imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Ungesema Mazezeta wa kwelihasa wazalendo wa kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungesema Mazezeta wa kwelihasa wazalendo wa kweli
Hili ulilouliza ndio jibu lenyewe mkuu.Kwa hiyo hapo Lumumba Mmesimamisha Nchi?
Mtu ajiite dudumizi, utegemee aongee cha maana. Fuatilia posts zake zote, uone kama aliwahi kuandika cha maana hata siku moja.Anajipya gani? yaani nchi ina watu wajinga sana hii
We Paulo yan umeteuliwa juz unakuja kujisafisha huku ? Acha ujinga aisee.
Ana jipya ndiyo maana anajadiliwaAnajipya gani? yaani nchi ina watu wajinga sana hii
Hakuna mwenye akiki timamu anayeweza kupoteza muda wake ili asikie mwizi na muuaji makonda atasema nini. Labda kama angekuwa anakuja kufanya toba wa matendo yake ya kishenzi.Pirika pirika zimekua nying apa mjini. Kila mtu anatak kuona na kusikia paul atasema nin.Yani ni baraa.
Swadakta mkuu, umemjibu vizuri.Ana jipya ndiyo maana anajadiliwa
Hahaaa unajipa matumaini hewaHili ulilouliza ndio jibu lenyewe mkuu.
Mkuu yan nlikuwa nafanya shuguli zangu nikasema niangalie jf mara nakutana na bwana paulo, imebidi nimwambie ukweli 😂😂. Huyu yeye mwenyewe hakuna mtu wa kumtetea wenzake walishamchoka…Mkuu umenichekesha san
HahahahMkuu yan nlikuwa nafanya shuguli zangu nikasema niangalie jf mara nakutana na bwana paulo, imebidi nimwambie ukweli 😂😂. Huyu yeye mwenyewe hakuna mtu wa kumtetea wenzake walishamchoka…
Nilikuwa nimeanza kumpongeza Samia kwa kuzizika siasa za chuki lakini naona ni mapema sana.
Mbona waliomuua ChaCha Wangwe bado wanaendelea kuongoza chama, japo karma ishaanza kumuandama kwa chama kukosa mwelekeo na kupelekea viongozi wengine wa chama kuishi nje.Hakuna mwenye akiki timamu anayeweza kupoteza muda wake ili asikie mwizi na muuaji makonda atasema nini. Labda kama angekuwa anakuja kufanya toba wa matendo yake ya kishenzi.
Damu zote alizozimwaga, ziwe juu yake na wazao wake.
Ni ujinga mtupuAna jipya ndiyo maana anajadiliwa
Sahihi mkuuMtu ajiite dudumizi, utegemee aongee cha maana. Fuatilia posts zake zote, uone kama aliwahi kuandika cha maana hata siku moja.
Hawa ni wale wanaandika ujinga ujinga ili tu jioni wakaripoti kuwa wameandika, halafu warushiwe japo mfupa.
Ok mkuu, subiri tuone siku itaishaje.Hahaaa unajipa matumaini hewa
wewe huna akili kuja humu kumsifia Makonda, bila shaka una wazimu wa aina flani au amekutuma uje humu kumsifia. Makonda ni Mshenzi number moja, na Rais amefanya makosa makubwa sana kumrudisha huyu Jamaa, na siju za mbele atajuta kumpa cheo CCM. Anyway weekness nyingi za Rais zimeonekana hivi karibuni lakini hii ndio kabambe.Habari zenu wanaJF wenzangu,
Ndugu wanaJF wenzangu, najua leo tar 26/10, asilimia 95 ya wanasiasa wote Tanzania waliopo ndani na nje, akili zao, macho yao, masikio yao na fikra zao zipo katika ufuatiliaji wa kile kinachoenda kufanywa, au kusemwa na kijana Makonda.
Tumeshuhudia watu wengi (hasa wazalendo wa kweli) wakifurahia uteuzi wake, ambao unakwenda kufungua mlango wa kijana huyo kurudi tena siasani, na kuwadhibiti wale wote wanaokwenda kinyume na misingi ya nchi yetu.
Lkn pia kama ilivyo ada, uteuzi wake pia haukupendwa na watu wachache wanaoongozwa na yule makamu mwenyekiti wa chama fulan, unaweza mwita mzalendo uchwara anaeishi maisha yake kupitia michango ya watu mbali mbali haswa wale wafuasi wake masikini wa kipato na kifikra.
Yes namwita mzalendo uchwara kwa sababu mzalendo wa kweli mwenye kuipenda nchi yake, kamwe hawezi kuishi nje ya nchi na familia yake.
Mfano halisi wa mzalendo wa kweli ni baba wa taifa hayati mwl Julius. K, Nyerere ambae alikuwa tayari kuacha kazi yake ya ualimu huko makelele Uganda, na kuamua kurudi nyumbani na familia yake, ili kujumuika na watanganyika wenzake kupigania uhuru wa nchi yake.
Pia tumeona baba wa taifa la Afrika kusini alivyopigania uhuru wa nchi yake, bila kuikimbizia Ulaya au popote familia yake.
I mean mzalendo wa kweli huwa hakimbii changamoto za kwao, bali hupambana kutafuta njia ya kuzimaliza.
Kuna msemo unasema rafiki au ndugu wa kweli ni yule mnaeshirikiana nae katika nyakati zote za shida na raha. Sio mtu ukiwa na shida anakukimbia kwenda kwa wale wenyevipato, alaf baadae anakuhadaa kuwa anakupenda huku akiwa hana msaada wowote kwako wa kifedha wala mawazo.
Anyway tuachane na sifa za huyu mzalendo uchwara, tujikite kwenye mada husika hapo chini 👇
Tumeona jinsi uteuzi wa kijana huyo ulivyomtoa makamu mwenyekiti huyo pangoni, na kuanza kusema maneno yasioeleweka mithili ya mtu anaetolewa mapepo kanisani. Inasemekana makamu huyo ameandaa vijana wa kumchafua muenezi huyo kupitia mitandao mbali mbali ya kijamii, magazeti, redio nk.
Cha kujiuliza hapa, Je ni kwanini upande ule unatumia nguvu kubwa kumshusha mtu asiewezekana kushushwa?
Ni kwanini hizo nguvu zisitumike kutangaza sera za chama ili kuvuna wanachama?
Kwa mwendo wa namna hii wakati tumebakisha mwaka mmoja harakati za uchaguzi zianze, Je chama chao kikiangukia pua watatuhadaa tena kwamba wameibiwa kura?
Au watajilaumu wenyewe kwa kupoteza muda mrefu kupambana na watu badala ya kutangaza sera ili kujenga chama?
😀😀😀 Mkuu imhotep naona bado haujajifunza, au umeshasahau siasa za majitaka, chuki, fitna na majungu mbali mbali ambazo zilipelekea watu kibao kuchafuliwa hovyo bila ushahidi wowote na matokeo yake watu wanakuja kugundua baadae kwamba mtu fulani alichafuliwa kwa sababu za kisiasa, uzalendo nk.Nilikuwa nimeanza kumpongeza Samia kwa kuzizika siasa za chuki lakini naona ni mapema sana.
Ndicho alichoshauriwa Samia ili kupata kula za kule, kwanza aliambia Biteko, wakaona waongezeeNaona Suku gang wameungana nyuma ya Makonda na wamefurahi sana kuteuliwa kwake ni kama wamepata faraja 🤣🤣