Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
- Thread starter
- #21
Mkuu, Chadeama walifika uwanjani kila mtu na gari yake? Na hayo magari yaliruhusiwaje ikiwa serikali ilishasema watu wasiende na magari yao? Unafikiri serikali ingekaa kimya na kutosema "Chadema wakiuka uaratibu na kwenda na magari yao uwanjani na kukataliwa kuingia kwa kuvunja uaratibu"Tupo pamoja, yaani walipofika Kalimjee wakafungiwa milango ya basi, wakaamua kwenda Taifa na magari yao 😀 😀😀
Wenzako walishasema Chadema walienda uwanjani na basi liliobeba viongozi wengine wa upinzani, lakini hawajatujibu ilikuwaje basi Chadema peke yao ndio wakasemwa wamechelewa.
Wekeni ukweli wote wazi, sio kupindisha pindisha mambo