Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Huyu jamaa pengine ni kweli ana ufanano na Sir Elton John, hebu pitia uzi huu.
Nini kimemkuta Ommy Dimpoz?
Nini kimemkuta Ommy Dimpoz?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule nae mpumbavu,ye mbona kashindwa kukaa nao hao wanawake wanamkimbia tu kashindwa kuwatuliza,sometime kuvunjika kwa mahusiano ni madhaifu ya mwanaume ye pia ni dhaifu+++++++ kutwa kushadadia yasiyomuhusu (tabia za kike)Alafu ney wa mitego Alishasemaga kua toka anamjua dimpoz hajawai kuona wala kusikia demu wake au hata tetesi kumbe anapumulia sipo nimenukuu jamani
Nasikia jamaa jogoo hapandi mtungiYou nailed it
Wewe akili huna youtube juzi wamempa diamond tuzo hawakuona kama ananunua tuzo?Ukinunua viewers YouTube hawatakulipa thereafter, acha kulopokwa dogo. The same applies kwa wale wanaonunua tuzo hasa zile zinazoenda sambamba na $¥£€
Laiti kama Ommy mapozi angekuwa Ulaya halafu akazungumza ujinga huu kwa Youtube basi youtube wangemshitaki Ommy kwa taarifa za uongo..na angewalipa pesa nyingi sana kama sio kumfilisi kabisa..But, kununua viewers Inawezekana kabisa
sa we unafikir mchezo yaan hawa wanawekwa ndani wanaimbiaa huko wote sema ommy shabiki wake ana mtunza maelaaaaa kwan mond shabiki yake si alikuwaa chief kiumbe?kamuulizeni yule james wa decor mond ni nani?au kamuulizeni yule fresh mediaa wale wanamjuaa mondi vizur saanaaa au mkishindwaa saana mfateni juma lukole yule mkata mauno wa fm academianao ni wa la chalz ?
Hao ambao hatujui wapenzi wao mbona hawasingiziwi kupumuliwa?Kaamua kuweka maisha yake ya kimahusiano privately kwani lazma ajirecord bafuni analamba kwapa (Which is ulimbukeni) mwanaume wa ukweli huwezi kumuexpose mwanamke unahemushimu kiasi hicho tena mama watoto wako duh
Mbona wasanii wengi tu hatuwajui wapenzi wao
huyu mkata mauno ndiyo rahisi ngoja nimtafute anielezesa we unafikir mchezo yaan hawa wanawekwa ndani wanaimbiaa huko wote sema ommy shabiki wake ana mtunza maelaaaaa kwan mond shabiki yake si alikuwaa chief kiumbe?kamuulizeni yule james wa decor mond ni nani?au kamuulizeni yule fresh mediaa wale wanamjuaa mondi vizur saanaaa au mkishindwaa saana mfateni juma lukole yule mkata mauno wa fm academia
Kama umemaanisha hivyo ninavyofikiria basi huo ni uongo uliopitilizahaina haja ya mond kumjibu vile oomy coz mond naye ni kama ommy ila mondi ni mwiba yaan anafanya both..................................................................................means anaimba na kucheza kama hujaelewa utajijua so afunge bakuli i know him in and out sema ommy yy kapitiliza na anafanya hiyo moja saana dats why watu wanajuaaa meaaaaaans anaimba tu hahahah.........
hahahhah asikwambiee mtu ukiona mtu anamsema mwenzio kuhusiana na hiyo kitu ni kuwa 100%naye ni mlengwahuyu mkata mauno ndiyo rahisi ngoja nimtafute anieleze
bora mchichaaa kuliko ya ommy chaaaa!! kiiruuuuhaina haja ya mond kumjibu vile oomy coz mond naye ni kama ommy ila mondi ni mwiba yaan anafanya both..................................................................................means anaimba na kucheza kama hujaelewa utajijua so afunge bakuli i know him in and out sema ommy yy kapitiliza na anafanya hiyo moja saana dats why watu wanajuaaa meaaaaaans anaimba tu hahahah.........
anatafuta pakupozea machungua...hahahha chaaaKama umemaanisha hivyo ninavyofikiria basi huo ni uongo uliopitiliza
na ni bora uamini ni uongo ila ukweli naujuaaaa mimi na hao niliowatajaa usimtazame mtu usoni au kuwa na watoto ndo ukamdefine mdefine kutokana na wanaomjua na sio wanaomsikiaKama umemaanisha hivyo ninavyofikiria basi huo ni uongo uliopitiliza
kwa hiyo na wewe ni ...........? hayahahahhah asikwambiee mtu ukiona mtu anamsema mwenzio kuhusiana na hiyo kitu ni kuwa 100%naye ni mlengwa
mchicha una play both sema ommy kaegemeaa saana sehemu mojaabora mchichaaa kuliko ya ommy chaaaa!! kiiruuuu
siri ya mtu ni kichaka kibooo shilakanaaakwa hiyo na wewe ni ...........? haya
hahahhah asikwambiee mtu ukiona mtu anamsema mwenzio kuhusiana na hiyo kitu ni kuwa 100%naye ni mlengwa