Baada ya WB na Denmark kusitisha misaada na uhusiano wanaofuata ni Scandinavia, EU, UK, Canada na Marekani

Baada ya WB na Denmark kusitisha misaada na uhusiano wanaofuata ni Scandinavia, EU, UK, Canada na Marekani

Tatizo wengi mnajua sana....no matter what,God is our refuge. ..ukiiombea nchi yako mabaya,basi ya kukute wewe na familia yako.

Mambo mengine Muwe mnatumia personal nouns....wengine tunamlilia Mungu juu ya Taifa.
mungu gani? yehova?allah?krishna?yesu?
imagine mavitabu yenu ya dini yameandikwa tii mamlaka sababu zimewekwa na mungu!!!! yani hata mtu akiiba kura au kupindua serikali halali unatakiwa kutii mamlaka!!!! garbage
chomeni moto mavitabu ya kijinga yale
 
God is our refuge and strengh , a very present help in trouble.
Therefore we will not fear,though the earth be removed,and though the mountains be carried into the midst of the see.........

God is in the midst of her,she shall not be moved:God shall help her,and that right early.

The Lord of hosts is with us,the God of Jacob is our refuge.
God is just refuge to those who fear him and adore him in spirit and truth,do not expect that Tanzania will be maintained by God after being isolated by the international community.
Because its leader is not a God fearing nor he doesn't adore him in spirit and truth.
He's just like Pharaoh,so the turmoils shall destruct Tanzania to the end
 
Nyie ndo ntakua wa kwanza kumkana! Leo kwa ujira kiduchu mnatetea.
Nimekumbuka wale vjjana was chama cha Mgabe walivyosema watakula sahani moja na yeyote atakayempindua Mugabe... Lakini baada ya Jeshi kufanya yake walikuwa wakwanza kuomba msamaha kwa ile kauli yao
 
Mwambie Dr. Mpango aache kwenda kuombaomba kwa mashoga.
Huwezi kuishi bila kuwa na watu wa aina mbalimbali.Hata Mungu alijaribu kuwafutilia mbali mpaka akatoa agano lake na mwanadamu kuwa hata ingamiza tena dunia kwa maji wala kwa moto ila kwa kila neno
 
Binafsi ningefurahi kuona misaada yote inasitishwa tujipange upya, ukitaka kuweza achana na misaada tafuta chako hata kama kidogo ni chako.
 
Kama hizi habari ni za kweli,it's gonna be horrible. Nakumbuka enzi za mchonga tuliambiwa kila mtu afunge mkanda, naanza kuvuta picha ya empty shelves kwenye maduka yetu(I mean kama hizi habari ni za kweli), naomba Mungu zisiwe za kweli.
Mkuu kwa uhenga wako unayo kumbukumbu kanakwamba ni lini tuliambiwa tulegeze mikanda?
 
View attachment 934597
Huyu ndio Zitto msaliti namba moja wa nchi yetu, ndiye anaeichonganisha nchi yetu na jumuiya za kimataifa, je unajua wananongea nn hapo? unajua kuwa asilimia kubwa ya mabalozi na wafanyakazi wa balozi ni majasusi wa nchi yaoo? wanapowapata wasaliti kama hawa ambao wakiwahonga fedha za misaada kwenye majimbo yao basi wanakuwa tayari kuongea kila kitu,
mnafikiri nini zito atakacho mwambia huyo zaidi ya kuomba wasitishe misaada kwa nchi? na ndio maana leo hii ikitokea taarifa ya kunyimqwa misaada basi mtu wa kwanza kuposti taarifa hiyo basi atakuwa ni Zito nakisha shangwe kufuatiwa na wasaliti wenzie.
Mbona na usiandike basi huwa anawaambia nini mpaka wamsikilize yeye?

Ina maana unaweza tu kukurupuka na Wazungu wakakusikiliza na kutekeleza? Wazungu hawa hawa wanye uwezo wa kufanya uatafiti na kuja na matokeo tunayotumia hata kwenye maisha yetu ya kila siku?

Una wa underestimate Watu Wanaotushauri mpaka jinsi ya kujenga na kutumia vyoo? mpaka tunaimbishwa "nyumba ni choo"
 
Wewe ni nani. Hayo maneno Mwalimu alisema baada ya vita vya Kagera (miezi 18 ya kufunga mkanda). Kumbuka kabla ya vita vya Kagera hali ya uchumi ilikuwa ni nzuri tu. Dola moja ilikuwa sawa na shillingi tano ya kitanzania. Unafikiri nilikuwa mtoto mdogo enzi hizo sio?
Lini tuliamriwa kufungua mikanda!?
 
Mkuu kwa nini hujasema kwamba hawa jamaa wanafanya biashara ya kinyonyaji (imbalance trade) na sisi halafu robo ya robo ya faida wanayopata ndio wanatuletea kama msaada?

Kwa nini hutaki kusema ukweli kwamba baada ya serikali yetu kujaribu kuwabana wawekezaji wote wa kizungu ili kujenga win win situation katika biashara faida yao waliyozoea ya 1000% plus imeporomoka na hivyo ile robo ya robo ya robo waliyokuwa wanaleta kama msaada wameifutilia mbali

Kwa nini husemi kwamba wazungu hawahawa wa umoja wa Ulaya na Marekani hii hii haina haja na haki za binadamu endapo tu maslahi yao katika taifa husika yametimizwa

Ni nchi gani yenye ukiukaji wa haki za binadamu kama Saudia Arabia? Je,Marekani na Ulaya wameifanya nini serikali mfalme?

Mkuu,kwa nini hutaki kusema kwamba wazungu hawatoi chochote bure kwa nchi zetu masikini? kwa nini hutaji masharti ya kiuchumi yanayoambatana na hiyo misaada yao ambayo inaumiza mno uchumo wetu

Kwa nini husemi ukweli kwamba hawa mabepari huzichezea siasa za nchi zetu ili tu aingie madarakani mtu aliye radhi kuisaliti nchi yake na kutumikia uchumi wao?

Kwa nini huhamasishi mshikamano wetu kama taifa dhidi ya mbinu zote chafu za mabepari hawa? Kwa nini hufanyi nafasi yako kama raia mzalendo kwa nchi yako na muaminifu kwa muumba wako?
 
Sasa wewe unatakaje? Tukubali ushoga? Hakuna inchi iliyoendelea kwa kutegemea misaada tu.. Fanyeni kazi tuache kuombaomba
Sasa tufanye kaz gan? Ajira hamtoi kilimo pembejeo mnauza ghali na hakuna soko la uhakika la mazao yetu,biashara mnatoza kodi kubwa kuliko hata mitaji yetu na istoshe purchasing power imepungua nchini bidhaa zina expire.

Tusaidie tujue mzee baba,tufanye kazi gan?
 
OF course wanafuta,mwisho wa mwezi mawaziri wa mambo ya nje wa EU wanakutana kuijadili Tanzania, kuna uzi niliandika huku ukafutwa kuhusu kazi za watanzania wengi wa embassy ,wanawatafsiria mabalozi hadi magazeti ya udaku na huwa mabaozi wanaulizia sana kinachoendelea mtaani,watu wansemaje kuhusu serikali,nina mshkaji wangu yupo balzo moja a scandinavia anakula dollar 4000 per month aliniambia halafu utasikia majitu yanakuambia wapinzani ndo wanachochea,SHIDA NI MIKATABA YA HAKI ZA BINADAMU MLIYOSAINI,JITOENI MUWE HURU
 
Yaani unalilia msaada kama mtoto mdogo. Kwa hiyo uko tayari kutatuliwa marinda alimradi tu upewe msaada? Aisee.
Katika hali ya kawaida kabisa huko vijijin wazee wanaheshimiwa sana, lakini kama Mzee anafanya mambo ya ajabu ajabu anadharauliwa hata na watoto wadogo na wanaweza hata wasimsalimie. Hebu Firikia ni kwa nini Ka-nchi kadogo kama Denmark kasitudharau kama wabunge wote wanne wanaamua kuacha Ubunge na kuomba tena Ubunge na wanapitishwa kuwa Wabunge. Ninachofahamu kazi ya Mbunge ni kuisimamia Serikali bila kujali yuko na itikadi gani, yeye ni mwakilishi wa Wananchi. Kama Mbunge mmoja anaacha itikadi iliyomwingiza Bungeni, ana uhakika gani kuwa wale waliomuunga mkono wana mawazo gani juu yake ?
 
Ile vita ilitumika kama excuse, sikuwa mjinga na brainwashed kama wengi walivyokuwa. Hatukuwa na uhusiano mzuri na WB pamoja na IMF plus sera mbaya za kiuchumi so vile vita ikawa ni sababu nzuri na kwa ambao hawakuwa na uwezo wa kujiongeza walizimeza zile blah blah, unakumbuka mliambiwa kujifunga mkanda ingekuwa 18months tu lakini je madabwada yaliendelea kuvaliwa kwa muda gani tokea vita ilipoisha? Essential commodities ziliendelea kutokupatikana kwa muda gani tokea vita viishe?
Unahangaika kulijibu inzi la kijani,after 6 months misaada ikikatwa litaanza kuongea lugha moja hata zimbabwe kuna wehu walimshangilia mugabe baadaye walijuta
 
Back
Top Bottom