Baada ya Urusi kukaza kamba, nchi za Ulaya zimenyoosha mikono na kukubali kununua gesi kwa utaratibu uliowekwa na Putin

Baada ya Urusi kukaza kamba, nchi za Ulaya zimenyoosha mikono na kukubali kununua gesi kwa utaratibu uliowekwa na Putin

Una matatizo sio bure after converting the dollar into rubble does it still remain a dollar?
Get sense bro if don't have i would have to borrow you mine then i will take it back, take it.. now you might see it clear, right? WHERE THE EU RUNS INSIDE THE RUSSIAN BANK TO HAND OVER PAYMENT IN THE RUBBLE RIGHT?
EU saying they are not violating their own sanctions
How hard is it to read and understand these basic English?

Russia gets paid in Euros and Dollars and after collecting Euros and Dollars he goes to swap it for his worthless rubbles, that's his own headache, he's still getting paid in Euros and Dollars.
 
Waache washupaze shingo watarudi kwenye enzi za ulimbombo na ulindi hawa pig.wabovu kweli yaani baridi inawaua wakati makete kuna barafu ya kutosha watu wana bodies kama za amphibia ,wanagenerate heat kwa k vant na gongo mixer bamboo juice
Kweli Russia sio Zimbabwe aisee, sasa hawa wehu nini kiliwapa jeuri ya kumdindia mtu anaewapooza kwenye kipindi cha winter na kuendesha uchumi wao kwa maana viwanda😅
 
Wanamuogopa kishenzi maana hatumii kilainishi kuwatatuaaa... marinda yao
hii picha ya Mzee putin ina maana gani 😂
IMG_20220422_222435_177.jpg
 
Kampuni za Ulaya zinaweza kununua gesi ya Kirusi kwa rubles bila kukiuka vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Moscow,

According to the EU, they are not violating their own sanctions because they are still paying in Euros and Dollars.
 
Hiyo ni taarifa ya mwanzo walipokuwa wanataka kutikisa kiberiti. Pitia kwenye mashirika ya habari kama BBC, CNN na AlJAZEERA kwa tartehe 22/04/2022 uone mabeberu walivyonyoosha mikono!!
Halafu generali mmoja wa kirusi akapiga mkwara mzito akasema "hatutaishia kukomboa majimbo mawili ya Donbas Ukraine mashariki, lakini tutachukua pia ukraine kusini!! Na waziri mkuu wa Uingereza amesema Urusi atashinda vita hii kwa mambo yanavyoonekana!!
[emoji119][emoji119][emoji119]
 
[emoji1][emoji1] Warussi wenyewe wanakwambia kwny Ile kamati ya kudumu ya usalama ya kitaifa angalau Putin ndio mwenye roho nzuri/sio radical.Siku wakikutana na kina Dmitry Medvedev akiwa Ni mwenye full power bila uwepo kabisa wa Putin ndipo watamkumbuka Putin kiroho Safi.
Duuh
 
Back
Top Bottom