambia kwny Ile kamati ya kudumu ya usalama ya kitaifa angalau Putin ndio mwenye roho nzuri/sio radical.Siku wakikutana na kina Dmitry Medvedev akiwa Ni mwenye full power bila uwepo kabisa wa Putin ndipo watamkumbuka Putin kiroho Safi.
Na huu ndio ukweli Medvedev asingewalea yukraini kabisa
 
Hii vita Putin aliipanga na aliyajua yote haya, kwa kifupi hii vita italeta mageuzi makubwa ya kiuchumi.
malizia basi mageuzi makubwa Duniani .pengine Afrika tuki zichanga vizuri kuna kitu tuna weza pata! niweke wazi huu ndio ulikuwa muda wa ile win win situation ange kuwepo yule jamaa wange koma madalali wa ulaya sasa hivi macho yote Africa!
Ila Africa yetu Bahati mbaya
 
Eeh hawa waimba tarabu wa Zelensky modern taarab walisumbua sana na photoshop zao za javelin[emoji28]!

Sahizi ni mkong’oto jazz band tu mpaka wanakimbia malindo.
mwenzio anawazia ukraine mashariki mji mkuu kaushindwa
 
Back
Top Bottom