Hivi hujamsikia Katibu mkuu wa Ccm akisema MADEREVA bodaboda na wauza ndizi wameichangia Ccm?Tena kampeni ya Rais?Kama katumia fedha za ruzuku kuprint hizo adverts hapo sawa, kama ni fedha zake za mfukoni, ameula wa chuya.
Upo sahihi kabisa, hoja yako nimeinga mkono.Sera tunaongea tu kama sehemu ya kusherehesha, ila kiukweli wapiga kura wengi hawapigi kura kwa kujali sera, bali sababu nyingine kama mazoea, rushwa, hamasa nk. Ni asilimia chache sana wanachagua kwa sera. Na sasa hivi chini ya Magufuli, kumeibuka aina nyingine ya kupata uwakilishi kwa kupita bila kupingwa.
Akiwa ni wazir ni lazima wabalance story? Au meko?Kanuni zipo wazi....! Mnatakiwa kubalance story....!
Siyo mwanasiasa anatoa tuhuma nzito na mbaya kwa mwenzake...halafu nyinyi kwanza hamuombi ushahidi wa kuzipa nguvu tuhuma hizo pili hamuendi upande wa pili wa aliyetuhumiwa kupata majibu ya tuhuma hizo....!!! Badala yake mbio mnaenda mitamboni kurusha tuhuma hizo tena kwenye " prime time"!
Hivyo, lazima mshughulikiwe msipofuata maadili yaliyowekwa wazi na Tume ya uchaguzi pamoja na TCRA.
Kama Ni kutangaza waliopita bila kupingwa tbc, chanel 10 na vituo vingine vilitangaza kwa kuwanukuu wakurugenzi waliotangaza matokeo, bila kuyasahau magazeti. Clouds walitangaza mapingmizi ya Lisu hilo ndilo lilikua kosa lao wakawa wanatafutiwa sababu ya kuwanyongelea mbaliSheria zipo duniani kote siyo TZ tu. Hata USA huruhusiwi kutangaza matokeo kabla hayajathibitishwa na Tume ya Uchaguzi.
Wao wenyewe wlifukuza TBC sasa wanataka nini?Ila sio fear kwa anachofanya rais wetu? Sasa hivi ukitaka kupigwa faini na TCRA we rusha vipindi vya wapinzani.
ANANICHUKIZA HAPA TU
Hiyo sheria anayosema tunajua ilikuwepo lakini haikutumika ovyo, makusudi, kwa hila na dhulma kama awamu hii. Je ni awamu hii tu ndiyo wagombea wa upinzani hawajui kusoma na kuandika kuanzia wenyeviti wa serkali za mitaa na vijiji mpka ubunge nchi nzima bara na visiwani?Kwa sasa chini ya Magufuli imekuwa ni fashion kwa wanaccm. Kabla ya Magufuli kuwa rais, ukiacha Magufuli mwenyewe akiwa mbunge kuhujumu uchaguzi ili apite bila kupingwa, ni wagombea wachache sana walikuwa wanapita bila kupingwa. Chaguzi karibia zote chini ya awamu hii zimetawaliwa na wagombea kupita bila kupingwa, yaani tabia binafsi ya Magufuli kupita bila kupingwa, ndio imegeuka kuwa tabia ya wanaccm wote kwenye chaguzi zote za nchi hii.
Nafikiri kuna Aja ya kuwapatia watu elimu ya uraia (civics). Asilimia kubwa Sana hawaelewi inatakiwa iweje, na the funny part ni kwamba wanasiasa wa pande zote hakuna anayethubutu kutoe elimu hiyo Kwa kutegea kuja kufaidika Kwa ignorance hiyo katika ventures zao. This time around naona sio wananchi tena ambao ni subject ya uchaguzi ujao, imekua issue ya wanasiasa tuu..wakizidiana kete ndio wanarudi Kwa wananchi kushtaki.Yaani wewe ndio unajua haya leo?
Kama anakuchukiza tumia haki yako ya kikatiba kumwadhibu na sale site wanaotekeleza maelekezo take.Ila sio fear kwa anachofanya rais wetu? Sasa hivi ukitaka kupigwa faini na TCRA we rusha vipindi vya wapinzani.
ANANICHUKIZA HAPA TU
TBC ndio chombo pekee chenye uhakika wa survival katika industry..hakitegemei kurusha matangazo ya biashara ili kilipe mishahara, na hutasikia kimefungiwa au kupigwa fine..hakipendwi na baadhi ya watu wenye ideology Fulani lakini ni Ngumu kuongelea media houses bila kuigusa BBC ya Tanzania na ndio maana huwezi sikia MTU yeyote akiwalalamikia Azam au ITV Kwa kutorusha News au Tukio lenye interest ya kitaifa..Usitake kuchanganya vyombo vya habari na hao wahuni wa TBC. Waliofukuzwa ni TBC kwa kutaka kuleta uccm wao kwenye kampeni ya wanaume.
Yanga na Simba Wana wanachama au wapenzi wengi Dar na nchi nzima kuliko CHADEMA..na sports in followers wengi kuliko politics.Ile nyomi ya Yanga pale taifa wamefunika uzinduzi wa kampeni zakiem mbagala. Maji yako shingoni...
Huyu mbona alikuwa mgombea pekee lakini hakuwahi kujipitisha bila kupingwa ?Kupita bila kupingwa ipo tangu siasa za vyama vingi mkuu!! Kuna uwezekano ulikuwa bado kinda ndiyo maana hujui kuwa kupita bila kupingwa ilikuwapo!
Wizi wa nyuzi nyingi na kukubalika kwa Chama nje na ndani ya mtandaoHuyu ni Mgombea Ubunge wa jimbo la Makambako kwa tiketi ya Chadema akitumia njia mpya ya kujitangaza .
View attachment 1553391View attachment 1553392View attachment 1553393
Mytake : Tunaomba radhi kwa usumbufu wa nyuzi zetu nyingi za kampeni , hii ni kwa vile muda wa kampeni ni mfupi na tunazihitaji sana kura zenu
Nafikiri kuna Aja ya kuwapatia watu elimu ya uraia (civics). Asilimia kubwa Sana hawaelewi inatakiwa iweje, na the funny part ni kwamba wanasiasa wa pande zote hakuna anayethubutu kutoe elimu hiyo Kwa kutegea kuja kufaidika Kwa ignorance hiyo katika ventures zao. This time around naona sio wananchi tena ambao ni subject ya uchaguzi ujao, imekua issue ya wanasiasa tuu..wakizidiana kete ndio wanarudi Kwa wananchi kushtaki.
Sadly SASA hivi wananchi hawana Jambo la kuwasaidia wanaohisi wameonewa kwani tangia mwanzo wananchi hawakuandaliwa na kushirikishwa Kwa kina na SASA hawaoni haja ya kuingilia Mambo ya wanasiasa.
Wanasiasa inabidi wajifunze SASA Ku engage wananchi kuanzia mwanzo na si kusubiri MuDA wameoneana ndio wanakimbilia Kwa wananchi (response haitakuwa vigorous).But kama wananchi wakielimishwa na kuanza kuhusishwa kikamilifu na wakajisikia Wana OWN hii michakato hakuna MTU atataka kuchezea maslahi Yao especially Wakurugenzi wanaoishi nao mitaani kila siku...SASA hivi mkurugenzi haoni ata shida kumchinjilia mbali mgombea aliyekuja kutoka Dar na sio part ya society na wananchi awaji associate naye na lolote limkutalo kwenye mchakato wananchi wanalichukulia kama tatizo binafsi la mgombea... sorry Kwa Insha ndefu.😂
Bora ata ya kupita bila kupingwa kuliko hii Teasing waliyokuwa wanaifanya...SASA sijui Nani alikua wakala wa hicho kivuli., Na mi Nani alikua anakisaidia kivuli kuweka mapingamizi.Huyu mbona alikuwa mgombea pekee lakini hakuwahi kujipitisha bila kupingwa ?View attachment 1553564
Ila sio fear kwa anachofanya rais wetu? Sasa hivi ukitaka kupigwa faini na TCRA we rusha vipindi vya wapinzani.
ANANICHUKIZA HAPA TU
Msimsingizie mh.Rais kwa kila Jambo mnalopitia..Mambo mengine yanawataka mfuate Sheria za nchiIla sio fear kwa anachofanya rais wetu? Sasa hivi ukitaka kupigwa faini na TCRA we rusha vipindi vya wapinzani.
ANANICHUKIZA HAPA TU