Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Kachukue form uokotwe Ununio😁Tàtizo hakuna wàñaume wa kugombea 2025.
Kama wapo wataje hao wanaume watakaogombea na mwanamke Samia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kachukue form uokotwe Ununio😁Tàtizo hakuna wàñaume wa kugombea 2025.
Kama wapo wataje hao wanaume watakaogombea na mwanamke Samia.
Kwa hiyo alikuwa anauza nguo zilizotolewa bure na watawa wa mission Matamba wagawiwe wasionacho?And,that is horrible!He's to lament for sure.Peter Msigwa aka Wagada alikuwa anatuuzia Mitumba Wanafunzi wa The Highlands sec school kutokea Matamba Mission - Makete 😂
Mmoja wao huyu sijui kama wanakuelewaWazee baada ya Kamala haris kupigwa na kitu kizito sasa kituo kinachofata ni Tanzania.
Waswahili husema mwenzako akinyolewa na wewe tia maji.
Baada ya siasa za Tanzania kudumaa na kushindwa kubadilisha maisha ya watanzania ikiwemo hali mbata ya uchumi, bei za bidhaa kupanda juu, Thamani ya fedha za Tanzania kushuka dhidi ya Dola, usalama wa Raia na mali zao kuzorota ni wazi CCM na Mwenyekiti wake wameonesha pasi na shaka hawawwzi kuongoza Tanzania tuitakatyo kwa miaka 100 ijayo.
Hivyo basi kumekuwa na hamasi kubwa sana mitaani na mitandaoni watanzania kufanya uamuzi sahihi baada ya Marekani kuonesha Mfano Bora.
Inawezekana 😄Kwa hiyo alikuwa anauza nguo zilizotolewa bure wagawiwe wasionacho?
NB:Kulikuwa na kijana mitaa ya Mwagongo Ipogolo Iringa anaitwa Wagada.Are they true siblings?
Oooh man! Vijana mlioishi karibu na Mantigo mna habari nyingi sana.Sasa kwa nini hamumshauri aache ubwege-ubwela?When it backfires,ataungua hadi nywele za makwapani/armpits!Inawezekana 😄
Peter alikuwa mtaalam wa Cadet ambazo tulitumia kama Sare za shule
Early 1980s 😂😂😂😂
Safi sana mkuu,Wazee baada ya Kamala haris kupigwa na kitu kizito sasa kituo kinachofata ni Tanzania.
Waswahili husema mwenzako akinyolewa na wewe tia maji.
Baada ya siasa za Tanzania kudumaa na kushindwa kubadilisha maisha ya watanzania ikiwemo hali mbata ya uchumi, bei za bidhaa kupanda juu, Thamani ya fedha za Tanzania kushuka dhidi ya Dola, usalama wa Raia na mali zao kuzorota ni wazi CCM na Mwenyekiti wake wameonesha pasi na shaka hawawwzi kuongoza Tanzania tuitakatyo kwa miaka 100 ijayo.
Hivyo basi kumekuwa na hamasi kubwa sana mitaani na mitandaoni watanzania kufanya uamuzi sahihi baada ya Marekani kuonesha Mfano Bora.
Hakika ni mwendo wa kuongozwa na Rais Mwanaume 2025 na ni baraka kwa maendeleo ya Nchi yetu.Wazee baada ya Kamala haris kupigwa na kitu kizito sasa kituo kinachofata ni Tanzania.
Waswahili husema mwenzako akinyolewa na wewe tia maji.
Baada ya siasa za Tanzania kudumaa na kushindwa kubadilisha maisha ya watanzania ikiwemo hali mbata ya uchumi, bei za bidhaa kupanda juu, Thamani ya fedha za Tanzania kushuka dhidi ya Dola, usalama wa Raia na mali zao kuzorota ni wazi CCM na Mwenyekiti wake wameonesha pasi na shaka hawawwzi kuongoza Tanzania tuitakatyo kwa miaka 100 ijayo.
Hivyo basi kumekuwa na hamasi kubwa sana mitaani na mitandaoni watanzania kufanya uamuzi sahihi baada ya Marekani kuonesha Mfano Bora.
Watakuwa wamesha kula mafunzo ya ziada a.k.a tuisheniii.Wazee baada ya Kamala haris kupigwa na kitu kizito sasa kituo kinachofata ni Tanzania.
Waswahili husema mwenzako akinyolewa na wewe tia maji.
Baada ya siasa za Tanzania kudumaa na kushindwa kubadilisha maisha ya watanzania ikiwemo hali mbata ya uchumi, bei za bidhaa kupanda juu, Thamani ya fedha za Tanzania kushuka dhidi ya Dola, usalama wa Raia na mali zao kuzorota ni wazi CCM na Mwenyekiti wake wameonesha pasi na shaka hawawwzi kuongoza Tanzania tuitakatyo kwa miaka 100 ijayo.
Hivyo basi kumekuwa na hamasi kubwa sana mitaani na mitandaoni watanzania kufanya uamuzi sahihi baada ya Marekani kuonesha Mfano Bora.
Na majini ya chini ya bahariChura kiziwi anategemea vyombo vya dola
Kama mmea au njozi?Unaota
Hata Botswana mgombea alikuwa RaisKwa nchi yetu, mgombea kupitia CCM ndio Rais.
Sasa hao NEC ndio wamkatae Mother, waweke mgombea Urais mwingine. Ila wakimpitisha Mother, ujue huyo ndio Rais.
Ya kufa mtuWatakuwa wamesha kula mafunzo ya ziada a.k.a tuisheniii.