nahis umewai kubanduliwa sio bure hii ni mara ya tatu huna hoja mpya
ila Estonia na Latvia walijiunga NATO kipind cha utawala wake , Putin ndio mbaya msimsafisheNa huu ndio ukweli Medvedev asingewalea yukraini kabisa
wazungu huwa wanajipa muda sana ktk kila kitu , Osama alichukua zaid ya miaka 20 , so jipe muda tu , Putin kawaponza warusi kwa future yearsmalizia basi mageuzi makubwa Duniani .pengine Afrika tuki zichanga vizuri kuna kitu tuna weza pata! niweke wazi huu ndio ulikuwa muda wa ile win win situation ange kuwepo yule jamaa wange koma madalali wa ulaya sasa hivi macho yote Africa!
Ila Africa yetu Bahati mbaya
PUT IN nyuma yake kuna system imara saanaaaUrusi kuitenga ni kuikomoa dunia. Wangekuwa na akili wangemwacha Putin na Ukraine kwa miaka michache.
Putin ana miaka 70, baada ya miaka mitano, kumi wangeweza kupata kiongozi dhaifu kama Gorbachov. Wakamtumia kuipata Ukraine bila vita kam walivyoisambaritisha USSR kutumia mbinu za kiuchumi.
Nasasa hv kiasi kitaongezeka maana kuna viasilimia kwenye kulipia vimeongezeka!Mjomba anaingiza $900mil/day kutoka kwa mabeberu kutokana na gas yake.
TuliwaambiaInaelekea waql;ipogoma mwanzoni walikuwa wanatikisa tu kiberiti. Putin alisema gesi yake italipiwa kwa ruble. Ukilipa kwa dola ni lazima ibadilishwe hapo benki iwe ruble na ndipo upewe gesi. Umoja wa ulaya umetoa taarifa rasmi kuwa isiwe taabu watafuata utaratibu huo. Huyo ndiye PUTIN ninayemjua mimi. Msimamo ni msimamo, hutaki acha!!
EU companies may be able to purchase Russian gas in rubles without violating sanctions, the EU Commission says
From CNN's Amy Cassidy in London
European companies may be able to purchase Russian gas in rubles without violating the European Union's sanctions against Moscow, according to new advice issued by the European Commission on Friday.
The advice issued states how a process involving the Russian Central Bank would be a breach of sanctions and how continued payment in Euros/Dollars would be possible.
In a document issued to the member states and published online Thursday, the Commission states it "appears possible" that Moscow's decree demanding energy payments be made in Russian currency "does not preclude a payment process which is in line with the EU restrictive measures."
[emoji304]wewe hii bendera inakuhusuNIMEKUPUUZA.
Kampuni za Ulaya zinaweza kununua gesi ya Kirusi kwa rubles bila kukiuka vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Moscow,Jf is full of dump people who can't read, including who brought this article.
EU WILL PAY IN DOLLARS AND EUROS not rubles.
Imekaa vizuri! Una akili sana na umefikiri mbali sana! Nimefurahi umejifunza kitu positive toka kwa negative na umeitumia kama fursa ya kukua kiuchumi! Russia immetufungua macho! Hebu na sisi tuuze bidhaa zetu kwa Tshs labda demand for Tshs will increase which will increase its value! Hata hivyo nina wasiwasi watakataa maana hawatupendi kama nini! Hawapendi maendeleo yetu! Wanachopenda ni mali zetu!Raha sana yani na hao wajinga wakija huku kwetu kununua madini wanunue kwa Tsh.
mambo yame badilika mkuu wa kwanza ni wa kwanza tu! huu mpango wa urusi sio wa miaka mitano ! jamaa walisha juwa ndio maana ulimuona yule waziri mkuu msitafu wa Uingreza akija mara tatu tatu afrika! hiyo ndio imetoka hivyo! kwa sasa chuma! nafaka! mafuta ya mitambo na aluminium na mbolea gas Dunia kwa kiasi kikubwa inategemea Urusi huyu mtu ni hatari! huwezi weka pandikizi kwa mtu aliye jitosheleza hivyo!! wazungu ujanja wao ni mapandikizi tu au vita Urusi vita hawa mwezi labda waseme wakose wate Ulaya ikose na Amerika ikose na mrusi akose! hakuna anayeweza kubali hiyo njiawazungu huwa wanajipa muda sana ktk kila kitu , Osama alichukua zaid ya miaka 20 , so jipe muda tu , Putin kawaponza warusi kwa future years
ndicho kilicho muua mzee Gadaffi alitaka kuanzisha sera kama hiyo kwa Afrika na nguvu ya uchumi wa kufanya hivyo alikuwa nao alijitolea sana kwa Afrika Afrika ikawa na mapandikizi mengi wakati muacha akapigwa adi kuuwawa na hawa wahuni! ila Mungu ni mkubwa putin ana wa nyooshaImekaa vizuri! Una akili sana na umefikiri mbali sana! Nimefurahi umejifunza kitu positive toka kwa negative na umeitumia kama fursa ya kukua kiuchumi! Russia immetufungua macho! Hebu na sisi tuuze bidhaa zetu kwa Tshs labda demand for Tshs will increase which will increase its value! Hata hivyo nina wasiwasi watakataa maana hawatupendi kama nini! Hawapendi maendeleo yetu! Wanachopenda ni mali zetu!
Tena ningekuwa ni Mimi, ningeminya upatikanaji wa Rubble ili wainunue kwa bei ya juu!Hahahahahah kudadadeq na zitaingia zaidi maana kaamua iwe hela yake moja kwa moja! Kwanza jamaa wanakutana na kipengele cha exchange rate halafu ndio wananunua mzigo
Ulaya na Amerika wana peleka silaha Urusi wana zi chukuwa kama zao! yaani muda huu wame tulia tuli!Eeh hawa waimba tarabu wa Zelensky modern taarab walisumbua sana na photoshop zao za javelin😅!
Sahizi ni mkong’oto jazz band tu mpaka wanakimbia malindo.
Setin ajuagi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1][emoji1] Warussi wenyewe wanakwambia kwny Ile kamati ya kudumu ya usalama ya kitaifa angalau Putin ndio mwenye roho nzuri/sio radical.Siku wakikutana na kina Dmitry Medvedev akiwa Ni mwenye full power bila uwepo kabisa wa Putin ndipo watamkumbuka Putin kiroho Safi.
Hiyo kama ni kofi inaitwa kerbu,kama una mate mdomoni lazima ukipigwa yatatoka tu.....Inaelekea waql;ipogoma mwanzoni walikuwa wanatikisa tu kiberiti. Putin alisema gesi yake italipiwa kwa ruble. Ukilipa kwa dola ni lazima ibadilishwe hapo benki iwe ruble na ndipo upewe gesi. Umoja wa ulaya umetoa taarifa rasmi kuwa isiwe taabu watafuata utaratibu huo. Huyo ndiye PUTIN ninayemjua mimi. Msimamo ni msimamo, hutaki acha!!
EU companies may be able to purchase Russian gas in rubles without violating sanctions, the EU Commission says
From CNN's Amy Cassidy in London
European companies may be able to purchase Russian gas in rubles without violating the European Union's sanctions against Moscow, according to new advice issued by the European Commission on Friday.
The advice issued states how a process involving the Russian Central Bank would be a breach of sanctions and how continued payment in Euros/Dollars would be possible.
In a document issued to the member states and published online Thursday, the Commission states it "appears possible" that Moscow's decree demanding energy payments be made in Russian currency "does not preclude a payment process which is in line with the EU restrictive measures."
Pution sio Gadafi RIPndicho kilicho muua mzee Gadaffi alitaka kuanzisha sera kama hiyo kwa Afrika na nguvu ya uchumi wa kufanya hivyo alikuwa nao alijitolea sana kwa Afrika Afrika ikawa na mapandikizi mengi wakati muacha akapigwa adi kuuwawa na hawa wahuni! ila Mungu ni mkubwa putin ana wa nyoosha
Akiba ya nini wakati ana zalisha kabisa urussi inatumia siraha inazo unda yenyewe kama sasa hivi wanaunda drone mpya za kiwango cha juu uenda zika zinduliwa miezi miwili toka sasa kwa matumiziPutin ana akiba ya silaha nyingi na jeshi lake ni kubwa.
kweli kabisa tu wa pongeze ana punguza sana nguvu za hawa wahuni angalau wata kuwa na kaheshima kwa AfrikaPution sio Gadafi RIP
Sisi tulio zaliwa hatuitaji malezi bora ...mnaoitaji malezi bora ni kama wewe ambaye ulialishwa kama Sa100Watu wanatoa hoja za maana, wewe unakuja na ujinga. Hii inaonesha hukupata malezi bora.