Baada ya uteuzi wa mwamba: Kuna kundi limeandaliwa kupambana nae

Tumeshuhudia watu wengi (hasa wazalendo wa kweli) wakifurahia uteuzi wake, ambao unakwenda kufungua mlango wa kijana huyo kurudi tena siasani, na kuwadhibiti wale wote wanaokwenda kinyume na misingi ya nchi yetu
Kwamba ameteuliwa kuwa Kiongozi wa serikali kama political figure i.e WAZIRI au Mtendaji i.e Katibu au? ili awe na mamlaka juu ya wananchi au wanaokwenda kinyume na misingi ya nchi yetu? Au mwenyekiti wa chama chake amemteua kuwa mwenezaji wa itikadi na mawazo ya chama chake cha mapinduzi? Unaweza kutuambia kwa mujibu wa katiba ya JMT ya Mwaka 1977 pamoja na marekebisho yake wapi kuna nafasi ya Katibu mwenezi wa chama kinachounda serikali katika shughuli za kiutendaji za serikali? Punguzeni ujinga kidogo basi ili nchi iweze kuendelea! elimu nayo ni kipimo cha maendeleo ya nchi sasa wajinga wakiwa wengi itakua nchi ya hovyo sana! kazi yake ni kueneza Propaganda na Itikadi za Chama wala sio mtendaji wa serikali! Nyie ndio mtamfanya anze kufanya majukumu yasiyo yake sasa baadae aharibu tena. Kasome katiba ya ccm ibara ya 107(2) a,b,c,d,e,f uone majukumu ya Katibu mkuu wa siasa na uenezi wa chama :https://afisikuu.ccm.or.tz/website/katiba/Katiba ya CCM 2017 (dec 2018).pdf
 
Yaani umeandika kama umetumwa kuwa usipoandika hivi ulivyoandika basi leo mchana hao chama chakavu kisingekuingizia tonge kwenye akaunti yako. Njaa nyoko sana. Chezea njaa veve!
Aina ya muandishi anaelipwa na boss utaiona tu kijana.
 

Attachments

  • Screenshot_20231026-141556.png
    23.6 KB · Views: 2
WEWE NI MJINGA KULIKO MWASHAMBWA
 
Ushauri huu ulitakiwa umpe makamu mwenyekiti wako na mzalendo uchwara ambae alionekana kushtushwa na uteuzi huo.

Zaidi ya miaka mi3 alikuwa hajamtaja Makonda. Lakin alivyochaguliwa tu juzi hiyo hiyo kamtaja, na kusambaza chawa mitandaoni wa kupambana nae.
 
Soma tena ulichoandika then jipige kifuani sema "Mimi ni nunda" wote ni wanasiasa kama mtu hayuko kwenye medani za siasa ulitaka amzungumzie ni mama yake au mkewe? Politicians do talk about politics and fellow politicians! angemsema ungekuja kukenua meno hapa anamsumbua wakati hana nafasi yoyote ya kisiasa. Kiufupii narudia tena una tatizo pahala katika idara ya kufikiri
 
Kwa ufupi,kuna watu ni vimbwenerehi waliopea viwango.Mleta uzi akamatwe haraka hata na sungusungu wa kijiji na atandikwe bakora za shingoni barabara.Shame!
 
Mkuu sikutegemea kuwa na wewe ni miongoni mwa wale waliopewa kazi ya kupambana na jamaa kupitia mitandaoni nk.

Poleni sana.
Ulitegemea na mimi ni kiazi kama wewe? Kweli na akili zako unaweza ukawa mfuasi wa Bashite Zero brain?
 
Leo ilikuwa siku ya kipekee sana hapa nchini. Tumefurahia sana uteuzi huu wa kijana machachari Makonda. CCM hapa mmejua kutufurahisha.
 

Ulishuhudia akiua? Acha maneno ya vijiweni. Mh Makonda kaanza kutema cheche, mnaanza kutafutana huko.
 
Ulitegemea na mimi ni kiazi kama wewe? Kweli na akili zako unaweza ukawa mfuasi wa Bashite Zero brain?
Hata kina mmawia kabla ya uchaguzi wa 2015 walijiona wajanja na wenye akili.

Wakaongea hivi hivi kuhusu Lowasa kama wewe uongeavyo leo, lkn ilivyofika mwaka 2015 wakati wa uchaguzi mkuu wakageuka kuwa wapiga deki wa barabarani na wazungusha mikono wakubwa wa Lowasa.

So kwa wewe leo kujiona una akili nyingi sishangai.
 
Mzalendo wa kweli ni nani?
 
Leo ilikuwa siku ya kipekee sana hapa nchini. Tumefurahia sana uteuzi huu wa kijana machachari Makonda. CCM hapa mmejua kutufurahisha.
Shukran za pekee zimuendee mwenyekiti wa CCM na raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Samia S Hassan kwa kumpa nafasi nyingine mpambanaji na mzalendo wa chama na taifa kwa ujumla.
 
Mzalendo wa kweli ni nani?
Ni yule ambae akiishiwa hela ya kulipa fee ya watoto shuleni, anakuja Tanzania anaanzisha mikutano ya kimkakati, anachangisha watu pesa, alaf anatokomea nazo Ulaya kuwalipia watoto wake hela za fee wanazodaiwa shulen, na zingine kuzitumia kwa ajili ya anasa zingine na matumizi ya nyumbani.

Juzi kaenda Marekani, muda mwingi wa hotuba ulilenga kuhitaji michango kutoka kwao.

Yeye na familia yake wanaishi huko, alaf akiwa na njaa ndo anarudi Tanzania kujifanya mzalendo uchwara ili apate nafasi ya kupata michango na kutokomea tena.
 
Nani wa kumuwazia huyo mj*nga mmoja!!?? Tunaiwazia bandari yetu mliyomzawadia Sultan.
 
Nyerere gani aliacha kazi ya ualimu huko makelele?
 
Mtu yeyote bila kujali cheo na anamwita bashite shujaa huyo ni mpumbavu kwani huwezi ita jitu mafia kuwa shujaa
 
Hongera nyingi sana kwa Mh Makonda. Mungu azidi kumpa kibali, aendelee kuitumikia nchi. Asante Mh Rais kwa kutuletea tena Mh Makonda. Tena huku chamani ndio tunamuhitaji zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…