Baada ya utabiri kwa Samia kutimia napumzika siasa mpaka 2030 Inshaalah

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
40,051
Reaction score
51,217
Wakuu;

Baada ya kutabiri sawia kabisa Samia kuwa Rais 2025.

Naona nipumzike siasa kwa muda mpaka 2030 tukijaliwa.

Wish you all mijadala yenye tija.

Mpaka tukikutana tena.
 
Ule unaweza kuita utabili? Kweli kwa Tume hipi?
 
Wakuu;

Baada ya kutabiri sawia kabisa Samia kuwa Rais 2025.

Naona nipumzike siasa kwa muda mpaka 2030 tukijaliwa.

Wish you all mijadala yenye tija.

Mpaka tukikutana tena.
Go hell
 
Baada ya kuona dalili zote za meli kuzama sasa mnajitoa mmoja mmoja na kumuacha bi kidude azame pekeyake.

Hayawi hayawi sasa yamekua ni kitambo kifupi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…