Baada ya WCB kutoa Wimbo: Ommy Dimpoz atao mapovu, Diamond amjibu

Pia domo Ana mashabiki wengi sana east Africa sana sana Kenya, nMaa anapendwa sana, no ngumu kuamini ananunua viewwrs
 
nimewaza kwa sauti hilo neno kupumuliwa.....
nimejikuta nacheka tu
 
Ila inawezeka anapumuliwa kweli mbona hii skendo imekuwa ina muda sasa na hatumuon na dem yeyote yule
 
Pia domo Ana mashabiki wengi sana east Africa sana sana Kenya, nMaa anapendwa sana, no ngumu kuamini ananunua viewwrs
Huo ndo ukweli hata nje ya east africa anamashabiki wengi sana , ukitaka kuamini ukisoma comments kwenye videos zake utaona kuna watu wa liberia, nigeria, cameroon, togo , zambia, zimbabwe, usa ha nchi za europe , tena wengine wanaandika kiarabu, kifaransa na lugha zingine.
Utagundua tu ni mtu mwenye mashabiki wengi
 
Wote mziki wao ni wa kawaida sio Domo, Kiba wala Ummy.
Washukuru media na unyumbu na chuki wa baadhi ya watz.
Ben Paul, Jux, Rama D kwangu naona ni bora kuliko hao watafuta kick.
Sio kweli acha kukariri mtu kama diamond anatred africa nzima tena kuliko nyumbani.
Tena siku hizi nyimbo zake zinapigwa zaidi nje ya nchi kuliko nyumbani kimzunguko.
Hata shows diamond anashow nyingi za nje kuliko nyumbani,
Mwaka huu shows alizofanya tz hazifiki 10 ila amefanya showz zaidi ya 40 nje
 
Kila siku nasemaga humu ndani tatizo la Ommy ana vitabia vya kike kike snitch sana yule dogo,kuside kwake na kiba na wakina wema ni wazi kabisa una malengo hasi na WCB,si unakjmbuka kipindi kile yuko close na Chibu alikua ana msema vibaya Ali...leo kaanza urafiki na Kiba ameanza kuwasema vibaya WCB.dogo chok.o kweli huyu.
 


Mkuu,alichofanya ni sahihi kabisa wala hajakosea,kamwambia vile ili aache hiyo tabia,yaani amemkemea kwa kuwadhalilisha wanaume

Halafu mkuu we kweli kwa akili yako unaamini suala la kununua views za youtube?,hivi kweli wamiliki wa mtandao wa youtube wanaweza kukupa zawadi ya kuwa una viewers wengi zaidi kwenye mtandao wao kwa youtube za kununuliwa,unataka kuniambia kwa watu walioadvance kiteknolojia kama hawa hawawezi kujua kama kuna views halisi na fake kweli?

Vitu vingine tujiongeze jamani,hao kinachowasumbua ni wivu wa mafanikio aliyonayo Diamond tu na si vinginevyo,wanamwona mwenzao hapumuliwi kama wao halafu anatusua mbaya,hilo ndio tatizo mkuu
 
Unapowaza hili wenzio wanawaza lile,kama anguko lake laja mwenzio keshajiandaa hakuna asset muhimu kama umiliki wa majengo. Diamond ni mjanja na anajua anachokifanya unless otherwise uwe ndo sponsor
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] nasikia siku hizi hadi wajanja wanaliwa (in young killer voice)
 
Ingia page ya tzshaderoom angalia post ambayo ommy anasherehekea birthday na yule tajiri wa GSM utapata walau kitu fulani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…