mungu gani? yehova?allah?krishna?yesu?Tatizo wengi mnajua sana....no matter what,God is our refuge. ..ukiiombea nchi yako mabaya,basi ya kukute wewe na familia yako.
Mambo mengine Muwe mnatumia personal nouns....wengine tunamlilia Mungu juu ya Taifa.
God is just refuge to those who fear him and adore him in spirit and truth,do not expect that Tanzania will be maintained by God after being isolated by the international community.God is our refuge and strengh , a very present help in trouble.
Therefore we will not fear,though the earth be removed,and though the mountains be carried into the midst of the see.........
God is in the midst of her,she shall not be moved:God shall help her,and that right early.
The Lord of hosts is with us,the God of Jacob is our refuge.
Haita affect budget tu hata biashara tunafanya na nani.Import and export itakuwa zero TujitafakariYaani unalilia msaada kama mtoto mdogo. Kwa hiyo uko tayari kutatuliwa marinda alimradi tu upewe msaada? Aisee.
Nimekumbuka wale vjjana was chama cha Mgabe walivyosema watakula sahani moja na yeyote atakayempindua Mugabe... Lakini baada ya Jeshi kufanya yake walikuwa wakwanza kuomba msamaha kwa ile kauli yaoNyie ndo ntakua wa kwanza kumkana! Leo kwa ujira kiduchu mnatetea.
Huwezi kuishi bila kuwa na watu wa aina mbalimbali.Hata Mungu alijaribu kuwafutilia mbali mpaka akatoa agano lake na mwanadamu kuwa hata ingamiza tena dunia kwa maji wala kwa moto ila kwa kila nenoMwambie Dr. Mpango aache kwenda kuombaomba kwa mashoga.
Huo msaada tutapewa tu kwa njia nyingine.Tayari WB na Denmark wameshasitisha misaada yao kwa kutumia matamko ya Makonda tu wala hawakusubiri mrejesho wa serikali.
Kama wanachangia 40% ya bajeti na huku bajeti yenyewe ikitekelezwa kwa 40% hiyo hiyo ni nini kinafuata nchi hii ?
Enzi za kubandika viraka kwenye makalio imerudi !
Mkuu kwa uhenga wako unayo kumbukumbu kanakwamba ni lini tuliambiwa tulegeze mikanda?Kama hizi habari ni za kweli,it's gonna be horrible. Nakumbuka enzi za mchonga tuliambiwa kila mtu afunge mkanda, naanza kuvuta picha ya empty shelves kwenye maduka yetu(I mean kama hizi habari ni za kweli), naomba Mungu zisiwe za kweli.
Mbona na usiandike basi huwa anawaambia nini mpaka wamsikilize yeye?View attachment 934597
Huyu ndio Zitto msaliti namba moja wa nchi yetu, ndiye anaeichonganisha nchi yetu na jumuiya za kimataifa, je unajua wananongea nn hapo? unajua kuwa asilimia kubwa ya mabalozi na wafanyakazi wa balozi ni majasusi wa nchi yaoo? wanapowapata wasaliti kama hawa ambao wakiwahonga fedha za misaada kwenye majimbo yao basi wanakuwa tayari kuongea kila kitu,
mnafikiri nini zito atakacho mwambia huyo zaidi ya kuomba wasitishe misaada kwa nchi? na ndio maana leo hii ikitokea taarifa ya kunyimqwa misaada basi mtu wa kwanza kuposti taarifa hiyo basi atakuwa ni Zito nakisha shangwe kufuatiwa na wasaliti wenzie.
Mzee Shikamoo , pole sanaKwahiyo nyie vijana mlio makazini mnaongea hivi je sisi wastaafu tutafanya Nini ktk Maisha haya jamani,
Mnatuumiza sisi wazee,na tukisoma hizi thread zenu mioyo inaenda mbio sana jamani.
Lini tuliamriwa kufungua mikanda!?Wewe ni nani. Hayo maneno Mwalimu alisema baada ya vita vya Kagera (miezi 18 ya kufunga mkanda). Kumbuka kabla ya vita vya Kagera hali ya uchumi ilikuwa ni nzuri tu. Dola moja ilikuwa sawa na shillingi tano ya kitanzania. Unafikiri nilikuwa mtoto mdogo enzi hizo sio?
labda ndio hizi zinazoidhinishwa na mtoto wa dada bila kupita bungeni .Nchi ikitekeleza bajeti kwa 40% tu huenda inatekeleza kwa misaada tunayopokea kutoka kwa wahisani ambayo ni 40% tunayo pewa sasa twaweza kujiuliza hizo pesa zingine 40% zinaenda wapi.
huo ndio ukweli, Tanzania ni kanchi maskini sana, bila msaada hatufiki popote!Yaani unalilia msaada kama mtoto mdogo. Kwa hiyo uko tayari kutatuliwa marinda alimradi tu upewe msaada? Aisee.
Sasa tufanye kaz gan? Ajira hamtoi kilimo pembejeo mnauza ghali na hakuna soko la uhakika la mazao yetu,biashara mnatoza kodi kubwa kuliko hata mitaji yetu na istoshe purchasing power imepungua nchini bidhaa zina expire.Sasa wewe unatakaje? Tukubali ushoga? Hakuna inchi iliyoendelea kwa kutegemea misaada tu.. Fanyeni kazi tuache kuombaomba
Katika hali ya kawaida kabisa huko vijijin wazee wanaheshimiwa sana, lakini kama Mzee anafanya mambo ya ajabu ajabu anadharauliwa hata na watoto wadogo na wanaweza hata wasimsalimie. Hebu Firikia ni kwa nini Ka-nchi kadogo kama Denmark kasitudharau kama wabunge wote wanne wanaamua kuacha Ubunge na kuomba tena Ubunge na wanapitishwa kuwa Wabunge. Ninachofahamu kazi ya Mbunge ni kuisimamia Serikali bila kujali yuko na itikadi gani, yeye ni mwakilishi wa Wananchi. Kama Mbunge mmoja anaacha itikadi iliyomwingiza Bungeni, ana uhakika gani kuwa wale waliomuunga mkono wana mawazo gani juu yake ?Yaani unalilia msaada kama mtoto mdogo. Kwa hiyo uko tayari kutatuliwa marinda alimradi tu upewe msaada? Aisee.
Unahangaika kulijibu inzi la kijani,after 6 months misaada ikikatwa litaanza kuongea lugha moja hata zimbabwe kuna wehu walimshangilia mugabe baadaye walijutaIle vita ilitumika kama excuse, sikuwa mjinga na brainwashed kama wengi walivyokuwa. Hatukuwa na uhusiano mzuri na WB pamoja na IMF plus sera mbaya za kiuchumi so vile vita ikawa ni sababu nzuri na kwa ambao hawakuwa na uwezo wa kujiongeza walizimeza zile blah blah, unakumbuka mliambiwa kujifunga mkanda ingekuwa 18months tu lakini je madabwada yaliendelea kuvaliwa kwa muda gani tokea vita ilipoisha? Essential commodities ziliendelea kutokupatikana kwa muda gani tokea vita viishe?