Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
- Thread starter
-
- #21
Mkuu, Chadeama walifika uwanjani kila mtu na gari yake? Na hayo magari yaliruhusiwaje ikiwa serikali ilishasema watu wasiende na magari yao? Unafikiri serikali ingekaa kimya na kutosema "Chadema wakiuka uaratibu na kwenda na magari yao uwanjani na kukataliwa kuingia kwa kuvunja uaratibu"Tupo pamoja, yaani walipofika Kalimjee wakafungiwa milango ya basi, wakaamua kwenda Taifa na magari yao ๐ ๐๐
Haya walipanda basi si ndio hayo mabasi yenyewe.Mkuu, Chadeama walifika uwanjani kila mtu na gari yake? Na hayo magari yaliruhusiwaje ikiwa serikali ilishasema watu wasiende na magari yao? Unafikiri serikali ingekaa kimya na kutosema "Chadema wakiuka uaratibu na kwenda na magari yao uwanjani na kukataliwa kuingia kwa kuvunja uaratibu"
Wenzako walishasema Chadema walienda uwanjani na basi liliobeba viongozi wengine wa upinzani, lakini hawajatujibu ilikuwaje basi Chadema peke yao ndio wakasemwa wamechelewa.
Wekeni ukweli wote wazi, sio kupindisha pindisha mambo
Haya walipanda basi si ndio hayo mabasi yenyewe.
๐๐๐ Ngoja nitoe ya Mdee na Bulaya toka Twitter wakijimwambafy ndio unaowajubali๐๐Yaani huo kwako ni ushahidi? Hebu jaribu kutumia common sense kidogo. For all we know hiyo inaweza kuwa gari ya Polepole anaifukuza gari ya Chadema, au Tundu Lissu kweli wakati akienda kumsalimia shemeji yake nyumbani kwa Ndugai!
Lete tu Mkuu, hapa ni JF!๐๐๐ Ngoja nitoe ya Mdee na Bulaya toka Twitter wakijimwambafy ndio unaowajubali๐๐
Wengi walidhani kwamba Chadema walichelewa kuingia uwanjani kwenye msiba wa Mkapa na ndio maana walizuiwa kuingia. Hata account ya Sugu ilidafuliwa kupandikiza wazo hilo. Yote haya yalikuwa mpango maalum. Njama.
NIlieleza wazi kwamba habari kutoka jikoni zilieleza wazi kwamba kwa makusudi kabisa Chadema walipewa muda wa kuwasili uwanjani ambao wangekuta Raisi Magufuli ameisha ingia uwanjani, na hivyo wazuiwe kuingia kwa kisingizio cha kufuata protokali, kwamba wasingeingia baada ya Raisi Magufuli kuwa ameshaingia.
Lakini ukweli ni kwamba tukio hili la msiba lililofanyika siku moja tu baada ya Lissu kurejea nchini, lilihofiwa kwamba lingempaisha Lissu kwa free publicity. Hata kuna watu walihisi kwamba Lissu angeshangiliwa pale ambapo angekuwa akiishuka garini, na hili lilionekana kwamba ni jambo lisilokubalika kabisa, kwa kuzingatia uwepo wa vyombo vingi vya habari na watu waliokuwa wakiangalia luninga na kusikiliza redio juu ya tukio hili.
Hata ilihofiwa kwamba kesho yake Lissu angekuwa habari kuu kwa baadhi ya magazeti badala ya tukio la msiba, kwa vichwa kama "Umati wa waobolezaji waziziam kumshangilia Lissu akiingia uwanjani kwenye msiba wa Mkapa".
Hiki ndicho kilisababisha kwa makusudi kabisa viongozi wa Chadema wachezewe kwa kupewa muda ambao wangeambiwa wamechelewa na Raisi Magufuli ameshaingia uwanjani hivyo wasingeruhusiwa kuingia kama ujumbe.