Baada ya Urusi kukaza kamba, nchi za Ulaya zimenyoosha mikono na kukubali kununua gesi kwa utaratibu uliowekwa na Putin

malizia basi mageuzi makubwa Duniani .pengine Afrika tuki zichanga vizuri kuna kitu tuna weza pata! niweke wazi huu ndio ulikuwa muda wa ile win win situation ange kuwepo yule jamaa wange koma madalali wa ulaya sasa hivi macho yote Africa!
Ila Africa yetu Bahati mbaya
wazungu huwa wanajipa muda sana ktk kila kitu , Osama alichukua zaid ya miaka 20 , so jipe muda tu , Putin kawaponza warusi kwa future years
 
Urusi kuitenga ni kuikomoa dunia. Wangekuwa na akili wangemwacha Putin na Ukraine kwa miaka michache.

Putin ana miaka 70, baada ya miaka mitano, kumi wangeweza kupata kiongozi dhaifu kama Gorbachov. Wakamtumia kuipata Ukraine bila vita kam walivyoisambaritisha USSR kutumia mbinu za kiuchumi.
PUT IN nyuma yake kuna system imara saanaaa
PUT IN afe sasa hv basi RUSSIA haitayumba wala kutetereka
 
Inaelekea waql;ipogoma mwanzoni walikuwa wanatikisa tu kiberiti. Putin alisema gesi yake italipiwa kwa ruble. Ukilipa kwa dola ni lazima ibadilishwe hapo benki iwe ruble na ndipo upewe gesi. Umoja wa ulaya umetoa taarifa rasmi kuwa isiwe taabu watafuata utaratibu huo. Huyo ndiye PUTIN ninayemjua mimi. Msimamo ni msimamo, hutaki acha!!

EU companies may be able to purchase Russian gas in rubles without violating sanctions, the EU Commission says​

From CNN's Amy Cassidy in London

European companies may be able to purchase Russian gas in rubles without violating the European Union's sanctions against Moscow, according to new advice issued by the European Commission on Friday.
The advice issued states how a process involving the Russian Central Bank would be a breach of sanctions and how continued payment in Euros/Dollars would be possible.
In a document issued to the member states and published online Thursday, the Commission states it "appears possible" that Moscow's decree demanding energy payments be made in Russian currency "does not preclude a payment process which is in line with the EU restrictive measures."
Tuliwaambia
 
Raha sana yani na hao wajinga wakija huku kwetu kununua madini wanunue kwa Tsh.
Imekaa vizuri! Una akili sana na umefikiri mbali sana! Nimefurahi umejifunza kitu positive toka kwa negative na umeitumia kama fursa ya kukua kiuchumi! Russia immetufungua macho! Hebu na sisi tuuze bidhaa zetu kwa Tshs labda demand for Tshs will increase which will increase its value! Hata hivyo nina wasiwasi watakataa maana hawatupendi kama nini! Hawapendi maendeleo yetu! Wanachopenda ni mali zetu!
 
wazungu huwa wanajipa muda sana ktk kila kitu , Osama alichukua zaid ya miaka 20 , so jipe muda tu , Putin kawaponza warusi kwa future years
mambo yame badilika mkuu wa kwanza ni wa kwanza tu! huu mpango wa urusi sio wa miaka mitano ! jamaa walisha juwa ndio maana ulimuona yule waziri mkuu msitafu wa Uingreza akija mara tatu tatu afrika! hiyo ndio imetoka hivyo! kwa sasa chuma! nafaka! mafuta ya mitambo na aluminium na mbolea gas Dunia kwa kiasi kikubwa inategemea Urusi huyu mtu ni hatari! huwezi weka pandikizi kwa mtu aliye jitosheleza hivyo!! wazungu ujanja wao ni mapandikizi tu au vita Urusi vita hawa mwezi labda waseme wakose wate Ulaya ikose na Amerika ikose na mrusi akose! hakuna anayeweza kubali hiyo njia
 
Imekaa vizuri! Una akili sana na umefikiri mbali sana! Nimefurahi umejifunza kitu positive toka kwa negative na umeitumia kama fursa ya kukua kiuchumi! Russia immetufungua macho! Hebu na sisi tuuze bidhaa zetu kwa Tshs labda demand for Tshs will increase which will increase its value! Hata hivyo nina wasiwasi watakataa maana hawatupendi kama nini! Hawapendi maendeleo yetu! Wanachopenda ni mali zetu!
ndicho kilicho muua mzee Gadaffi alitaka kuanzisha sera kama hiyo kwa Afrika na nguvu ya uchumi wa kufanya hivyo alikuwa nao alijitolea sana kwa Afrika Afrika ikawa na mapandikizi mengi wakati muacha akapigwa adi kuuwawa na hawa wahuni! ila Mungu ni mkubwa putin ana wa nyoosha
 
IMG_20220417_195532.jpg

USA & UE fans be like
 
[emoji1][emoji1] Warussi wenyewe wanakwambia kwny Ile kamati ya kudumu ya usalama ya kitaifa angalau Putin ndio mwenye roho nzuri/sio radical.Siku wakikutana na kina Dmitry Medvedev akiwa Ni mwenye full power bila uwepo kabisa wa Putin ndipo watamkumbuka Putin kiroho Safi.
Setin ajuagi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Putin kazuia kuteketeza sehemu ambayo wanajeshi wa ukrain wamejifungia mgodini ,wakati makamanda wake walisha amrisha kutumia gesi ya sumu kuwapenyezea huko chini
 
Inaelekea waql;ipogoma mwanzoni walikuwa wanatikisa tu kiberiti. Putin alisema gesi yake italipiwa kwa ruble. Ukilipa kwa dola ni lazima ibadilishwe hapo benki iwe ruble na ndipo upewe gesi. Umoja wa ulaya umetoa taarifa rasmi kuwa isiwe taabu watafuata utaratibu huo. Huyo ndiye PUTIN ninayemjua mimi. Msimamo ni msimamo, hutaki acha!!

EU companies may be able to purchase Russian gas in rubles without violating sanctions, the EU Commission says​

From CNN's Amy Cassidy in London

European companies may be able to purchase Russian gas in rubles without violating the European Union's sanctions against Moscow, according to new advice issued by the European Commission on Friday.
The advice issued states how a process involving the Russian Central Bank would be a breach of sanctions and how continued payment in Euros/Dollars would be possible.
In a document issued to the member states and published online Thursday, the Commission states it "appears possible" that Moscow's decree demanding energy payments be made in Russian currency "does not preclude a payment process which is in line with the EU restrictive measures."
Hiyo kama ni kofi inaitwa kerbu,kama una mate mdomoni lazima ukipigwa yatatoka tu.....
 
ndicho kilicho muua mzee Gadaffi alitaka kuanzisha sera kama hiyo kwa Afrika na nguvu ya uchumi wa kufanya hivyo alikuwa nao alijitolea sana kwa Afrika Afrika ikawa na mapandikizi mengi wakati muacha akapigwa adi kuuwawa na hawa wahuni! ila Mungu ni mkubwa putin ana wa nyoosha
Pution sio Gadafi RIP
 
Watu wanatoa hoja za maana, wewe unakuja na ujinga. Hii inaonesha hukupata malezi bora.
Sisi tulio zaliwa hatuitaji malezi bora ...mnaoitaji malezi bora ni kama wewe ambaye ulialishwa kama Sa100
 
Back
Top Bottom