Baada ya Urusi kukaza kamba, nchi za Ulaya zimenyoosha mikono na kukubali kununua gesi kwa utaratibu uliowekwa na Putin

Baada ya Urusi kukaza kamba, nchi za Ulaya zimenyoosha mikono na kukubali kununua gesi kwa utaratibu uliowekwa na Putin

Gharama ya kushamiri udikteta ulaya ni kubwa zaidi. Putin is a clear and present danger to freedom and democracy .
Sometimes democracy ni mtizamo na makubaliano ya taifa husika, hao US walichoifanya Libya na Iraq halafu baadae wanakuja kusema "....false intelligence......" ,bora udikteta kuliko walicho kutengeneza katika nchi hizo ,hazitawaliki, wameua raia kibao wasio na hatia na ndizo nchi zinazalisha magaidi wa IS.
 
Kuna watu bado hawajaelewa namna PUTIN alivyowachezea mchezo nchi za magharibi na kulazimisha kuwa gesi na mafuta yake yatalipiwa kwa rouble tu. Iko hivi:
Benki ambayo imekuwa ikifanyakazi kama wakala wa Urusi wa kupokea malipo kwa ajili ya gesi ya Urusi ni GAZPROMBANK. Kwa kuwa nchi za magharibi bado zinahitaji gesi na mafuta toka Urusi HAWAKUIWEKEA VIKWAZO BENKI HII. Kwa sababu hiyo hii bank haikuondolewa kwenye mfumo wa SWIFT. Kwa hiyo Urusi ikasema, nchi inayotaka kununua gesi LAZIMA ifungue akaunti mbili hapo Gazprombank. Akaunti moja ni akaunti ya rouble. Akaunti ya pili ni ya EURO au dola. Mnunuzi akija na dola au Euro itabidi aziweke kwenye akaunti yake hiyo ya pili. HALAFU kwa niaba ya mnunuzi benki ya Gazprombank itatumia hizo pesa za Euro au Dola kununua Rouble kisha kuziweka hizo rouble kwenye akaunti ya kwanza ya mteja. Hatua ya mwisho ni kuwa benki ya Gazprombank itapeleka hizo pesa zikiwa katika hali ya rouble kwa akaunt ya dealers wanaouza gesi na mafuta kwa mujibu wa mkataba. Wale dealers wakipokea hizo pesa (roubles) ndio wanaruhusu mteja apewe gesi au mafuta.
Kwa maelezo ni kama mchakato mrefu lakini kiutendaji kwa kutumia mifumo hilo ni tendo la dakika chache sana. Mwisho wa siku muuzaji wa gesi (Urusi) atapokea Rouble hata kama mteja alitoa Euro. Maajabu ya mfumo huu ni kwamba mteja hawezi kudai kuwa mkataba wa kulipa kwa euro umekiukwa kwa kuwa bado pale Gazprombank atapeleka Euro. Lakini mwisho wa siku Urusi ataingiza Rouble.
Maana yake ni kwamba thamani ya Rouble kwenye soko la fedha itapanda maana itahitajiwa sana kwa ajili ya kulipia gesi.
Hapo awali mnunuzi wa gesi au mafuta alikuwa anaweza kulipia moja kwa moja kwenye akaunti ya nje ya benki kuu ya Urusi. Kwa sasa hizo akaunti zimefungiwa. Unaweza kuingiza euro au dola lakini huruhusiwi kutoa!!! Mabeberu walitaka waendelee kulipa kwenye akaunti za Urusi zilizofungiwa!! Ndiyo maana Urusi kasema hapana.
Lakini pia urusi imewekewa vikwazo kufanya miamala kwa kutumia euro au dola. Kwa hiyo hata kama hiyo dola ukiipata huna jinsi ya kuitumia. Ndio hapo PUTIN alipochemsha bongo akaja na utaratibu wa kupokea malipo kwa Rouble hata kama mteja atalipa kwanza kwa euro au dola.

Unaweza kufuatilia mwenyewe maelezo hapa:

If they do switch, how will it work?​

Putin’s order makes Gazprombank the intermediary in the gas trade.

A foreign buyer is now obliged to transfer foreign currency to one special, so-called “K”, account at the lender. Gazprombank would then buy roubles on behalf of the gas buyer to transfer roubles to another special “K” account, the order said.

Britain put Gazprombank on its list of banned entities earlier this month. It was not included in the European Union’s order excluding some Russian banks from the SWIFT messaging system.

“Potentially, the Kremlin is acting from a fear that Gazprombank will soon be sanctioned too, amid a wider bid by the European Union to cut energy ties with Russia completely,” analysts at Fitch Solutions said.
 
Uwongo nini labda kama umekimbia hesabu, ila kama unaknowledge ya hesabu utaielewa hii thread maumivu yapo palepale.
Kwa hiyo mada inahusu hesabu nani ana win na nani anapoteza si kuwa ulaya wamekubali kununua gesi kwa Rubo kama mleta mada alivyo eleza?. Then mkiitwen waongo mnapanic😢
 
Gharama ya kushamiri udikteta ulaya ni kubwa zaidi. Putin is a clear and present danger to freedom and democracy .
Freedom and democracy hakijawahi kuwa kipau mbele chao. Economic interest ndicho kipau mbele chao siku zote
Unless otherwise umekuwa brainwashed.
Nakupa mfano mdogo fuatilia kilichotokea Misri baada ya mapinduzi ya mwaka 2011.
Leo PK na M7 wanapeta tu, unajua kwanini?.
Narudia udicteta haujwahi kuwa tatizo kwao. Kwao tatizo ni maslahi yao.
 
Huyu jamaa nahisi ndoo yupo kwenye barehe ya kujua neno democracy.
Sometimes democracy ni mtizamo na makubaliano ya taifa husika, hao US walichoifanya Libya na Iraq halafu baadae wanakuja kusema "....false intelligence......" ,bora udikteta kuliko walicho kutengeneza katika nchi hizo ,hazitawaliki, wameua raia kibao wasio na hatia na ndizo nchi zinazalisha magaidi wa IS.
 
Gharama ya kushamiri udikteta ulaya ni kubwa zaidi. Putin is a clear and present danger to freedom and democracy .
Wewe ni mwehu namba moja! Putin ni danger kwa nani? Yeye yupo zake Urusi ametulia wenye shobo ni wamarekani kujifanya kama they are untouchable!

Mnawekeana terms kiume wao wana violate kisha wanataka wakiharibu wachukuliwe poa tu. Hio sio kwa mrusi mzee pelekeni ujinga kote kule ila sio kwenye Russian territories!
 
If they do switch, how will it work?​

Putin’s order makes Gazprombank the intermediary in the gas trade.

A foreign buyer is now obliged to transfer foreign currency to one special, so-called “K”, account at the lender. Gazprombank would then buy roubles on behalf of the gas buyer to transfer roubles to another special “K” account, the order said.

Britain put Gazprombank on its list of banned entities earlier this month. It was not included in the European Union’s order excluding some Russian banks from the SWIFT messaging system.

“Potentially, the Kremlin is acting from a fear that Gazprombank will soon be sanctioned too, amid a wider bid by the European Union to cut energy ties with Russia completely,” analysts at Fitch Solutions said.
 
Kama nchi za magharibi zina UBAVU basi ziiwekee vikwazo benki ya Gazprombank na kuiondoa kwenye mtandao wa SWIFT. Wakifanya hivyo ni kuwa: 1. Urusi hatakuwa na uwezo wa kuuza gesi na mafuta kwa nchi za magharibi. 2. Lakini pia nchi za magharibi hazitakuwa na namna ya kununua gesi hata kama zinataka.
Hiyo ndiyo wataalamu wanasema kuwa ni VITA YA NYUKLIA KIBIASHARA! Wote mnakosa!! Ila ikifanyika hivyo nchi za magharibi zitaathirika zaidi, maana hazina namna ya ku-survive kwa sasa bila gesi ya Urusi!! Urusi itaathirika lakini siyo sana maana japo kiasi atakachouza kitashuka lakini bei yake itapanda juu!!
 
Kweli walimu wanakazi hivi unatenganisha vipi uchumi na hesabu?
Ni kwanamna ipi nimetenganisha Hesabu na uchumi? Unaweza kueleza hiyo namna?.
Mada aihusu nani ANAPOTEZA na nani ANANUFAIKA na hata kilichofanya unikot si habari ya KUPOTEZA na KUNUFAIKA. kilichofanya unikot ni habari ya ULAYA kununua Gasi kwa RUBO. so ni kwa namna ipi unataka nianze kukokotoa hesabu katika mada kama hii?.
Nimekutaka uanzishe mada ya nani anapoteza na nani ananufaika, ujafanya hivyo badala yake Unanituhumu kuwa sijui hesabu. Kwani hesabu ndiyo inasema Ulaya ananunua Gesi kwa Rubo?. Ikiwa hesabu ndiyo inasema hivyo basi sina neno na ikiwa HESABU haisemi kuwa ulaya inanunua gesi kwa Rubo nina neno kwako nalo ni ili:, Acha UWONGO.
 
Kama nchi za magharibi zina UBAVU basi ziiwekee vikwazo benki ya Gazprombank na kuiondoa kwenye mtandao wa SWIFT. Wakifanya hivyo ni kuwa: 1. Urusi hatakuwa na uwezo wa kuuza gesi na mafuta kwa nchi za magharibi. 2. Lakini pia nchi za magharibi hazitakuwa na namna ya kununua gesi hata kama zinataka.
Hiyo ndiyo wataalamu wanasema kuwa ni VITA YA NYUKLIA KIBIASHARA! Wote mnakosa!! Ila ikifanyika hivyo nchi za magharibi zitaathirika zaidi, maana hazina namna ya ku-survive kwa sasa bila gesi ya Urusi!! Urusi itaathirika lakini siyo sana maana japo kiasi atakachouza kitashuka lakini bei yake itapanda juu!!
Waki sanction hio bank maana wao wanakufa na baridi na russia anabadili uelekeo wa soko tu kuja Africa lazma apige hela tu vizuri tu bado uhitaji wa mafuta ni mkubwa.
 
Wewe ni mwehu namba moja! Putin ni danger kwa nani? Yeye yupo zake Urusi ametulia wenye shobo ni wamarekani kujifanya kama they are untouchable!

Mnawekeana terms kiume wao wana violate kisha wanataka wakiharibu wachukuliwe poa tu. Hio sio kwa mrusi mzee pelekeni ujinga kote kule ila sio kwenye Russian territories!
Nchi yeyeto huru inayo haki ya kuchagua washirika wake. A sovereign country is a sovereign country-hamna mjadala hapo.
 
Urusi kuitenga ni kuikomoa dunia. Wangekuwa na akili wangemwacha Putin na Ukraine kwa miaka michache.

Putin ana miaka 70, baada ya miaka mitano, kumi wangeweza kupata kiongozi dhaifu kama Gorbachov. Wakamtumia kuipata Ukraine bila vita kam walivyoisambaritisha USSR kutumia mbinu za kiuchumi.
Yaap hii ndo mbinu ambayo Nato wangeitumia lakini kwa viburi vyao vya kujiona wao ndo dunia ona sasa wanavyohaha.

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Nchi yeyeto huru inayo haki ya kuchagua washirika wake. A sovereign country is a sovereign country-hamna mjadala hapo.
Kwanini na wao wanataka kuingilia makubaliano ya China na Solomon Islands ambazo zote hizo ni nchi huru, utopolo kama huu waliufanya pia kwa cuba enzi zile.......mkuki kwa nguruwe mchungu........kipimo utakachopimia wengine ndio hicho hicho na wewe utapimiwa........zama zimebadilika wamagharibi wanapewa tu za uso hakuna kuogopana kwa sasa
Screenshot_20220423-171323_RT News.jpg
 
Wewe mkuu una shida hata Kama unafanya kazi ulipo Wana tabu kabisa jiangalie utapoteza ajira.
Chief, hii habari imeletwa na mtu mwenye mihemko.
Ukiifuatilia habari nzima "achana na hii iliyodokoa kakipande kanakompa furaha na kukaleta hapa kuna kipangele kinasema"
without Violating sanctions means paying for Russian gas with rubbles so to avoid violating their sanctions, they pay Russian Bank in Euro and Dollars. Converting the payment into rubbles is Russia's business, not EU business".

Ukweli ni kwamba msimamo wa Ulaya uko pale pale kuwa watatumia pesa yao kununua Gasi ulaya.
 
Ni kwanamna ipi nimetenganisha Hesabu na uchumi? Unaweza kueleza hiyo namna?.
Mada aihusu nani ANAPOTEZA na nani ANANUFAIKA na hata kilichofanya unikot si habari ya KUPOTEZA na KUNUFAIKA. kilichofanya unikot ni habari ya ULAYA kununua Gasi kwa RUBO. so ni kwa namna ipi unataka nianze kukokotoa hesabu katika mada kama hii?.
Nimekutaka uanzishe mada ya nani anapoteza na nani ananufaika, ujafanya hivyo badala yake Unanituhumu kuwa sijui hesabu. Kwani hesabu ndiyo inasema Ulaya ananunua Gesi kwa Rubo?. Ikiwa hesabu ndiyo inasema hivyo basi sina neno na ikiwa HESABU haisemi kuwa ulaya inanunua gesi kwa Rubo nina neno kwako nalo ni ili:, Acha UWONGO.
Kwenye hesabu kunaformula na hizo formula ktk formula ndio unapopata, directly proportional na inversely proportional kati ya variable husika na hii thread imezungumzia kuimarika kwa ruble zidi ya dollar na hapo ndipo hesabu ilipo ingia na kupitia hesabu na hizo variable za dollar na ruble ndipo unajua nani anaingiza kingi nani anapoteza.

Hizi hesabu na kwakuwa hujui lazima useme uwongo sio kosa lako, huwezi tenganisha uchumi na hesabu na hii thread maudhui yake ni ya kiuchumi pole sana kwa kukimbia hesabu na ndio maana hii thread hutoielewa.
 
Back
Top Bottom