Baada ya walimu walio kuwa wamejificha kwenye Ofisi za Elimu Msingi, Sekondari na TSD ndani ya Halmashauri kutimuliwa sasa Idadi ya walimu Waongezeka

Nadhani kwa kuongezea kwenye wazo lako,Elimu hio iwe kwa vitendo zaidi,mfano kama ni ufundi ujenzi basi mwanafunzi afundishwe walau vitu basic kama namna bora ya kutumia kobilo,pima maji,square,pipe range,namna bora ya kupanga tofali na kutafuta ratio ya mchanga na cement...au kama ni userelemala walau dogo ajue kushika randa,kupiga msumal bila kupindisha n.k...Kwenye kilimo kila darasa linakua walau na kishamba darasa
M nimesoma high school kwenye moja ya shule zilizopo bukoba vijijini kila darasa lilikua na bustani yake ya mboga na waalimu walituelekeza namna bora ya kuandaa mbegu,kusia mbegu na umwagiliaji japo ilikua miaka miwil ila tuliondoka na vitu vingi tu ambavyo mtu angeweza kutumia kwa maisha ya kawaida tu mtaani.
 
kama vile unawaonea wivu mkuu.
 
Huko walikuwa wakifanya kazi wakitambulika kwa vyeo gani mkuu?
 
Mkuu wa idara ya elimu ( ambaye atakuwa afisaelimu msingi na sekondari). Awe na PhD .
2. Afisaelimu taaluma msingi 1
3. Afusaelimu taaluma sekondari 1
4. Afisaelimu vifaa msingi 1
5. Afisaelimu vifaa sekondari 1
6. Afisaelimu elimu ya watu wazima 1
7. Afisaelimu utamaduni 1
8. Afisaelimu ufundi na vielelezo 1

Huu utumike uwe ndio muundo wa idara ya elimu ndani ya Halmashauri nchini Tanzania
 
Umekuja kuharibu hapa lakini ulikuwa sawa mwanzo, hizi PhD za akina Mwigulu Nchema, Lipumba sijui Jafo?
 
Umekuja kuharibu hapa lakini ulikuwa sawa mwanzo, hizi PhD za akina Mwigulu Nchema, Lipumba sijui Jafo?
Mkuu kuna PhD Za UDSM walimu wanazo simesomama. Hizo ulizozitaja ni Za UDOM.
Pili afisaelimu Sio lazima awe na PhD ya ualimu. Anaweza kuteuliwa kutokea kozi yeyote kwani huo ni uongozi.
Mfano Hata IGP Sio lazima awe polisi.
 
Mkuu kuna PhD Za UDSM walimu wanazo simesomama. Hizo ulizozitaja ni Za UDOM.
Pili afisaelimu Sio lazima awe na PhD ya ualimu. Anaweza kuteuliwa kutokea kozi yeyote kwani huo ni uongozi.
Mfano Hata IGP Sio lazima awe polisi.
Mkubo amesoma wapi na amefanya nini? Kabudi katoka wapi? rubbish
 
Inaonekana wewe ni mwalimu unapambana na PhD ambayo haina faida kwenye jamii
 
Acheni propaganda ajirini walimu mmeanza yaleyale ya kubuy time mara uhakiki mara vyeti feki kushtuka miaka mitano bila ajira
Wameishiwa mbivu lakini la walimu kuondolewa halmashauri ni kweli asee maana wengi wamejiendeleza kwa fani tofauti lakini hawataki kufanyiwa recategorization sababu ya mishahara hivyo kwenye TANGE inaonekana kuna walimu wengi kumbe hawapo shuleni wapo kwenye makorido
 
Wamekurupusha huko kwenye makorido mkuu. Samia amewakamulia dawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…