Market forceTeh, na hiyo exchange rate nani anadetermine kiasi
Putin ni noma
Sometimes democracy ni mtizamo na makubaliano ya taifa husika, hao US walichoifanya Libya na Iraq halafu baadae wanakuja kusema "....false intelligence......" ,bora udikteta kuliko walicho kutengeneza katika nchi hizo ,hazitawaliki, wameua raia kibao wasio na hatia na ndizo nchi zinazalisha magaidi wa IS.Gharama ya kushamiri udikteta ulaya ni kubwa zaidi. Putin is a clear and present danger to freedom and democracy .
Kwa hiyo mada inahusu hesabu nani ana win na nani anapoteza si kuwa ulaya wamekubali kununua gesi kwa Rubo kama mleta mada alivyo eleza?. Then mkiitwen waongo mnapanic😢Uwongo nini labda kama umekimbia hesabu, ila kama unaknowledge ya hesabu utaielewa hii thread maumivu yapo palepale.
Kweli walimu wanakazi hivi unatenganisha vipi uchumi na hesabu?Kwa hiyo mada inahusu hesabu nani ana win na nani anapoteza si kuwa ulaya wamekubali kununua gesi kwa Rubo kama mleta mada alivyo eleza?. Then mkiitwen waongo mnapanic😢
Freedom and democracy hakijawahi kuwa kipau mbele chao. Economic interest ndicho kipau mbele chao siku zoteGharama ya kushamiri udikteta ulaya ni kubwa zaidi. Putin is a clear and present danger to freedom and democracy .
Sometimes democracy ni mtizamo na makubaliano ya taifa husika, hao US walichoifanya Libya na Iraq halafu baadae wanakuja kusema "....false intelligence......" ,bora udikteta kuliko walicho kutengeneza katika nchi hizo ,hazitawaliki, wameua raia kibao wasio na hatia na ndizo nchi zinazalisha magaidi wa IS.
Wewe ni mwehu namba moja! Putin ni danger kwa nani? Yeye yupo zake Urusi ametulia wenye shobo ni wamarekani kujifanya kama they are untouchable!Gharama ya kushamiri udikteta ulaya ni kubwa zaidi. Putin is a clear and present danger to freedom and democracy .
Ni kwanamna ipi nimetenganisha Hesabu na uchumi? Unaweza kueleza hiyo namna?.Kweli walimu wanakazi hivi unatenganisha vipi uchumi na hesabu?
Kuna nyumbu mkubwa kawa ingiza chaka nyumbu wadogoKweli Russia sio Zimbabwe aisee, sasa hawa wehu nini kiliwapa jeuri ya kumdindia mtu anaewapooza kwenye kipindi cha winter na kuendesha uchumi wao kwa maana viwanda[emoji28]
Waki sanction hio bank maana wao wanakufa na baridi na russia anabadili uelekeo wa soko tu kuja Africa lazma apige hela tu vizuri tu bado uhitaji wa mafuta ni mkubwa.Kama nchi za magharibi zina UBAVU basi ziiwekee vikwazo benki ya Gazprombank na kuiondoa kwenye mtandao wa SWIFT. Wakifanya hivyo ni kuwa: 1. Urusi hatakuwa na uwezo wa kuuza gesi na mafuta kwa nchi za magharibi. 2. Lakini pia nchi za magharibi hazitakuwa na namna ya kununua gesi hata kama zinataka.
Hiyo ndiyo wataalamu wanasema kuwa ni VITA YA NYUKLIA KIBIASHARA! Wote mnakosa!! Ila ikifanyika hivyo nchi za magharibi zitaathirika zaidi, maana hazina namna ya ku-survive kwa sasa bila gesi ya Urusi!! Urusi itaathirika lakini siyo sana maana japo kiasi atakachouza kitashuka lakini bei yake itapanda juu!!
Nchi yeyeto huru inayo haki ya kuchagua washirika wake. A sovereign country is a sovereign country-hamna mjadala hapo.Wewe ni mwehu namba moja! Putin ni danger kwa nani? Yeye yupo zake Urusi ametulia wenye shobo ni wamarekani kujifanya kama they are untouchable!
Mnawekeana terms kiume wao wana violate kisha wanataka wakiharibu wachukuliwe poa tu. Hio sio kwa mrusi mzee pelekeni ujinga kote kule ila sio kwenye Russian territories!
Hata wewe una haki ya kufanya utakalo hapo kwako ila sio kufuga majambazi wanaohatarisha usalama wa majirani zako! Utapigwa tu!!!!Nchi yeyeto huru inayo haki ya kuchagua washirika wake. A sovereign country is a sovereign country-hamna mjadala hapo.
Yaap hii ndo mbinu ambayo Nato wangeitumia lakini kwa viburi vyao vya kujiona wao ndo dunia ona sasa wanavyohaha.Urusi kuitenga ni kuikomoa dunia. Wangekuwa na akili wangemwacha Putin na Ukraine kwa miaka michache.
Putin ana miaka 70, baada ya miaka mitano, kumi wangeweza kupata kiongozi dhaifu kama Gorbachov. Wakamtumia kuipata Ukraine bila vita kam walivyoisambaritisha USSR kutumia mbinu za kiuchumi.
Kwanini na wao wanataka kuingilia makubaliano ya China na Solomon Islands ambazo zote hizo ni nchi huru, utopolo kama huu waliufanya pia kwa cuba enzi zile.......mkuki kwa nguruwe mchungu........kipimo utakachopimia wengine ndio hicho hicho na wewe utapimiwa........zama zimebadilika wamagharibi wanapewa tu za uso hakuna kuogopana kwa sasaNchi yeyeto huru inayo haki ya kuchagua washirika wake. A sovereign country is a sovereign country-hamna mjadala hapo.
Chief, hii habari imeletwa na mtu mwenye mihemko.
Ukiifuatilia habari nzima "achana na hii iliyodokoa kakipande kanakompa furaha na kukaleta hapa kuna kipangele kinasema"
without Violating sanctions means paying for Russian gas with rubbles so to avoid violating their sanctions, they pay Russian Bank in Euro and Dollars. Converting the payment into rubbles is Russia's business, not EU business".
Ukweli ni kwamba msimamo wa Ulaya uko pale pale kuwa watatumia pesa yao kununua Gasi ulaya.
Kwenye hesabu kunaformula na hizo formula ktk formula ndio unapopata, directly proportional na inversely proportional kati ya variable husika na hii thread imezungumzia kuimarika kwa ruble zidi ya dollar na hapo ndipo hesabu ilipo ingia na kupitia hesabu na hizo variable za dollar na ruble ndipo unajua nani anaingiza kingi nani anapoteza.Ni kwanamna ipi nimetenganisha Hesabu na uchumi? Unaweza kueleza hiyo namna?.
Mada aihusu nani ANAPOTEZA na nani ANANUFAIKA na hata kilichofanya unikot si habari ya KUPOTEZA na KUNUFAIKA. kilichofanya unikot ni habari ya ULAYA kununua Gasi kwa RUBO. so ni kwa namna ipi unataka nianze kukokotoa hesabu katika mada kama hii?.
Nimekutaka uanzishe mada ya nani anapoteza na nani ananufaika, ujafanya hivyo badala yake Unanituhumu kuwa sijui hesabu. Kwani hesabu ndiyo inasema Ulaya ananunua Gesi kwa Rubo?. Ikiwa hesabu ndiyo inasema hivyo basi sina neno na ikiwa HESABU haisemi kuwa ulaya inanunua gesi kwa Rubo nina neno kwako nalo ni ili:, Acha UWONGO.