Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Wazee baada ya Kamala haris kupigwa na kitu kizito sasa kituo kinachofata ni Tanzania.
Waswahili husema mwenzako akinyolewa na wewe tia maji.
Baada ya siasa za Tanzania kudumaa na kushindwa kubadilisha maisha ya watanzania ikiwemo hali mbata ya uchumi, bei za bidhaa kupanda juu, Thamani ya fedha za Tanzania kushuka dhidi ya Dola, usalama wa Raia na mali zao kuzorota ni wazi CCM na Mwenyekiti wake wameonesha pasi na shaka hawawwzi kuongoza Tanzania tuitakatyo kwa miaka 100 ijayo.
Hivyo basi kumekuwa na hamasi kubwa sana mitaani na mitandaoni watanzania kufanya uamuzi sahihi baada ya Marekani kuonesha Mfano Bora.