Baada ya WCB kutoa Wimbo: Ommy Dimpoz atao mapovu, Diamond amjibu

Vipi kununua viewers kwa account ambayo haina matangazo ya Google?
 
Hata hivyo mimi sijaelewa jambo moja kuhusu huyu Dimpoz... yaani kwavile wao wame-release nyimbo ndo alitaka wengine wasiachie ngoma; au?!
 
Zari na mumewe wana college kule na biashara nyingine, kuna uwezekano zari akawa raia was huko pia
Yaani Mpwa na wewe ujanja wote huo ndo umesikiliza uzushi wa huyo jamaa, au? South Africa pesa yako; kununua nyumba RUKHSA na wala sio lazima uwe raia! Kuna wakati walikuwa na sheriaa (sina hakika kama bado ipo) ambayo ilikuwa inakataza foreigner kumiliki shamba lakini sio nyumba!
 
diamond alikuwa rafik na ommy sasa kwa diamond kuongea hivyo inamaana ni ukweli mtu na diamond alikuwa rafk ya nay wa mitego na ney aliambiwa na diamond sasa hapo ukweli umepatikana haina haja ya kuficha mambo na shemeji hatumjui
watu wachokozi sana
 
kokoro vs kajiandae
piga kura ipi kali

.........................[HASHTAG]#KOKORO[/HASHTAG] BY RICH MAVOUK FT DIAMOND PLATNUMZ............

........KAJIANDAE BY OMMY DIMPOZ FT ALI KIBA.......

 
KAJIANDAE
KIGEZO NAWEZA KUSIKILIZA POPOTE NA KUANGALIA VIDEO POPOTE NA YEYOTE
LAKINI PIA KAJIANDAE NI NYIMBO YENYE MAADILI UKILINGANISHA NA KOKORO,
SWALA LA KUONESHA NYONYO ZA MWANAMKE LINALETA TAFSIRI TOFAUTI
 
Nakusahihisha alieanza ni diamond "kushindana na wasio jua raha"
Ommy akamjibu "wanunua views"
Jamaa akajibu tena hvo

We unaona alieanza ni nan hapo?
 
kwa Jina la Baba na La Mwana na La Roho Mtakatifu.
pepo wa kufilisika ashindwe!!! kwa Jina la Yesu...
 

Ha ha haaaaa

unatokwa na povu kwenye uzi zingine humu kutoa ya moyoni, then unakuja kufungua uzi na kujitahidi kujiweka kati kama haumshambulii D.

unalo maana uliyosema sina, wewe ndio huna uwezo wa hata kuwa navyo.
 
Nani alikataa kumpumulia mwenzake? Watu wa Kigoma mnatabu Sana.
 
Acha fix na wew kwani kumiliki nyumba nchi fulani lazima raia wa nchi husika? Yan wabongo sijui tupoje kanunua nyumba mnasema kapanga..akipewa tuzo mnasema ananunua sasa tuelewe nini cheee[emoji22] [emoji22]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…