Baada ya uteuzi wa mwamba: Kuna kundi limeandaliwa kupambana nae

Anajipya gani? yaani nchi ina watu wajinga sana hii
Mtu ajiite dudumizi, utegemee aongee cha maana. Fuatilia posts zake zote, uone kama aliwahi kuandika cha maana hata siku moja.

Hawa ni wale wanaandika ujinga ujinga ili tu jioni wakaripoti kuwa wameandika, halafu warushiwe japo mfupa.
 
Pirika pirika zimekua nying apa mjini. Kila mtu anatak kuona na kusikia paul atasema nin.Yani ni baraa.
Hakuna mwenye akiki timamu anayeweza kupoteza muda wake ili asikie mwizi na muuaji makonda atasema nini. Labda kama angekuwa anakuja kufanya toba wa matendo yake ya kishenzi.

Damu zote alizozimwaga, ziwe juu yake na wazao wake.
 
Ana jipya ndiyo maana anajadiliwa
Swadakta mkuu, umemjibu vizuri.

Anaposema eti hana jipya sijui anamaanisha nini na wakati mpaka makamu mwenyekiti wake na yeye ametumia nguvu zake na akili zake kumuongelea Makonda.
 
Hakuna mwenye akiki timamu anayeweza kupoteza muda wake ili asikie mwizi na muuaji makonda atasema nini. Labda kama angekuwa anakuja kufanya toba wa matendo yake ya kishenzi.

Damu zote alizozimwaga, ziwe juu yake na wazao wake.
Mbona waliomuua ChaCha Wangwe bado wanaendelea kuongoza chama, japo karma ishaanza kumuandama kwa chama kukosa mwelekeo na kupelekea viongozi wengine wa chama kuishi nje.
 
Mtu ajiite dudumizi, utegemee aongee cha maana. Fuatilia posts zake zote, uone kama aliwahi kuandika cha maana hata siku moja.

Hawa ni wale wanaandika ujinga ujinga ili tu jioni wakaripoti kuwa wameandika, halafu warushiwe japo mfupa.
Sahihi mkuu
 
wewe huna akili kuja humu kumsifia Makonda, bila shaka una wazimu wa aina flani au amekutuma uje humu kumsifia. Makonda ni Mshenzi number moja, na Rais amefanya makosa makubwa sana kumrudisha huyu Jamaa, na siju za mbele atajuta kumpa cheo CCM. Anyway weekness nyingi za Rais zimeonekana hivi karibuni lakini hii ndio kabambe.
 
Nilikuwa nimeanza kumpongeza Samia kwa kuzizika siasa za chuki lakini naona ni mapema sana.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Mkuu imhotep naona bado haujajifunza, au umeshasahau siasa za majitaka, chuki, fitna na majungu mbali mbali ambazo zilipelekea watu kibao kuchafuliwa hovyo bila ushahidi wowote na matokeo yake watu wanakuja kugundua baadae kwamba mtu fulani alichafuliwa kwa sababu za kisiasa, uzalendo nk.

Kumbuka kilichotokea kwa Lowasa kuitwa fisadi kabla ya 2015, na baadae waliomwita fisadi kusema hakuwa fisadi.

Kumbuka waliomwita waziri mkuu mstaafu (fulani) Mr zero, lkn alivyojiunga na chama chao katika uchaguzi mkuu wa 2015, jina hilo likapotea na kuanza kuonekana kuwa ni mwenye maono na mzalendo wa taifa.

So nchi hii ukiwa mtu wa kukimbilia ku judge kila unachosikia, basi utajikuta unajenga chuki na watu wengi ambao wengine baadae unaweza kuja kugundua kwamba haukustahili kuwachukia.
 
Naona Suku gang wameungana nyuma ya Makonda na wamefurahi sana kuteuliwa kwake ni kama wamepata faraja 🀣🀣
Ndicho alichoshauriwa Samia ili kupata kula za kule, kwanza aliambia Biteko, wakaona waongezee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…