Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Tuendelee kuota soteUnaota
Tume hii hii mzeekwa tume hii ya uchaguzi?!
Kwani tume hii ikiamua kuna kitu kinashindikana?kwa tume hii ya uchaguzi?!
Hilo ni tawi la CCM, tume ni uvccm iliyochangamka.kwa tume hii ya uchaguzi?!
HahahaHilo ni tawi la CCM, tume ni uvccm iliyochangamka.
🤣Hahaha
Tàtizo hakuna wàñaume wa kugombea 2025. Kama wapo wataje hao wanaume watakaogombea na mwanamke Samia.Wazee baada ya Kamala haris kupigwa na kitu kizito sasa kituo kinachofata ni Tanzania.
Waswahili husema mwenzako akinyolewa na wewe tia maji.
Baada ya siasa za Tanzania kudumaa na kushindwa kubadilisha maisha ya watanzania ikiwemo hali mbata ya uchumi, bei za bidhaa kupanda juu, Thamani ya fedha za Tanzania kushuka dhidi ya Dola, usalama wa Raia na mali zao kuzorota ni wazi CCM na Mwenyekiti wake wameonesha pasi na shaka hawawwzi kuongoza Tanzania tuitakatyo kwa miaka 100 ijayo.
Hivyo basi kumekuwa na hamasi kubwa sana mitaani na mitandaoni watanzania kufanya uamuzi sahihi baada ya Marekani kuonesha Mfano Bora.
Tume ni tawi la CCM, tume ni uvccm iliyochangamka.Bongo hakuna uchaguzi Tume ya uchaguzi inaamriwa kutangaza ccm imeshinda basi inakuwa imeisha hiyo.
Mkia?Maana kuna jamaa waliambiwa wamekatwa mikia ya kufukuzia nzi wasumbufu.Unaota