Baada ya WCB kutoa Wimbo: Ommy Dimpoz atao mapovu, Diamond amjibu

Baada ya WCB kutoa Wimbo: Ommy Dimpoz atao mapovu, Diamond amjibu

HUYU OMMY DIMPOZ HAJUI LOLOTE KUHUSU YOUTUBE.. MIMI NI MTENGENEZAJI WA YOUTUBE ADSENSE ACCOUNT NA NIMETENGENEZEA WASAII WAKUBWA NA BAADHI YA WATU MAARUFU.. IKO HIVI HATA SIKU MOJA HUWEZI KUNUNUA VIEWERS YOUTUBE KWA ACCOUNT YENYE MATANGAZO YA GOOGLE KAMA YA DIAMOND.. HICHO KITU HAKIPO NA HAIWEZEKANI.. NA UKIJARIBU KUFANYA HIVYO ACCOUNT YAKO YA YOTUBE ITAFUNGIWA MATANGAZO MARA MOJA.. UKINUNUA VIEWERS KWA ACCOUNT YENYE MATANGAZO YA GOOGLE NI KAMA UNATAKA KUWATAPELI ILI UPATE PESA NYINGI... NA KWENYE SYSTEM ZA GOOGLE NA ROBOTS ZITAFUNGA MATANGAZO YAKO MARA MOJA..
MATANGAZO NINAYOYASEMA NI KAMA HILI HAPA CHINI.. ANGALIA...
View attachment 438299
Vipi kununua viewers kwa account ambayo haina matangazo ya Google?
 
Hata hivyo mimi sijaelewa jambo moja kuhusu huyu Dimpoz... yaani kwavile wao wame-release nyimbo ndo alitaka wengine wasiachie ngoma; au?!
 
Zari na mumewe wana college kule na biashara nyingine, kuna uwezekano zari akawa raia was huko pia
Yaani Mpwa na wewe ujanja wote huo ndo umesikiliza uzushi wa huyo jamaa, au? South Africa pesa yako; kununua nyumba RUKHSA na wala sio lazima uwe raia! Kuna wakati walikuwa na sheriaa (sina hakika kama bado ipo) ambayo ilikuwa inakataza foreigner kumiliki shamba lakini sio nyumba!
 
diamond alikuwa rafik na ommy sasa kwa diamond kuongea hivyo inamaana ni ukweli mtu na diamond alikuwa rafk ya nay wa mitego na ney aliambiwa na diamond sasa hapo ukweli umepatikana haina haja ya kuficha mambo na shemeji hatumjui
watu wachokozi sana
 
kokoro vs kajiandae
piga kura ipi kali

.........................[HASHTAG]#KOKORO[/HASHTAG] BY RICH MAVOUK FT DIAMOND PLATNUMZ............


........KAJIANDAE BY OMMY DIMPOZ FT ALI KIBA.......

 
Nakusahihisha alieanza ni diamond "kushindana na wasio jua raha"
Ommy akamjibu "wanunua views"
Jamaa akajibu tena hvo

We unaona alieanza ni nan hapo?
 
sina ubaya na Mond ila naona kabisa anguko lake litakua baya vibaya sana,na hasa kwa wingi wa wafanyakazi alionao na matumizi kila mwezi aombee aendelee kubaki hapo hapo,

Zari kaliona hilo ndio maana kamuingiza king anunue nyumba south ambayo Zari ni kama mmiliki.
kwani akitikisika kidogo tu ndio kwa heri,wadhamni watavunja mikataba na hao wooote kina salam sijui babu tale sitanii hatawaona hata wakimkaribia .tupo hapa hapa na tutakuwepo hayo yakitokea
kwa Jina la Baba na La Mwana na La Roho Mtakatifu.
pepo wa kufilisika ashindwe!!! kwa Jina la Yesu...
 
my dear una stress y cant u stay on ur own lane baby gal?sa kipi kibaya kimesemwa hapa can you tak a several seat please and chill kama hujaaachiwa ela ya mboga relax sio lazima upike otherwise you need a tight hug coz ur out of topic alafu we hujanitiaa kichefu chefu ila umenitapisha kabisa kwa ulichokiandika

Ha ha haaaaa

unatokwa na povu kwenye uzi zingine humu kutoa ya moyoni, then unakuja kufungua uzi na kujitahidi kujiweka kati kama haumshambulii D.

unalo maana uliyosema sina, wewe ndio huna uwezo wa hata kuwa navyo.
 
Nani alikataa kumpumulia mwenzake? Watu wa Kigoma mnatabu Sana.
 
Mkuu huwezi kumiliki Nyumba south Africa kama Huna uraia wa south Africa...kama Zari ana uraia basi nyumba ni ya Zari au kama Tiffah ana uraia basi nyumba ina jina la Tiffah ila haiwezi kuwa na jina la Naseeb kama unabisha mwambieni aweke Hati ya nyumba.
Acha fix na wew kwani kumiliki nyumba nchi fulani lazima raia wa nchi husika? Yan wabongo sijui tupoje kanunua nyumba mnasema kapanga..akipewa tuzo mnasema ananunua sasa tuelewe nini cheee[emoji22] [emoji22]
 
Back
Top Bottom