Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpka sasa Russia namkubali kwenye mifumo ya kurusha makombora na makombora yenyewe. Jeshi LA aridhini ndilo linamwangusha. Sasa huwezi kushinda vita kwa kutumia anga pekee,,wapamanaji arihini ndiyo humaliza ubishi.Sawa mmarekani wa kongwa,lakin kumbuka mbinu za kivita Ni nyingi Sana,na kwa wajuzi wa masuala ya military science tunaona urusi Hana dalili za kushindwa hii vita,mbinu ya blackmailing the opponent ndo inayopoteza maboya kwa Ukraine na washirika wake,lazma atengeneze mazingira ya adui kuonesha strength zake hasa kwenye silaha na mifumo yake ya kujilinda,na usitegemee kuwa uwezo wa Russia umefika tamati,time will tell
Taarifa zilizo chini ya kapeti Mrusi ajiandae Kisaikolojia nivita Kali haijawahi kutokea. Yani Putin. Ajiandae kujinyonga kwa kitu atafanyiwa na NATO... Keep cool menUrusi imepoteza zaidi ya wanajeshi 70,000 kwa kujaribu kufumua kamji kadogo ka Bakhmut, imeshambulia kwa nguvu zote na kutupa kila kitu, lakini wazalendo wa Ukraine walipambana kuhimili hayo mapigo na kwa sasa Urusi imekwama kiasi cha kutojua nini cha kufanya zaidi.....kichekesho...hawa ndio walitaka kuiparamia Ukraine yote.
Ukraine wameanza maandalizi ya kujibu hayo mapigo, ni kama kwenye ngumi, unamuacha mpinzani wako ashambulie sana kwa nguvu zote hadi pale atakapohema ndio utembeze kichapo....takbirrr
========================
Ukraine is preparing to turn the tide of the war while the country continues to hold Russia’s offensives at bay according to Brigadier General Mykhailo Drapaty.
Drapaty is the Commander of the Kherson Operational Group and he took to Telegram on March 7th to provide his assessment of Russia’s war in Ukraine.
“Mykolaiv is an outpost of southern Ukraine, which the invaders tried unsuccessfully to storm,” Drapaty wrote in his Telegram post.
“At the beginning of March 2022, local volunteers and the military gave a decent rebuff to the invaders,” the Ukranian brigadier general continued.
MSN
www.msn.com
Mkuu vile vifaru vingi vimepigwa rangi vipo kwenye maonyesho pale Kyiv watoto wanapanda wakipiga navyo picha kama skukuuni na juzi nchi za ulaya walisafirisha kwenye nchi zao baadhi kwa ajili ya maonyesho piaMpaka leo ni zaidi ya mwaka toka Urusi avamie UKRAINE.Kyiv bado ni makao makuu ya UKRAINE na ZENENSKY bado ni Raisi wa UKRAINE,Urusi imeshuhudia hasara kubwa ya vifo vya wapiganaji wake huku vifaa vyake vingi vya kijeshi vikitekwa na kuharibiwa 🤔
Kwa mujibu wa makamanda wastaafu wengi wa ulaya wanakiri ukrean ndio nchi pekee hadi sasa ambayo ina jeshi bora zaidi duniani, Russia walikuwa tayari washachukua eneo kubwa la Ukrean mfano wa nchi ya Newzaland lakini wakaweza kutolewa mkuku kama paka mwizi sasa wako huko bakhmut pembeni pembeni wanakufa kwa aibuSawa mmarekani wa kongwa,lakin kumbuka mbinu za kivita Ni nyingi Sana,na kwa wajuzi wa masuala ya military science tunaona urusi Hana dalili za kushindwa hii vita,mbinu ya blackmailing the opponent ndo inayopoteza maboya kwa Ukraine na washirika wake,lazma atengeneze mazingira ya adui kuonesha strength zake hasa kwenye silaha na mifumo yake ya kujilinda,na usitegemee kuwa uwezo wa Russia umefika tamati,time will tell
Jeshi lake tayari lishafyekwa, alianza na wanajeshi laki3 wakaliwa vichwa na makamanda wao, akapeleka vijana wa umri 18-50 wakafyekwa, akapeleka wafungwa kwa masharti ili wafutiwe mashtaka wakafyekwa sasa hao Wagner nao hatuwasikii tena taarifa sinasema juzi walikataa kupigana hawana silaha wakasema tukiendelea bakhmut ni kifo jeshi la ukraine wanapigana kila mita 1,Huko bakhmut urusi anatumia kampuni tu wagner tena wanatumia makoleo tu bado mnapiga kelele.
sana mkuu yule alikuwa anatisha sana ndaro zake zilimfanya dunia imuone ni superpower sasa anaibikaKumbe Urusi hata Buruni inaweza 'kuwarudisha nyuma'! 🤣
Marekani na mashoga wenzie wanalia huko, silaha ambazo zilitakiwa zitumike kwenye. Spring offensive Ukraine anazimaliza bakhmut jamaa wanataka ukraine waachie huo mji maana hata wakikomaa ni kazi bure wanapeleka muda mbele tu na kumaliza silaha,,,,, Xi anaenda Urusi J3 ijayo acha tujionee. . Mara ya mwisho Putin alivyoenda China na kurudi ukraine kukawaka acha tuone kwa sasaJeshi lake tayari lishafyekwa, alianza na wanajeshi laki3 wakaliwa vichwa na makamanda wao, akapeleka vijana wa umri 18-50 wakafyekwa, akapeleka wafungwa kwa masharti ili wafutiwe mashtaka wakafyekwa sasa hao Wagner nao hatuwasikii tena taarifa sinasema juzi walikataa kupigana hawana silaha wakasema tukiendelea bakhmut ni kifo jeshi la ukraine wanapigana kila mita 1,
Hakuna utakachoona, Russia walisema watatumia msimu wa baridi kuimaliza Ukraine wakawa wanapiga miundombinu ya umeme kila mahali ili Ukraine wafe kwa baridi lakini sasa baridi imeisha jamaa wako strong zaidi, hizi ni habari mbaya sana kwa dikteta putin, bakhmut imemtokea puani maamae, waliachiwa waingie sasa wanasagwaMarekani na mashoga wenzie wanalia huko, silaha ambazo zilitakiwa zitumike kwenye. Spring offensive Ukraine anazimaliza bakhmut jamaa wanataka ukraine waachie huo mji maana hata wakikomaa ni kazi bure wanapeleka muda mbele tu na kumaliza silaha,,,,, Xi anaenda Urusi J3 ijayo acha tujionee. . Mara ya mwisho Putin alivyoenda China na kurudi ukraine kukawaka acha tuone kwa sasa
Yes,kuna vifaru kama sikosei vilikwenda kilometa 64 kuelekea Kyiv mwanzoni mwa hivi vita,vilipotea kabisa!Mkuu vile vifaru vingi
Vita haina mbinu wala njia moja,,,, hupigani na marobot yaliokua programmed kwa jambo fulani tu.............. Acha watu wamalize madude yao hku mchina na iran watikise kiberiti pia +wagner kutimua vumbi afrika..... Acha tuone muviHakuna utakachoona, Russia walisema watatumia msimu wa baridi kuimaliza Ukraine wakawa wanapiga miundombinu ya umeme kila mahali ili Ukraine wafe kwa baridi lakini sasa baridi imeisha jamaa wako strong zaidi, hizi ni habari mbaya sana kwa dikteta putin, bakhmut imemtokea puani maamae, waliachiwa waingie sasa wanasagwa
Mpka sasa Russia namkubali kwenye mifumo ya kurusha makombora na makombora yenyewe. Jeshi LA aridhini ndilo linamwangusha. Sasa huwezi kushinda vita kwa kutumia anga pekee,,wapamanaji arihini ndiyo humaliza ubishi.
Watu wengi hawaelewi kuwa hapani Ukraine, Us na NATO wanapigana na private company PMC. Ndio maana wazili wa ulinzi ameomba Urusi seme kama wapo kwenye vita kamili ili wapeleke jeshi kamili.
Hii inafanyika ili kukwepa uwajibikaji wa moja kwa moja kwa jeshi la Urusi
Pmc ana pigana na nchi zaid ya10 pale Ukraine
Zimeenda Abraham tank (main battle ya Us) leopard 2 (main tank battle ya Germany) plus kila siku Ukraine anaongezewa support na washirika wa NATO ila URUSI yupo na PMC na bado hata almata moja haijaenda wala T90 latest weapon ametumia Urusi ni za 2007 hypersonic tec
Ndio maaana NATO hawakurupuki kufanya maaamuzi yoyote ya kuingia pale moja kwa moja kwenye hii vita
Mpaka saivi petrodoller inaanguka ambayo ni moja ya sabubu ya hii vita
Ukiachana na propaganda za west hii vita inaumiza saaana and at last watampa ushindi Puttin ni suala la muda
T90 zimeharibiwa zaidi ya 5Umekula maharage ya wapi wewe??
Naona wajinga wenzio wote wekupa likes.Taarifa zilizo chini ya kapeti Mrusi ajiandae Kisaikolojia nivita Kali haijawahi kutokea. Yani Putin. Ajiandae kujinyonga kwa kitu atafanyiwa na NATO... Keep cool men
Wala hujui ulisemo - wakati wa vita ya VietNam - USA ilikuwa na airbases karibu na VietNam mfano: Okinawa Japan, Ujerumani Magharibi, Uturuki, Iran ya Shah Reza, Korea ya Kusini, Uingereza na Alaska.USA na Vietanam hauwezi kulinganisha maana ilibidi Marekani asafiri maelfu ya maili kabla kufikia Vietanam, ila haka Ka-Ukraine jirani wa Urusi hapo kameilemaza Urusi mpaka kwisha.
Ni kweli Ukraine ni taifa kubwa kieneo katika bara la Ulaya na ilikuwa na wanajeshi wengi waliopewa mafunzo na majeshi ya NATO tangu 2015, lakini takwimu za kiintelijensia za kutoka kwenye mashirika ya kuaminika kama Mossad ya Israel na Ujerumani wanasema Zelensky hasemi ukweli kuhusu hasara ya idadi ya wanajeshi wake/NATO walio uuwawa na kujeruhiwa - mpaka sasa Ukraine imekwisha poteza zaidi ya Wanajeshi nusu million killed and maimed in action, repeat 500,000 thousand according to reliable western intelligence agecies-kama kawaida yake Zelensky atabisha tu!!Kwa mujibu wa makamanda wastaafu wengi wa ulaya wanakiri ukrean ndio nchi pekee hadi sasa ambayo ina jeshi bora zaidi duniani, Russia walikuwa tayari washachukua eneo kubwa la Ukrean mfano wa nchi ya Newzaland lakini wakaweza kutolewa mkuku kama paka mwizi sasa wako huko bakhmut pembeni pembeni wanakufa kwa aibu
Yaan wewe uwe na taarifa halafu Putin asiwe na taarifa ajabuTaarifa zilizo chini ya kapeti Mrusi ajiandae Kisaikolojia nivita Kali haijawahi kutokea. Yani Putin. Ajiandae kujinyonga kwa kitu atafanyiwa na NATO... Keep cool men