Baada ya Urusi kutumia nguvu zote na kushindwa kufumua Bakhmut, sasa Ukraine kujibu

Baada ya Urusi kutumia nguvu zote na kushindwa kufumua Bakhmut, sasa Ukraine kujibu

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Urusi imepoteza zaidi ya wanajeshi 70,000 kwa kujaribu kufumua kamji kadogo ka Bakhmut, imeshambulia kwa nguvu zote na kutupa kila kitu, lakini wazalendo wa Ukraine walipambana kuhimili hayo mapigo na kwa sasa Urusi imekwama kiasi cha kutojua nini cha kufanya zaidi.....kichekesho...hawa ndio walitaka kuiparamia Ukraine yote.

Ukraine wameanza maandalizi ya kujibu hayo mapigo, ni kama kwenye ngumi, unamuacha mpinzani wako ashambulie sana kwa nguvu zote hadi pale atakapohema ndio utembeze kichapo....takbirrr

========================

Ukraine is preparing to turn the tide of the war while the country continues to hold Russia’s offensives at bay according to Brigadier General Mykhailo Drapaty.
Drapaty is the Commander of the Kherson Operational Group and he took to Telegram on March 7th to provide his assessment of Russia’s war in Ukraine.
“Mykolaiv is an outpost of southern Ukraine, which the invaders tried unsuccessfully to storm,” Drapaty wrote in his Telegram post.
“At the beginning of March 2022, local volunteers and the military gave a decent rebuff to the invaders,” the Ukranian brigadier general continued.
 
Mpaka leo ni zaidi ya mwaka toka Urusi avamie UKRAINE.Kyiv bado ni makao makuu ya UKRAINE na ZENENSKY bado ni Raisi wa UKRAINE,Urusi imeshuhudia hasara kubwa ya vifo vya wapiganaji wake huku vifaa vyake vingi vya kijeshi vikitekwa na kuharibiwa 🤔
 
Sawa mmarekani wa kongwa,lakin kumbuka mbinu za kivita Ni nyingi Sana,na kwa wajuzi wa masuala ya military science tunaona urusi Hana dalili za kushindwa hii vita,mbinu ya blackmailing the opponent ndo inayopoteza maboya kwa Ukraine na washirika wake,lazma atengeneze mazingira ya adui kuonesha strength zake hasa kwenye silaha na mifumo yake ya kujilinda,na usitegemee kuwa uwezo wa Russia umefika tamati,time will tell
 
Hizi nadharia hazisaidii kitu, Mrusi kawaangusha sana na waarabu wenu...kila mkiangalia hii picha muwe mnapata aibu

Russia_Ukraine_Locator.svg

A324BBEF-12E5-409E-A0CB-7355E922EA2A_w1080_h608_s.png
 
Hizi nadharia hazisaidii kitu, Mrusi kawaangusha sana na waarabu wenu...kila mkiangalia hii picha muwe mnapata aibu

Russia_Ukraine_Locator.svg

A324BBEF-12E5-409E-A0CB-7355E922EA2A_w1080_h608_s.png
Kila siku na kuhoji hivi wewe ukilinganisha land mass coverage ya USA na a tiny VietNam inakupa impression gani??

Sasa mbona wavaa sandals za matairi ya magari waliwashinda na kuwatia aibu ma Gringos - visingizio vyako eti "VietNam ilikuwa mbali sana na USA" ndio maana walishindwa!!

Mtu gani mwenye akili timamu anaweza kukubaliana na visingizio vyako-ukweli unabaki pale pale kwamba jeshi la USA lilishindwa na kihalali na WavietNam - like it or not up2U.
 
USA na Vietanam hauwezi kulinganisha maana ilibidi Marekani asafiri maelfu ya maili kabla kufikia Vietanam, ila haka Ka-Ukraine jirani wa Urusi hapo kameilemaza Urusi mpaka kwisha.
 
Sawa mmarekani wa kongwa,lakin kumbuka mbinu za kivita Ni nyingi Sana,na kwa wajuzi wa masuala ya military science tunaona urusi Hana dalili za kushindwa hii vita,mbinu ya blackmailing the opponent ndo inayopoteza maboya kwa Ukraine na washirika wake,lazma atengeneze mazingira ya adui kuonesha strength zake hasa kwenye silaha na mifumo yake ya kujilinda,na usitegemee kuwa uwezo wa Russia umefika tamati,time will tell
Military science ya kutoka kwenye makadilio ya kutopoteza askari hata mmoja hadi kwenye kupoteza Malaki ya Askari?

Military science ya kutumia siku tatu kumaliza kila kitu hadi kwenye kutumia zaidi ya mwaka na hakuna dalili in sight?

Military science science ya kutarajia ataichukua ukraine kwa kuwatisha kwa kupiga risasi hewani, matokeo yake ameishia kupoteza msururu wa vifaa vyake, kuanzia msafara wa Km 64, meli, ndege za kivita, mifumo yake ya ulinzi wa anga na nyingine nyingi.

Military science ya kupelekwa Bakhmut akajazwa pale huku wenzake wakijufanya ni sehemu muhimu na yeye akajaa mazima kumbe wanamuandalia tukio lingine la kumdharirisha.

Kushindwa kote kwa mahesabu yake hayo bado unasema hana dalili za kushindwa? Inaonekana ninyi watu hata hamtumii vichwa kufikiri bali helmet.
 
Back
Top Bottom