Baada ya Urusi kutumia nguvu zote na kushindwa kufumua Bakhmut, sasa Ukraine kujibu


Kuwa na airbase sio issue maana mwisho wa siku lazima mpigane chini na kuwindana maporini, Urusi na mindege yake yote maepigwa na hako kataif jirani hapo.
 


Ulikuwepo huko Bakhmut lini??
 
Huna chanzo chochote ulicho taja kwa maneno yako hayo, ni vile unaumwa ni Uputinist na Udikteta, Kama Ukraine hawasemi ukweli Russia wao wanashindwa nini kuusema huo ukweli? kwamba sasa hatupigani tena na jeshi la Ukraine tunapigana na NATO, kwa sababu jambo hili wao linawapa relief kujiona ni superpower zaidi kwanini Putin asitamke hayo?

Sababu ipo wazi, Kama wanaopigana ni NATO na wana lafudhi nzuri ya kiingereza kutoka Uingereza ama US kwanini basi Russia wasikamate hata mateka 2 raia wa NATO na kuutangazia ulimwengu kwamba tumelikamata jeshi la NATO vitani likiwasaidia Ukrean, ukitoa wale mmoja mmoja ambao walijitolea wenyewe kupigana upande wa Ukraine kama walivyojitolea wananchi na raia mbali mbali kwenda kuisaidia Ukrean kumtoa vamizi russia.

Kabla ya kutaja idadi uliyokaririshwa kwanini hukuja na majibu kwanza ya wanajeshi laki 300,000 wa russia ambao wakati uvamizi ndio walianza nao kuvamia Ukraine kutaka kujua hawa laki 3 waliishia wapi? lakini vijana waliolazimishwa kwa nguvu kupewa mikataba raia wa russia na kupewa mafunzo siku mbil tatu na kuingiziwa vitani wako wapi? lakini wafungwa walioambiwa watasamehewa kesi lakini waende vitani wako wapi? lakini hata hawa Wagner tulioambiwa ni wakali zaidi na wanapigana kwa uchungu kule bakhmut mbona sasa kimya kimetawala wako wapi? Je bakhmut ipo chini ya russia kama mulivyodai kabla? lete majibu wewe ni mjuaji sana.

Ungekuja kwanza na majibu ya hayo maswali kabla kutaja idadi feki ya wanajeshi wa Ukraine waliokufa.

Kumbuka Putin alitangaza kabla kwamba endapo Taifa lolote litatokea kuisaidia Ukraine atalishambulia kwa Nuclear vipi leo NATO waingie vitani na Putini akijua ashiwashe hizo nuclear?? Au wewe unajua zaidi kuliko Russia?
 
Leta maoni yako mbadala lakini unapo kosa hoja husitukane watu - nani kakwambia naumwa - eti "leta ushahidi" kwani wewe unashindwa nini kutafuta niliyo yasema kutoka kwenye web search engines hiyo sio rocket science or is it?

Nimesema na hapa na rudia kwa faida yako kama huko willing kusikiliza au la - nimesema hivi "western intelligence agencies namely Mosssad na ya Ujerumani" wanasema wanajeshi waliokufa na kujeruhiwa vitani ni astronomical -idadi hiyo Zelensky na western media hawazisemi, masaa yote wanazingumzia hasara ya jeshi la Urusi tu - karibu main stream media zote za magharibi zimekwisha ongwa kusema uongo na kuikandia Urusi - vita Ukraine inavyo shinda ni vya MSM na social media, basi - naishia hapo kwa sababu mengine ntafanana na mtu ambaye anataka ku-reinvent the wheel.
 
Nilidhani una data kumbe ni empty tin yaani mimi ni search engine nitafute Mossada sijui anasema Ukrean wamekufa wanajeshi laki 5, how comes? Nitafute mimi chanzo kwa ulichokizua wewe hapa JF, Lete source sio ''mimi nimesema''., otherwise kaa kimya hasa kwa usichokijua. Umeshindwa kufafanua kauli za Putin na ndaro zake sasa anazidi kuumia

ICC is waiting for him, tayari warrant ya kukamatwa imetoka nadhan atafia huko Kremlin dikteta wako anayejiita superpower lakin ni coward na tayar anaonekana to be the looser.
 
Taarifa zilizo chini ya kapeti Mrusi ajiandae Kisaikolojia nivita Kali haijawahi kutokea. Yani Putin. Ajiandae kujinyonga kwa kitu atafanyiwa na NATO... Keep cool men
Watamlawiti mwaka huu bila K Y
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…