bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
Mirathi ya kiislamu inatambulika kisheria labda kama familia ina mchanganyiko wa waislamu na wakristo kwa huku bara.Tanzania ya Leo ina katiba na sheria vinavyosimamia usawa wa watoto na haki zao.Ikitumika sheria ya kidini kuwanyima urithi watoto shauri likienda mahakamani watoto watapata urithi.