Baada ya uteuzi wa mwamba: Kuna kundi limeandaliwa kupambana nae

Nyerere gani aliacha kazi ya ualimu huko makelele?
Tunasubiri jamaa aje tena kuanzisha mikutano yake kwa lengo la kujipatia michango alaf akimbilie tena Ulaya, kula na familia yake, huku akiwaacha waliomchangia katika hali mbaya ya umasikini wa kutupwa.
 

Punguza kusifu watu mpaka unapiliza unaonekana muongo.
 
😂😂😂
 
Waambie tu Makonda hawamuwezi.
Makonda ni namba nyingine
Hadi mimi namuombea Makonda afike mbali.

Kwanza angepewa kabisa Ubunge na kuteuliwa kuwa waziri wa Nishati. Hizi kero za mgao wa umeme ni yeye anaweza kupambana nazo.

Wizara nyingi zimepwaya sana.
 
Waambie tu Makonda hawamuwezi.
Makonda ni namba nyingine
Hadi mimi namuombea Makonda afike mbali.

Kwanza angepewa kabisa Ubunge na kuteuliwa kuwa waziri wa Nishati. Hizi kero za mgao wa umeme ni yeye anaweza kupambana nazo.

Wizara nyingi zimepwaya sana.
 
Ujumbe umefika mkuu.
 
Hongera nyingi sana kwa Mh Makonda. Mungu azidi kumpa kibali, aendelee kuitumikia nchi. Asante Mh Rais kwa kutuletea tena Mh Makonda. Tena huku chamani ndio tunamuhitaji zaidi.
Hakuna Mungu anaebariki wauaji ila anaweza bariki njia za uteketezwaji wao
 
Ulishuhudia akiua? Acha maneno ya vijiweni. Mh Makonda kaanza kutema cheche, mnaanza kutafutana huko.
Mavi yako! Ni nani alilalamika akipigwa ban kwenda kwenye mataifa ya wastaarabu?
 
Hakuna Mungu anaebariki wauaji ila anaweza bariki njia za uteketezwaji wao
Mbona aliemuua ChaCha Wangwe amebarikiwa kuendelea kuwa mwenyekiti wa chama miaka karibu ishirini sasa?!

Au anabarikiwa na shetani kuongoza chama?
 
Bonge la mzalendo!
 
Huyo Mwenyekiti ni nani tuanzie hapo
I think wewe sio mwanasiasa wala mfuatiliaji wa siasa, ndo maana haumjui mwenyekiti niliemtaja.

Wanaojua siasa na kuifuatilia, bila shaka wameshamjua huyo mwenyekiti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…