Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
- Thread starter
- #61
Yatafika mwisho haya....sisi wananchi tuendelee kuwakataaTatizo la uchaguzi wa Tanzania, ni mfumo. Kura huwa zina fanya maamuzi ya kuwaondoa Ccm madakani ila upande wa pili, polisi na vyombo vingine hupiga kura za kibabe za kui a kura kwa maslahi ya Ccm