Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 2,255
- 2,825
Nyie si ndio mlisema Putin hataumaliza mwaka 2022
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wala hujui ulisemo - wakati wa vita ya VietNam - USA ilikuwa na airbases karibu na VietNam mfano: Okinawa Japan, Ujerumani Magharibi, Uturuki, Iran ya Shah Reza, Korea ya Kusini, Uingereza na Alaska.
FYI B-52 bombers na fighters zilikuwa zinaruka kutoka kwenye bases tajwa hapo juu kuja kuishambulia VieNam zilikuwa hazitoki Merikani moja kwa moja. Kwa hiyo kisingizio cha eti Merikani ilishindwa vita VietNam kwa sababu ya umbali wa kutoka USA kuja VietNam kisingizio hicho ni immaterial kabisa labda ubuni sababu nyingine mbadala yenye substance.
Urusi imepoteza zaidi ya wanajeshi 70,000 kwa kujaribu kufumua kamji kadogo ka Bakhmut, imeshambulia kwa nguvu zote na kutupa kila kitu, lakini wazalendo wa Ukraine walipambana kuhimili hayo mapigo na kwa sasa Urusi imekwama kiasi cha kutojua nini cha kufanya zaidi.....kichekesho...hawa ndio walitaka kuiparamia Ukraine yote.
Ukraine wameanza maandalizi ya kujibu hayo mapigo, ni kama kwenye ngumi, unamuacha mpinzani wako ashambulie sana kwa nguvu zote hadi pale atakapohema ndio utembeze kichapo....takbirrr
========================
Ukraine is preparing to turn the tide of the war while the country continues to hold Russia’s offensives at bay according to Brigadier General Mykhailo Drapaty.
Drapaty is the Commander of the Kherson Operational Group and he took to Telegram on March 7th to provide his assessment of Russia’s war in Ukraine.
“Mykolaiv is an outpost of southern Ukraine, which the invaders tried unsuccessfully to storm,” Drapaty wrote in his Telegram post.
“At the beginning of March 2022, local volunteers and the military gave a decent rebuff to the invaders,” the Ukranian brigadier general continued.
MSN
www.msn.com
Jamaa huyu mzushi balaa - anafikiri some JF Members ni mbumbumbu kivile!!Ulikuwepo huko Bakhmut lini??
Us wanalia lia balaa sijui hawana drone za kutosha kwenye maghara yaoMURUSI KWA SASA ANADUNGUA DRONE KWA KUTUMIA MAFUTA.
Huna chanzo chochote ulicho taja kwa maneno yako hayo, ni vile unaumwa ni Uputinist na Udikteta, Kama Ukraine hawasemi ukweli Russia wao wanashindwa nini kuusema huo ukweli? kwamba sasa hatupigani tena na jeshi la Ukraine tunapigana na NATO, kwa sababu jambo hili wao linawapa relief kujiona ni superpower zaidi kwanini Putin asitamke hayo?Ni kweli Ukraine ni taifa kubwa kieneo katika bara la Ulaya na ilikuwa na wanajeshi wengi waliopewa mafunzo na majeshi ya NATO tangu 2015, lakini takwimu za kiintelijensia za kutoka kwenye mashirika ya kuaminika kama Mossad ya Israel na Ujerumani wanasema Zelensky hasemi ukweli kuhusu hasara ya idadi ya wanajeshi wake/NATO walio uuwawa na kujeruhiwa - mpaka sasa Ukraine imekwisha poteza zaidi ya Wanajeshi nusu million killed and maimed in action, repeat 500,000 thousand according to reliable western intelligence agecies-kama kawaida yake Zelensky atabisha tu!!
Ukweli ni kwamba Hhvi sasa wanao pigana vita huko Ukraine ni predominantly majeshi ya NATO hasa kutoka Poland, Uingereza na Merikani yaliyo valia military uniform za Ukraine wakiwemo na mamuluki.
Juzi juzi hapa niliwasikia kwa masikio yangu baadhi ya makamanda wa Ukraine wakizungumza kiingereza chenye lafudhi ya Uingereza kabisa na sio Kiukraine - sasa hii inakupa picha gani.
Leta maoni yako mbadala lakini unapo kosa hoja husitukane watu - nani kakwambia naumwa - eti "leta ushahidi" kwani wewe unashindwa nini kutafuta niliyo yasema kutoka kwenye web search engines hiyo sio rocket science or is it?Huna chanzo chochote ulicho taja kwa maneno yako hayo, ni vile unaumwa ni Uputinist na Udikteta, Kama Ukraine hawasemi ukweli Russia wao wanashindwa nini kuusema huo ukweli? kwamba sasa hatupigani tena na jeshi la Ukraine tunapigana na NATO, kwa sababu jambo hili wao linawapa relief kujiona ni superpower zaidi kwanini Putin asitamke hayo?
Sababu ipo wazi, Kama wanaopigana ni NATO na wana lafudhi nzuri ya kiingereza kutoka Uingereza ama US kwanini basi Russia wasikamate hata mateka 2 raia wa NATO na kuutangazia ulimwengu kwamba tumelikamata jeshi la NATO vitani likiwasaidia Ukrean, ukitoa wale mmoja mmoja ambao walijitolea wenyewe kupigana upande wa Ukraine kama walivyojitolea wananchi na raia mbali mbali kwenda kuisaidia Ukrean kumtoa vamizi russia.
Kabla ya kutaja idadi uliyokaririshwa kwanini hukuja na majibu kwanza ya wanajeshi laki 300,000 wa russia ambao wakati uvamizi ndio walianza nao kuvamia Ukraine kutaka kujua hawa laki 3 waliishia wapi? lakini vijana waliolazimishwa kwa nguvu kupewa mikataba raia wa russia na kupewa mafunzo siku mbil tatu na kuingiziwa vitani wako wapi? lakini wafungwa walioambiwa watasamehewa kesi lakini waende vitani wako wapi? lakini hata hawa Wagner tulioambiwa ni wakali zaidi na wanapigana kwa uchungu kule bakhmut mbona sasa kimya kimetawala wako wapi? Je bakhmut ipo chini ya russia kama mulivyodai kabla? lete majibu wewe ni mjuaji sana.
Ungekuja kwanza na majibu ya hayo maswali kabla kutaja idadi feki ya wanajeshi wa Ukraine waliokufa.
Kumbuka Putin alitangaza kabla kwamba endapo Taifa lolote litatokea kuisaidia Ukraine atalishambulia kwa Nuclear vipi leo NATO waingie vitani na Putini akijua ashiwashe hizo nuclear?? Au wewe unajua zaidi kuliko Russia?
Nilidhani una data kumbe ni empty tin yaani mimi ni search engine nitafute Mossada sijui anasema Ukrean wamekufa wanajeshi laki 5, how comes? Nitafute mimi chanzo kwa ulichokizua wewe hapa JF, Lete source sio ''mimi nimesema''., otherwise kaa kimya hasa kwa usichokijua. Umeshindwa kufafanua kauli za Putin na ndaro zake sasa anazidi kuumiaLeta maoni yako mbadala lakini unapo kosa hoja husitukane watu - nani kakwambia naumwa - eti leta ushahidi kwani unadhindwa nini kutafuta niliyo yasema kutoka kwenye web search engines hiyo dio rocket science or is it? Nimesema na hapa narudia kwa faida yako kama huko willing kusikiliza au la - nimesema hivi western intelligence agencies namely Mosssad na ya Ujerumani wanasema wanajeshi waliokufa na kujeruhiwa vitani ni astronomical -idadi hiyo Zelensky na western media hawazisemi masaa yote wanazingumzia hasara ya jrshi la Urusi tu - karibu main stream media zote za magharibi zimekwisha ongwa kusema uongo na kuikandia Urusi - vita Ukraine inavyo shinda ni vya MSM na social media basi - naishia hapo kwa sababu mengine ntafanana na mtu ambaye anataka ku-reinvent the wheel.
Imechukuliwa kibabe sana, karibu usupa pawa utakuwa wazi.Us wanalia lia balaa sijui hawana drone za kutosha kwenye maghara yao
Watamlawiti mwaka huu bila K YTaarifa zilizo chini ya kapeti Mrusi ajiandae Kisaikolojia nivita Kali haijawahi kutokea. Yani Putin. Ajiandae kujinyonga kwa kitu atafanyiwa na NATO... Keep cool men
Moshi to ARUSHA hiyoYes,kuna vifaru kama sikosei vilikwenda kilometa 64 kuelekea Kyiv mwanzoni mwa hivi vita,vilipotea kabisa!