Baada ya Wamarekani kumkataa Harris Kamala, 2025 Watanzania wanajua cha kufanya

Tatizo la uchaguzi wa Tanzania, ni mfumo. Kura huwa zina fanya maamuzi ya kuwaondoa Ccm madakani ila upande wa pili, polisi na vyombo vingine hupiga kura za kibabe za kui a kura kwa maslahi ya Ccm
Yatafika mwisho haya....sisi wananchi tuendelee kuwakataa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…