Baada ya uteuzi wa mwamba: Kuna kundi limeandaliwa kupambana nae

Makonda ana uthubutu lakini sioni jipya lolote atakalofanya akiwa kazungukwa na wahuni.
Atakuwa sehemu ya uhuni tu.

Makonda kama wanasiasa wengine wengi janja janja wale anajua kuendana na mdundo wa muziki unaochezwa na kiongozi wake wa wakati husika.sasa hivi hawezi kuwa na jeuri ya kupambana na madawa ya kulevya n.k.
 
Ni ujinga mtupu
Nasikia kuna mwenyekiti wa chama fulani anazunguka mikoa mbali mbali kufanya mikutano.

Cha kushangaza kama hautumii mitandao ya kijamii kamwe hauwezi kuwa na taarifa ya mikutano hiyo, hali inayopelekea apate watu wachache mno mikutanoni.

Lakin huyu dogo anaonekana kufuatiliwa na watu mbali mbali hata wale ambao sio wafuatiliaji wa mitandao.
 
Nnaposema kwamba kuna vijana wameandaliwa kupambana nae, basi mmoja wapo ni wewe.

Hivyo sishangai ulichoandika kwa sababu ni kazi mahsusi uliyopewa na boss wako.
 
Ukiwa na doa lolote kwenye uongozi hufai...mteule ana tuhuma za madoa...
Skm.gang wengi wana madoa.
Kuna kiongozi ana doa la kukandamiza demokrasia aliyoikuta, na kuachwa na watangulizi wake ndani ya chama chake.

Kiongozi huyo ana doa la kukiazima chama chake fedha kiduchu na kujirudishia kibao.

Ana doa la kupewa pesa ili kumpitisha adui yao agombee uraisi kupitia chama chao

Ana doa la kuhusishwa na kifo cha ChaCha Wangwe

Pia ana doa la kuhusishwa na tabia ya kwenda kupokea pesa ikulu ili kukihujumu chama chake kimya kimya na kupelekea yule makamu mwenyekiti wake wa Ulaya kutumia nguvu kubwa kupambana ili chama kisianguke.

Cha kushangaza mpaka leo yupo on top ya chama na hakuna wa kumwambia kitu.
 
Upeo wako mdogo sana!
Uteuzi wa Makonda kuwa Mwenezi wa CCM ni WA hovyo!
Pia hakuna Chuo Uganda kinaitwa Makelele ni Makerere!
Pia Julius Nyerere hakuwa Mwalimu Makerere bali Mwanafunzi pale.
Julius Nyerere aliacha kazi ya Ualimu Pugu enzi hizo ikiitwa St....
CCM sasa hivi Kumejaa mazuzu ndio haya yanashabikia uteuzi wa Makonda kuwa Mwenezi wa CCM Taifa!
 

CCM NI SIKIO LA KUFAπŸ“ŒπŸ“Œ Mnapata wapi ujasiri wa kumrudisha Makonda kwenye system ya uongozi tena? Hii ni aibu mpaka kwa mataifa mengine kuona tz imekosa watu mahiri wa kuongoza taifa hili. Huyu mwenyewe tuhuma za kuvunja haki za binadamu ndio awe kiongozi. Huyo murderer hafai ❌
 
Hujui hata unaemjibu ana itikadi gani....
 
So what?
 
Hakuna mwenye akiki timamu anayeweza kupoteza muda wake ili asikie mwizi na muuaji makonda atasema nini. Labda kama angekuwa anakuja kufanya toba wa matendo yake ya kishenzi.

Damu zote alizozimwaga, ziwe juu yake na wazao wake.
Kama ile mliyomwaga kwa yule mkurya na yule wa migodini gt
 
Binafsi siweze kupoteza muda kumsifia mtu ambaye hana maslahi ya moja kwa moja kwenye maisha yangu, familia yangu na jamii yangu inayonizunguka.
 
Yaani umeandika kama umetumwa kuwa usipoandika hivi ulivyoandika basi leo mchana hao chama chakavu kisingekuingizia tonge kwenye akaunti yako. Njaa nyoko sana. Chezea njaa veve!
 
Mmbwa kama mmmbwq
 
Naona umekwepa kumjadili mzalendo uchwara na makamu mwenyekiti wa chama chako taifa, baada ya kugundua kwamba nimepiga pale pale kwenye mshono wa operation ya uzazi.

Pole sana kijana.
 
Mkuu sikutegemea kuwa na wewe ni miongoni mwa wale waliopewa kazi ya kupambana na jamaa kupitia mitandaoni nk.

Poleni sana.
 
Binafsi siweze kupoteza muda kumsifia mtu ambaye hana maslahi ya moja kwa moja kwenye maisha yangu, familia yangu na jamii yangu inayonizunguka.
Inamaana wewe sio msifiaji kama huyo?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Attachments

  • Screenshot_20231026-141556.png
    23.6 KB · Views: 2
  • Screenshot_20231026-141606.png
    58.2 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…