Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Wanamuogopa kishenzi maana hatumii kilainishi kuwatatuaaa... marinda yaokweli kabisa tu wa pongeze ana punguza sana nguvu za hawa wahuni angalau wata kuwa na kaheshima kwa Afrika
wana sema ana nguvu kazi ya watu wa miaka 20 mpka 45 wanaofika 40 million ambao wana weza litumikia jeshi kwa usahihi!Putin ana akiba ya silaha nyingi na jeshi lake ni kubwa.
Get sense bro if don't have i would have to borrow you mine then i will take it back, take it.. now you might see it clear, right? WHERE THE EU RUNS INSIDE THE RUSSIAN BANK TO HAND OVER PAYMENT IN THE RUBBLE RIGHT?Una matatizo sio bure after converting the dollar into rubble does it still remain a dollar?
Kweli Russia sio Zimbabwe aisee, sasa hawa wehu nini kiliwapa jeuri ya kumdindia mtu anaewapooza kwenye kipindi cha winter na kuendesha uchumi wao kwa maana viwanda😅
hii picha ya Mzee putin ina maana gani 😂Wanamuogopa kishenzi maana hatumii kilainishi kuwatatuaaa... marinda yao
Eeeh, DUMPDump people?
Aisee
Si unajua nchi za kijamaa, vijana wote wanapata mafunzo ya ukakamavu.wana sema ana nguvu kazi ya watu wa miaka 20 mpka 45 wanaofika 40 million ambao wana weza litumikia jeshi kwa usahihi!
Hizo utalipa ww labdaJf is full of dump people who can't read, including who brought this article.
EU WILL PAY IN DOLLARS AND EUROS not rubles.
You must be a big fool! and a looser as wellJf is full of dump people who can't read, including who brought this article.
EU WILL PAY IN DOLLARS AND EUROS not rubles.
Kampuni za Ulaya zinaweza kununua gesi ya Kirusi kwa rubles bila kukiuka vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Moscow,
Imeisha hiyoo..hii picha ya Mzee putin ina maana gani 😂View attachment 2197335
walipendekeza ya tumike haya madude yange maliza shughuli maana yana yeyusha kila kituSetin ajuagi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Putin kazuia kuteketeza sehemu ambayo wanajeshi wa ukrain wamejifungia mgodini ,wakati makamanda wake walisha amrisha kutumia gesi ya sumu kuwapenyezea huko chini
[emoji119][emoji119][emoji119]Hiyo ni taarifa ya mwanzo walipokuwa wanataka kutikisa kiberiti. Pitia kwenye mashirika ya habari kama BBC, CNN na AlJAZEERA kwa tartehe 22/04/2022 uone mabeberu walivyonyoosha mikono!!
Halafu generali mmoja wa kirusi akapiga mkwara mzito akasema "hatutaishia kukomboa majimbo mawili ya Donbas Ukraine mashariki, lakini tutachukua pia ukraine kusini!! Na waziri mkuu wa Uingereza amesema Urusi atashinda vita hii kwa mambo yanavyoonekana!!
Is the EU according to the article and even the topic paying in Euros or Rubble. Yes or No?Kampuni za Ulaya zinaweza kununua gesi ya Kirusi kwa rubles bila kukiuka vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Moscow,
Putin muungwana sana, alikuwa ana wa treat kama vijana wake.. sema yale mabwabwa ya ulaya ndio yamechochea wale nakoziwalipendekeza ya tumike haya madude yange maliza shughuli maana yana yeyusha kila kitu
View attachment 2197338View attachment 2197346
Duuh[emoji1][emoji1] Warussi wenyewe wanakwambia kwny Ile kamati ya kudumu ya usalama ya kitaifa angalau Putin ndio mwenye roho nzuri/sio radical.Siku wakikutana na kina Dmitry Medvedev akiwa Ni mwenye full power bila uwepo kabisa wa Putin ndipo watamkumbuka Putin kiroho Safi.
Nchi kubwa majeshi ni wengina ina technology na vifaa vingiPutin ana akiba ya silaha nyingi na jeshi lake ni kubwa.
Teh, na hiyo exchange rate nani anadetermine kiasiHahahahahah kudadadeq na zitaingia zaidi maana kaamua iwe hela yake moja kwa moja! Kwanza jamaa wanakutana na kipengele cha exchange rate halafu ndio wananunua mzigo
Kila kitu kinaenda kwa mahesabu, ni muda tumwenzio anawazia ukraine mashariki mji mkuu kaushindwa
kabisa wali pandikiza chuki mbaya sana kwa watu wa Ukraine dhidi ya Warusi! kwa muda wa zaidi ya miaka8Putin muungwana sana, alikuwa ana wa treat kama vijana wake.. sema yale mabwabwa ya ulaya ndio yamechochea wale nakozi