Baada ya Wamarekani kumkataa Harris Kamala, 2025 Watanzania wanajua cha kufanya

Tàtizo hakuna wàñaume wa kugombea 2025.
Kama wapo wataje hao wanaume watakaogombea na mwanamke Samia.
Yupo mwanaume wa shoka, Wakili msomi Boniphace K. Mwabukusi.
Huyu mwamba yuko very smart.
Akipata platform nzuri kama CHADEMA au ACT Wazalendo, atashinda asubuhi na mapema.
 
Yupo mwanaume wa shoka, Wakili msomi Boniphace K. Mwabukusi.
Huyu mwamba yuko very smart.
Akipata platform nzuri kama CHADEMA au ACT Wazalendo, atashinda asubuhi na mapema.
Hahahaa
 
Hapo ni sawa na kulinganisha uwezo wa USA dhidi ya Tanzania, hii nchi hata mbwa anaweza kuiongoza.
 
Hapo ni sawa na kulinganisha uwezo wa USA dhidi ya Tanzania, hii nchi hata mbwa anaweza kuiongoza.
Kuna Mtu alisema hata Mwijaku akichukua form kupitia chama kubwa atashinda
 
Yupo mwanaume wa shoka, Wakili msomi Boniphace K. Mwabukusi.
Huyu mwamba yuko very smart.
Akipata platform nzuri kama CHADEMA au ACT Wazalendo, atashinda asubuhi na mapema.
Nimekwsmbia taja mwanaume mgombea na chama anachotoka.
Mfano mgombea wa urais Zanzibar ni Hussein Mwinyi wa CCM.
Samia anagombea kupitia CCM. Sasa huyo mwingine ni nani na anatoka chama gani?
Ndo maana nimesema hakuna mwanaume mgombea na huyo Mwabukusi wala siyo mgombea na umeshindwa kutaja hata ni mgombea kupitia chama gani,
 
Shida ya watz wengi ni wajinga tu
Watu kama Akina mwijaku
 
Jambo ni moja tu na sisi ni kumkataa makamu wa Rais Cha kuzurura
 
Muhimu ni kuweka mikakati ya kusimamia kura na kutoruhusu wasio na sifa na watoto kupiga kura
 
Tatizo la uchaguzi wa Tanzania, ni mfumo. Kura huwa zina fanya maamuzi ya kuwaondoa Ccm madakani ila upande wa pili, polisi na vyombo vingine hupiga kura za kibabe za kui a kura kwa maslahi ya Ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…