NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Kwa huu ujinga unaoendelea,mtu kama makonda ni muhimu kwenye chama Ili kuleta fear factor kw wapiga Dili na wazembe!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunasubiri jamaa aje tena kuanzisha mikutano yake kwa lengo la kujipatia michango alaf akimbilie tena Ulaya, kula na familia yake, huku akiwaacha waliomchangia katika hali mbaya ya umasikini wa kutupwa.Nyerere gani aliacha kazi ya ualimu huko makelele?
Habari zenu wanaJF wenzangu,
Ndugu wanaJF wenzangu, najua leo tar 26/10, asilimia 95 ya wanasiasa wote Tanzania waliopo ndani na nje, akili zao, macho yao, masikio yao na fikra zao zipo katika ufuatiliaji wa kile kinachoenda kufanywa, au kusemwa na kijana Makonda.
Tumeshuhudia watu wengi (hasa wazalendo wa kweli) wakifurahia uteuzi wake, ambao unakwenda kufungua mlango wa kijana huyo kurudi tena siasani, na kuwadhibiti wale wote wanaokwenda kinyume na misingi ya nchi yetu.
Lkn pia kama ilivyo ada, uteuzi wake pia haukupendwa na watu wachache wanaoongozwa na yule makamu mwenyekiti wa chama fulan, unaweza mwita mzalendo uchwara anaeishi maisha yake kupitia michango ya watu mbali mbali haswa wale wafuasi wake masikini wa kipato na kifikra.
Yes namwita mzalendo uchwara kwa sababu mzalendo wa kweli mwenye kuipenda nchi yake, kamwe hawezi kuishi nje ya nchi na familia yake.
Mfano halisi wa mzalendo wa kweli ni baba wa taifa hayati mwl Julius. K, Nyerere ambae alikuwa tayari kuacha kazi yake ya ualimu huko makelele Uganda, na kuamua kurudi nyumbani na familia yake, ili kujumuika na watanganyika wenzake kupigania uhuru wa nchi yake.
Pia tumeona baba wa taifa la Afrika kusini alivyopigania uhuru wa nchi yake, bila kuikimbizia Ulaya au popote familia yake.
I mean mzalendo wa kweli huwa hakimbii changamoto za kwao, bali hupambana kutafuta njia ya kuzimaliza.
Kuna msemo unasema rafiki au ndugu wa kweli ni yule mnaeshirikiana nae katika nyakati zote za shida na raha. Sio mtu ukiwa na shida anakukimbia kwenda kwa wale wenyevipato, alaf baadae anakuhadaa kuwa anakupenda huku akiwa hana msaada wowote kwako wa kifedha wala mawazo.
Anyway tuachane na sifa za huyu mzalendo uchwara, tujikite kwenye mada husika hapo chini 👇
Tumeona jinsi uteuzi wa kijana huyo ulivyomtoa makamu mwenyekiti huyo pangoni, na kuanza kusema maneno yasioeleweka mithili ya mtu anaetolewa mapepo kanisani. Inasemekana makamu huyo ameandaa vijana wa kumchafua muenezi huyo kupitia mitandao mbali mbali ya kijamii, magazeti, redio nk.
Cha kujiuliza hapa, Je ni kwanini upande ule unatumia nguvu kubwa kumshusha mtu asiewezekana kushushwa?
Ni kwanini hizo nguvu zisitumike kutangaza sera za chama ili kuvuna wanachama?
Kwa mwendo wa namna hii wakati tumebakisha mwaka mmoja harakati za uchaguzi zianze, Je chama chao kikiangukia pua watatuhadaa tena kwamba wameibiwa kura?
Au watajilaumu wenyewe kwa kupoteza muda mrefu kupambana na watu badala ya kutangaza sera ili kujenga chama?
Huenda jamaa uliem quote ni mtu wa Kanda ya ziwa mkuu.Jifunze kuandika kiswahili hakuna neno pirika pirika katika kiswahili kuna pilika pilika na baraa hakuna kula balaa
😂😂😂Habari zenu wanaJF wenzangu,

Waambie tu Makonda hawamuwezi.Habari zenu wanaJF wenzangu,

Ujumbe umefika mkuu.Waambie tu Makonda hawamuwezi.
Makonda ni namba nyingine
Hadi mimi namuombea Makonda afike mbali.
Kwanza angepewa kabisa Ubunge na kuteuliwa kuwa waziri wa Nishati. Hizi kero za mgao wa umeme ni yeye anaweza kupambana nazo.
Wizara nyingi zimepwaya sana.
Msiompenda kaja.Hawa machawa wamekuwa kero.
Hakuna Mungu anaebariki wauaji ila anaweza bariki njia za uteketezwaji waoHongera nyingi sana kwa Mh Makonda. Mungu azidi kumpa kibali, aendelee kuitumikia nchi. Asante Mh Rais kwa kutuletea tena Mh Makonda. Tena huku chamani ndio tunamuhitaji zaidi.
Mavi yako! Ni nani alilalamika akipigwa ban kwenda kwenye mataifa ya wastaarabu?Ulishuhudia akiua? Acha maneno ya vijiweni. Mh Makonda kaanza kutema cheche, mnaanza kutafutana huko.
🙏Jifunze kuandika kiswahili hakuna neno pirika pirika katika kiswahili kuna pilika pilika na baraa hakuna kula balaa
Mbona aliemuua ChaCha Wangwe amebarikiwa kuendelea kuwa mwenyekiti wa chama miaka karibu ishirini sasa?!Hakuna Mungu anaebariki wauaji ila anaweza bariki njia za uteketezwaji wao
Bonge la mzalendo!Seriously unaliita hilo jambazi uaji kuwa "kijana mzalendo"?
Jambazi aliyemuua Ben saa8
Jambazi aliyepora magari ya wahindi na waarabu kwa kuwasingizia madawa ya kulevya?
Jambazi aliyevamia clouds na silaha?
Nahitaji tafsiri ya neno "mzalendo" kutoka kwa machawa kama wewe!!
Huyo Mwenyekiti ni nani tuanzie hapoMbona aliemuua ChaCha Wangwe amebarikiwa kuendelea kuwa mwenyekiti wa chama miaka karibu ishirini sasa?!
Au anabarikiwa na shetani kuongoza chama?
I think wewe sio mwanasiasa wala mfuatiliaji wa siasa, ndo maana haumjui mwenyekiti niliemtaja.Huyo Mwenyekiti ni nani tuanzie hapo
Ufunguo nani anao wa Ofisi...!!! Mna vituko kweli ninyi!!!Anajipya gani? yaani nchi ina watu wajinga sana hii
Tuhuma nzito sana hizi mkuu,,Mbona aliemuua Chacha Wangwe bado ni mwenyekiti wa chama taifa hadi leo.
Au hilo kwako halikushangazi kwa vile ana kibali cha kuua si ndio?
Inasemekana ni mlamba asali mkuu. Hivyo hakuna wa kumshitaki au kufuatilia alichofanya.Tuhuma nzito sana hizi mkuu,,